MUUZA CHIPS (19) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumanne, 23 Mei 2023

MUUZA CHIPS (19)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
📖 KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
😂 VIDEO za KUCHEKESHA
📑 MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA KUMI NA TISA
ILIPOISHIA...
"sasa alisema kunahitajika kiasi gani"

"kwanza… Kule wilayani kunatakiwa laki moja, halafu huku shuleni kunatakiwa laki moja kwa ajili ya kuwafunga walimu midomo.. Na hii ya tatu, mtoto wangu alikuwa ni bikra, je nami mtaniangalia hata na ng'ombe dume"

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"mungu wangu weeeeeee"

Kwa pesa alizotaja binti asumini ni ndogo sana, lakini kwa kule kijijini, ni pesa moja kubwa sanaaa, yaani ukitajiwa laki kule kijijini ni sawa na milioni kwa huku mjini, sasa jiulize itapatikana vipi na hawana hata mifugo…

"mama salma, wacha nikajadili na mume wangu kwanza"

Mama wa chidi alitoka huku akiwa kanyong'onyea mwili mzima, mana hapo kwa ujumla wa pesa inayotakiwa sio chini ya laki tatu… Sasa laki tatu huku ni sawa na milioni 3 za Tanzania,.. Je watazipata wapi…

Wakati huo akina chidi tayari wameshavuana vichupi chupi vyao huku, wakati mama yake anamhangaikia huko nje,… Mama alifika nyumbani na kumshirikisha mume wake,.. Ambae ni baba wa chidi,…

Aliongea nae, na mwisho mzee akakubali.. Lakini mama akamwambia mumewe kuwa

"hebu kabla hatujafanya hivyo… Kamuulize mwanao kwanza, ni kweli huyo mtoto alikuwa na bikra, au mama yake kasema tu"

"huyu mtoto mshenzi huyu nitamuua huyu"

"bwana usimfanyie hivyo… Mbona wewe ulinitorosha kwetu"

"sasa si ilikuwa zamani"

"waache watoto… Ingia hasara tu"

Wazazi hawa walionekana kuna kitu wanataka kufanya kwa mtoto wao, ila hatujajua ni nini

Wakati huo huku kwa chidi na salma zilikuwa zikiskika sauti za Mapenzi, huku salma akimwambia chidi kuwa,

"chidi, mpenzi wangu… Nahisi mtoto wetu hana mikono vile, hebu ingiza basi tumuongezee"

Salma kalikua ni kazuri, hata shingo yake ukiiyangalia, yaani imejawa na pingili mpaka raha,.. Chidi alivua boxer yake kisha akasogea karibu na buyu la asali la salma,..

"weeee chidi jamani sio huko"

Salma aliruka vikali baada ya chidi kukosea mlango, badala aingie mlangoni, alikua anataka kuruka ukuta na wakati mlango upo wazi,…

"chidi jamani, ina maana huoni au makusudi…. Bwana chidi mi staki huko"

Chidi alikuwa kakaa kimya, huku akitaka kule asipotaka salma,…… Chidi alimkamata salma kisawaa sawa huku akiusogelea, na wakati huo mkono wa salma upo jirani na Zakaria ya chidi kana akikosea tu, aitoe kwa haraka…

"Jamani chidi nina mimba eti, nitamzaaje mtoto wangu… Uuuuuuuuwwiiiiiiii mama weeeeee… Iiiiiiiiiiii"

Salma alipiga kelele mpaka wazazi wa chidi walitoka nje, ili kujua chidi anamfanya nini mtoto wa watu…

"we chidi kuna nini huko pumbavu wewe"

Raha ya mapenzi huijua mtumiaji, na uchungu wake pia huujua mtumiaji,… Takwimu zangu mimi kwa asilimia 80 ya wanaume, wanapenda kuwa na uume mkubwa wakiamini kuwa ndio kiridhisho cha mpenzi wake,… Unajua Mwenyezi Mungu sio mjinnga kumweka mwanamke takribani sehemu 12 zenye utamu,… Na hizo sehemu 12… Anayoikosa mtu mwenye uume mfupi ni sehemu moja tu, kwahio hizo 11 zote anazimudu, na hata hio ya 12 pia anaimudu kama atajua jinsi ya kuitumia.. Na hata huyo mwenye uume mrefu pia itakuwa ni kazi bure kama hatopajua na hata kama akipajua hawezi kupafanyia kazi,… Utamu wa mwanamke upo nje kabisa, so wewe mwenye kibamia wala usione tabu kikubwa kuwa mtundu,…

Ivi kama uume urefu ni kiridhisho cha mpenzi wako, mbona ukiingiza haingii yote, na kama ukijaribu kulazimisha mbina anakuzuia tumbo ili isiingie yote, tena huku sura yake imejikunja,… Kama uume mrefu ni mtamu kwake, mbona anazuia hataki iingie yote,… Kwani ye hataki utamu, lakini mwanaume unajiskia raaaaha kweli kweli yani ulivyomkokomeka mwenzio huo mdude, afu baadae unajisifu,.. AISEEE NIMEMKUNA YAANI MPAKA ANALIA.. Umemkuna wapi na wakati umemuumiza sema wanashindwaga tu kutuambia ukweli, na mi nawashukuru sana wanawake mana hawasemi ukweli na wakisema ukweli watatuumiza kisaikolojia, hivyo asili ya kuto kusema ni automatically,…

Na pia kuna wanawake wanapenda uume mkubwa wakiuona, lakini kuingia wote mwilini mwake hawezi,.. Utamu wa mwanamke upo nje sasa hilo bunduki loote lanini sasa…. Kuumizana tuuu

NILIKASIRISHWA NA HILI JAMBO, NGOJA NITATOA FUNZO JUU YA KUWEPO KWA UUME MFUPI NA MREFU

Kijana chidi akiwa na mpenzi wake salma kitandani, na wakati huo baba wa chidi nae alikuwa nje akiwauliza kama kuna tatizo au laa..

Chidi alimjibu baba yake kuwa hakukuwa na kitu, ndipo mzee akamuita kijana wake waje waongee huko nje

"chidi umeniumiza eti"

"poleeeeee… Ila nawe umezidi kuwa na kakitu kadogo sana"

Chidi alimwambia mpenzi wake kuwa ana ishu ndogo sana,…

"afu chidi, mbona ulikuwa wataka kuniruka ukuta"

"nilikutania tu"

Mara baba yake akaita tena kwa sauti ya ukali

"we pumbavu si nimekuita"

"naja baba"

Chidi alitoka mbio na kumuacha salma kule ndani,

"ndio mzee"

"ebu njoo huku uwani kwanza tuongee"

Mzee alimwita mwanae pembeni, chidi akajua Enhee kimenuka,…

Huku ndani salma alikuwa na wasiwasi juu ya chidi kuitwa na baba yake, mana anahisi labda ataambiwa aachane nae au aikatae hio mimba,.. Moyo wa salma ulikuwa ukimwenda mbio kwa wasiwasi..

"skia we bwege"

Kipindi hicho baba yake chidi alikuwa mtu wa maneno maneno tu japo hali yao ilikuwa bado ni ngumu lakini kwa mane haishiwi

"nini tena mzee"

"ushaafanya ujinga wako huko, afu unatutupia mizigo sisi"

"mzee nimefanya nini tena"

"huyo mwanamke huko ndani anasubiria nini huko"

"aaahhhh sawa nimeelewa"

"haya nataka useme ukweli, huyo mwaname ulimkuta ni mzima"

Aliongea baba wa chidi huku akiwa siriasi, chidi akawa bado hajamuelewa mzee wake

"mzee sijakuelewa bado"

"sikiliza we mjinga… Mama yake huyo mschana anataka mali, kasema mschana wake alikuwa ana usichana… Sasa nikuulize wewe ni kweli"

"aaaaaaaaahhhhh Hahahahahaha Sasa mzee unapita kona nyiiingi…. Aahhh mzee huo ndio ukweli, na kama mmeamua kuliingilia kati, nisaidieni tu lakini ukweli ni kwamba alikuwa nayo"

"sasa skia… Tafuta mteja wa lile shamba la bondeni kule"

"heeeeee tunauza shamba"

"kama hutaki nenda jela"

"aaahhh mzee jela noma, wacha nitafute tu"

Mzee king alikuwa na mashamba mengi sana, na hicho ndio kitu kinachotakiwa,.. Hivyo katika hii ishu ya mwanae anataka kuizima kwa kuuza shamba….

Siku tatu mbele shamba lenye ukubwa wa hekta mbili, waliliuza kwa kiasi cha shilingi laki sita (6), kama ni huku mjini, ni mamilioni ya kutosha kabisa, lakini kwa kule kijijini mashamba huuzwa bei rahisi tu,

Walipopata pesa hio walimaliza kufuta majina ya wawili hao kisha wakampa mama wa salma kiasi cha laki moja, hio laki moja ni kubwa sana huko kijijini, alipewa kama mahari tu,.. Na vingine alisamehe tu kwakuwa wanaishi kama ndugu katika miji yao, hivyo haikuwa na haja ya kukomoana kiasi hicho,…

Haikupita muda chidi na salma walioana na ndio mana wakafutwa majina wote ili wakaishi pamoja, kana kwamba kama wewe umemharibia mwenzio masomo yake basi hata wewe bora uharibiwe…

Walifunga ndoa ya mkeka tu kula viandazi na chai, mambo yakaisha,.. Na hapo ndio ilikuwa sababu ya chidi kuoa,.. Kwa taratibu za kitanga kule kwetu, hua anaeanza kuoa ni kaka ndio afate mdogo mtu, lakini ikitokea ya ghafla kama hii, basi ile taratibu inavunjwa,.. Na ndio mana mwanzo wa stori hii ilisema kuwa, iweje mdogo aoe na wakati mkubwa yupo,.. Lakini sasa ndio tumejua sababu ya chidi kuoa kabla ya kaka yake….

CHIDI ANAMALIZA KUKUMBUKA KIPINDI HICHO CHA UWANAFUNZI WAKE…

Akiwa yupo kitandani na fatu, Zakaria ilikuwa tayari inataka kutoa wazungu, chidi akaona hawezi kuteseka hivi,.. Kwa huku mjini atafungwa,… Huezi amini alimloanisha mtoto wa watu fatu katika kifua chake,…

"jamani chidiiiii… Haya si mapacha kabisa haya"

"mapacha umeyaumba wewe"

"lakini chidi, mi si nilikuwa tayari kukuzalia mtoto"

"acha ujinga fatu ebu jielewe basi, we ni mwanafunzi"

"hata kama, kwani si nitafukuzwa tu shule"

Chidi alikuwa akibisha na fatu usiku huo, huku fatu akiangalia kifua chake pamoja na tumbo kwa jinsi vilivyoloana kwa wazungu wa chidi… Na fatu anasema eti hizo nye** zilikuwa ni mapacha kabisa, mana ilikuwa ni mzigo haswa, kama angeutupia huko, aaaahhh wiki tu angeanza kutapika hovyo…

"chidi… "

"nini tena fatu.. Ebu panua basi acha kelele"

Sasa chidi akaanza kumtengeneza fatu, mana kile chenye kihere here, kimeshatoa,… Fatu alikua akitoa miguno ya raha,… JAMANI KUMBUKENI WANAWAKE WENGI WA SASA HIVI NI WAIZI KWA WAPENZI WAO… HIVYO IJUENI MIGUNO YA HIARI, NA MIGUNO YA LAZIMA AU MAKUSUDI….

Kesho yake mida ya saa 12 kasoro asubuhi asubuhi, simu ya chidi iliita, kucheki hivi alikuwa ni kaka yake Ibrahim, aliipokea

"we chidi vipi"

"safi broo shkamoo"

"marahaba… Ebu tokelezea hapa njiani Twende sokoni"

"sawa nakuja"

Fatu alikuwa kalala kwa muda huo, chidi akamuamsha haraka haraka, na kuvaa nguo zake kwa haraka kisha haoo wakatoka, walipofika barabarani wakaachana na fatu,.. Fatu akawahi shule kuliko siku zote, mana katoka asubuhi sana,.. Chidi na kaka yake walikutana njiani hapo wakiwa wameshika masalfeti kwa ajili ya kwenda kununua viazi sokoni, pamoja na nyama na vingine vingi vinavyoshirikiana na chipsi,…

"aisee biashara kwangu imebuma hivyo nategemea hio yakwako"

Aliongea hivyo Ibrahim bila kukua katika 80 tayari 40 ilishatumwa nyumbani, hivyo hapo alipo ana elfu 40 tu,…

Chidi alikuwa anaogopa kusema lakini ilimbidi tu aseme kwasababu huko wanapokwenda haitotosha kitu..

"nina elfu 40 tu broo"

"ati nini"

"ndio… "

"ebu simama kwanza…. Ati unasemaje"

"nina elfu 40 tu… Na jana nilituma elfu 40 nyumbani, ili wanunue dawa"

"we mshenzi… Ivi una akili wewe… Unajua uchungu wa biashara wewe,.. Au hao uliowatumia wanajua uchungu wa biasha"

"heeeeeeeeee nimetuma nyumba kwa wazee"

"wazee wa nyokwe… Acha usenge kuma mae wewe… Mi nimeungua na moto miaka mingapi, mpaka nikafungua banda lingine, kama ningelikuwa natuma huko kwa wazee wako lile banda lingekuwepo pale, acha usenge… Fara wewe"

"nisamee broo"

"acha uhananga… We utatuma kila siku pesa kijijini we utakula nini huku… Khaaaaa elfu 40 yote hio umetuma, aisee mtoto ni msenge we fara kuma mae, ntakuzaba vibao mbwa wewe"

"lakini unamtukana mama eti broo"

"TaaaaaaSsssssssss (kibao)"

Chidi alikula kibao kizito mpaka chidi,.. Kisa ni kutuma pesa kwa wazazi wao,. Ibrahim alikasirika sana kwa kitendo hicho

"shemeji yako ananitesa,… na wewe pia?.. Huku mjini hatukuja kutafuta pesa za kutuma kijijini,… Kuanzia leo ole wako niskie umetuma pesa huko kijijini.. Alafu nakupa maximum ya pesa ninayotaka,.. Nataka kila siku uuze elfu 80, ole wako iwe chini ya hapo… Afu nimeshakugundua sasa hivi kule nyumbani kunanuka wanawake tu,… Mimi toka nije mjini ile nyumba haijawahi kuingiza mwanamke… Sasa Nasema hivi, Utahama mule ndani sio kwako, mshenzi wewe…"

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni