MUUZA CHIPS (19)

Sehemu ya Kumi na Tisa, baba wa chidi, chidi na salma, kiridhisho cha mpenzi, kule kijijini ni, kwa huku mjini, kwa kule kijijini, lakini kwa kule
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (19)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA KUMI NA TISA ILIPOISHIA... "sasa alisema kunahitajika kiasi gani" "kwanza… Kule wilayani kunatakiwa laki moja, halafu huku shuleni kunatakiwa laki moja kwa ajili ya kuwafunga walimu midomo.. Na hii ya tatu, mtoto wangu alikuwa ni bikra, je nami mtaniangalia hata na ng'ombe dume" KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... "mungu wangu weeeeeee" Kwa pesa alizotaja binti asumini ni ndogo sana, lakini kwa kule kijijini, ni pesa moja kubwa sanaaa, yaani ukitajiwa laki kule kijijini ni sawa na milioni kwa huku mjini, sasa jiulize itapatikana vipi na hawana hata mifugo… " mama salma , wacha nikajadili na mume wangu kwanza" Mama wa chidi alitoka huku akiwa kanyong'onyea mwili mzima, mana hapo kwa ujumla wa pesa inayotakiwa sio chini ya laki tatu… Sasa laki tatu huku ni sawa na…