Sehemu ya Kumi na Nane, mama wa chidi, ajabu na cha, bila kujua kuwa, cha ajabu na, kunatakiwa laki moja, kundi la mbuzi, kwa ajili ya, mama yake
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (18) Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA KUMI NA NANE ILIPOISHIA... "Whaaaat?" "ndio… Ukumbuke mara ya mwisho ulisahau kunanii nje" "mungu weeeee….. Salma, sasa tutafanyeje na sisi bado ni wanafunzi eti" KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... "chidi,.. Mi sijui tufanyeje" "Kama vipi tuitoe" "heeeeeeeeeee,.. Hapana chidi, utauwaje kiumbe cha mungu lakini" "basi we unataka nifungwe si ndio ee, sawa leongo lako litatimia soon" "sio hivyo chidi…. Subiri basi tuongee" Chidi aliondoka bila kumsikiliza mpenzi wake ambae ni salma waliopeana mimba wakiwa shuleni,… Kuna afadhali ya mwanafunzi kwa mwanafunzi kuliko raia kwa mwanafunzi… 30 itakuhusu babaaa Ikiwa ni siku nyingine tena, salma akiwa nyumbani kwao, alionekana kukimbilia uwani na kuanza kutapika, mama wa salma alimfuata mtoto…