Sehemu ya Ishirini, mama sarah na, na kaka yake, na mama miriam, na mama yake, sarah na mama, ya kaka yake, anamkabidhi mama yake, broo nenda tu
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (20) Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA ISHIRINI ILIPOISHIA... Alafu nakupa maximum ya pesa ninayotaka,.. Nataka kila siku uuze elfu 80, ole wako iwe chini ya hapo… Afu nimeshakugundua sasa hivi kule nyumbani kunanuka wanawake tu,… Mimi toka nije mjini ile nyumba haijawahi kuingiza mwanamke… Sasa Nasema hivi, Utahama mule ndani sio kwako, mshenzi wewe…" KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Ibrahim kumbe alijua kuwa mdogo wake alishaanza kuingiza mademu ndani, na hata leo katoka na demu,….. Lakini kitendo cha kaka yake kumtukana mama yake kilimuuma sana kijana chidi, yaani hakujiskia raha kabisa,…. Muda ulisogea sana na sasa ni saa 6 mchana, chidi na kaka yake wakiwa katka banda la zamani,.. Mana pesa haikutosha kuendeleza lile banda lingine, hivyo leo wapo pamoja huku wakiseidiana baadhi ya kazi, mmoja anahudumia na mwingine anageuza chips…