MUUZA CHIPS (23) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumatano, 24 Mei 2023

MUUZA CHIPS (23)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU
ILIPOISHIA...
Walipofika tu chidi akaanza kumpalamia zai kwa mabusu huku akiivua ile sketi ya zai, na kwakuwa hakuwa na chupi, chidi alisisimkwa baada ya kuona mashavu ya Nanii ya zai,.. Nanii ya zai ilikuwa imevimba kama kitumbua, tena akisimama wima kwa kubana miguu, hata kale kamstari hukaoni, utaona uvimbe tu,… Chidi alitamani aweke zakari yake mapema, lakini sio silika yake, hua kazoea kuandaa kimapenzi….

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Wakati huo huku kwa Ibrahim alipata mteja wa kununua chipsi zote, hivyo akamaliza mapema mno, tofauti na muda aliomuahidi mdogo wake kuwa mpaka saa nne atakuwa keshamaliza kuuza chipsi, lakini hata lisaa halijaisha Ibrahim kamaliza kuuza, na sasa alikuwa yupo, njiani akiiita pikipiki,…

Huku kwa chidi, zai ndio kwanza midadi inampanda,..

Yaani kama ni hamu kwake ndio kwanza inapanda, na chidi mwenyewe ndio kwanza nanii ndio inauma inataka kufanya yake, Chidi alianza kuiingiza zakaria yake sehemu hio, Jamani chidi alihisi kama nanii yake imenata, mana zai alikuwa ana kitu mnato,

"chidi jamani… "

"nini zai"

"dudu yako mbona kubwa ivyooo"

"wala ata macho yako tu"

Chidi aliupaka paka nanii kisha akajaribu tena, mana mwanzo alipojaribu ilitoka yenyewe kutokana na ukali wa nanii ya zai, yani ilikuwa inateleza afu umebana kana kwamba kama uume wako hausimami vizuri basi hapo kwa zai utagonga mwamba,… Chidi aliulazimisha kwa nguvu kitu kilifanya zai aruke huku akilia kwa nguvu,..

"zai kwani una bikra"

"hapana.. Ila yako kubwa sana chidi"

Zakaria ya chidi ilikuwa ina hasira, kwani ilivimbiana mishipa huku inalia kimtindo,.. Alimsogelea tena na kumshika huku zai ana bana bana mapaja yake,…

Ghafla wanasikia sauti ya mlango ukigongwa,…

"chidi, nahisi mlango wenu ndio unagongwa"

"mmmhhh hapana itakuwa ni jirani huko"

"chidi sikiliza vizuri"

Chidi kuskia vizuri, kweli ni mlango wao, lakini alijua atakuwa ni jirani tu mana kaka yake asingeweza kuja huku… Lakini ukweli ni kwamba, anaegonga ni kaka yake,…

Sasa chidi kwakuwa anajua tu kaka yake hawezi kuja muda huo, hivyo akamuacha zai pale chumbani akiendelea kujikagua nanii yake kama kaumia au vipi, mana chidi aliuchomeka kwa nguvu…

Chidi alifika mlangoni,… Lakini kabla hajafungua, aliihisi pafyum ya kaka yake, ilivyo

Ilibidi asite kufungua, akachukuwa simu kisha akampigia kaka yake,

Alishangaa kusikia simu inaitia nje ya mlango wao,… Chidi alianza kuhaha huku na kule, na asipate jibu la kufanya kwa wakati huo….

Wahenga walisema kuwa siku za mwizi ni 40, na haukubahatishwa huu msemo, bali umesimama straight kabisa na ni kweli siku za mwizi ni 40, hivyo kama umemfumania mpenzi wako akiwa na mtu mwingine basi we jua hio ni siku ya 40, na ushamegewa sana kutoka siku ya kwanza mpaka 39?…. Tena tushukuru kwakuwa aliosema 40, hakufikiria kusema 80, mana angelisema 80, basi kama ni demu ungemkuta kaoza,…

Lakini siku ya leo ni 40 ya chidi, lakini 40 hio ni kama msemo tu, lakini sio kuwa alifanya toka siku ya kwanza mpaka 40, bali ni msemo tu,… Mfano hata kama kaanza jana afu leo kakamatwa, tutaita 40 ya mwizi…

Chidi akiwa ndani na mbaya zaidi ndani humo kulikuwa na demu ambae ni zai,.. Na kaka yake alishamuonya kuhusiana na swala la kuingiza wanawake ndani, sasa leo kaka yake kamkuta….

Chidi baada ya kujua hilo, alienda chumbani na kumwambia zai avae nguo zake zote, kwani kumeshanuka.. Chidi alimsimamia zai ili asije akabakiza hata chupi, mana ndio tabia zao kujisahau kuzivaa, na wakati zinawapa shida katika nyumba wanazokaa na kaka zao,… Basi zai alivaa nguo zake zote kisha chidi akaenda kumkalisha kwenye sofa kana kwamba alikuwa anaangalia tv, mana hapo ndani hakuna pakumficha zaidi ya kuacha, Ila mbaya zaidi ni kwamba zai alikuwa na sare za shule, lakini kabla chidi hajafanya kitu ili sare hizo zisionekana, zai alitoa kitenge kwenye begi lake, kumbe wanatembeaga na nguo za kawaida kwenye mabegi… Chidi alifungua kitasa taratibu kisha akarudi kwenye sofa na kujifanya mlango ulikuwa wazi tu…

Ibrahim alirudia tena kugonga, chidi akamka na kwenda kufungua huku akisema…

"nimekwambia mlango upo wazi ingia… Aaahhhhh broo kumbe ni wewe"

Chidi alijifanya hajui kama ni kaka yake, kumbe anajua ila alikuwa anapotezea tu,

"toka saa hizo nagoonga hufungui"

"nilisema broo mlango upo wazi fungua"

Sasa Ibrahim kuangalia kwenye sofa alishangaa kuona mwanamke, tena mdogo sana

"shkamoo"

"marahaba,…. rashidi huyu ni nani"

Ibrahim aliuliza huku chidi akishindwa cha kujibu, na kubaki na kigugumizi

"nakuuliza huyu ni nani na anafanya nini hapa"

"broo… Unajua leo nilitaka tule wali, sasa mimi siwezi, ikabidi nije nae ili atusaidie"

"mbona jiko halijawashwa"

"hata sisi ndio tunaingia sasa hivi"

Ibrahim alinyamaza lakini alionekana kuwa na hasira sana,… Sasa alipoingia yu chumbani huku chidi akamtoa zai, na kumsindikiza kwenda kwao alafu yeye arudi kuja kugombana mana anajua fika kaka yake pale kamstahi tu…

"chidi kaka yako mkali eee"

"we acha tu, apa nilipo nikirudi naenda kula makofi hayo"

"heeeeeeee kwani anakupigaga"

"oooooohh nakula mangumi hayo we acha tu"

"lakini kwanini usiwe na chumba chako"

"sasa chumba bila pesa utakipataje"

"ni kweli huezi kupata, ila jipange vizuri uwe na chumba chini.. Ona mwenzio bado nina hamu tele"

"kwani sina"

"chidi.. Au Twende gesti"

"hapana… Spendi kwenda gesti"

"sasa utanipaje utamu wako chidi"

"we nenda kwanza nyumbani, kesho tutaongea vizuri"

Chidi alimuaga zai kwa denda zito kisha akamuachia na zai akaondoka zake,..

Chidi alipofika nyumbani alimkuta kaka yake kavimba hata jipu lina nafuu,

"ivi wewe kuma mamko nikufanye nini ili unielewe"

"nisamee broo… Lakini mbona unamtukana mama etu lakini"

"staki uniulize ujinga na usenge wako huo, mi si nilikuambia najua kuwa unaingizaga wanawake humu ndani"

"broo nisamehe broo"

"mi nakwambia hivi, nakupa siku tatu, tafuta chumba chako, uwe na hela huna hela utajua mwenyewe, sitaki kukuona nyumbani kwangu utoke"

"siku tatu ni nyingi sana broo,.. Punguza hizo siku"

"Eeehhhhhh umeshaota pembe si ndio ee, umeshakuwa mtoto wa mjini si ndio ee"

"hapana, sasa si umeniaribia niwe na chumba"

"sawa… Na ukishakuwa na hicho chumba, kazini kwangu nako utoke, sikutaki kila mahari,… Kwanza nipe pesa ya leo fara wewe"

Kiukweli kaka wa chidi alikuwa ni mtu mwenye hasira mkali aliopitiliza, yaani kama kuna makaka kama haya basi akili zao haziko vizuri,…

Chidi alitoa pesa huku machozi yakimtoka kwa kutukaniwa mama yake, kweli kitendo alichokifanya chidi cha kuingiza wanawake ndani sio kizuri, lakini haikuwa tabu mpaka kumtukana mama yake kiasi hicho, sasa kama ndugu tu una matusi ya aina hio je mtu wa pembeni atakuwaje,… Chidi alikuwa akilia kila akifikiria neno KUMA MAKO yaani anatamani amng'ate ng'ate kaka yake, lakini hawezi mana ni mkubwa wake na pia hata kimabavu pia hamuezi hivyo hakuwa na budi tu kulia na moyo wake,..

"si nilikuambiaga nataka elfu 80 kwa siku"

"lakini broo, hukumbuki ulinambia nikatume elfu 30 kule M-pesa"

"hata kama lakini isingetoka elfu 60 tu"

"ok… Nisamee basi broo"

Chidi izidi kuwa mpole na kutotaka kumkwaza kaka yake,…

Kwakua wote walikuwa wameshakula hivyo Ibrahim alienda kuoga, ila chidi hakutaka hilo, alipanda zake kitandani na kulala…

Tukija huku kwa akina sarah,…. Sarah siku hizi halali kwa akina miri,..

"mama… Leo tupike nini basi"

Sarah alimuuliza mama yake aliokuwa anatoka kuoga,..

"aaahh chochote tu"

Sarah leo aliamua kuingia jikoni peke yake japokuwa wana wafanyakazi takribani wawili, kutokana na nyumba yao ilivyo kubwa,.. Sarah aliingia jikoni huku akimkumbuka sana kijana chidi,..

"jamani chidi wangu, si utokee tu, namba yako siikumbuki, nikija kwenu sikukuti, naumia sana juu yako chidi nakupenda, naomba tukutane tu kama zali… Yaani naapa nikikutana na wewe, sintozubaa tena"

Sarah alikuwa akiongea mwenyewe huku akiangalia picha ya kijana chidi ambayo alimpiga akiwa hospitali, na alikuwa ana mabendeji ya uso, hivyo hakuwa akionekana vizuri lakini sarah yeye anamjua hata kabla hajafungwa hayo mabendeji,..

Ghafla mama yake katokea na kumuona akiwa anaangalia picha,..

"heeeee huyo ni nani huyo afu kaumia maskini ya mungu"

Sarah aliposkia hivyo aliificha simu yake haraka haraka ili mama yake asione, lakini alishaona mana alikuja kwa nyuma,

"nimeshaona, kumbe ndio huyo kaumia hivyo, boooo… Yaani watoto wa siku hizi ni wajinga mnaweza penda hata vichaa pumbavu zenu,… Nipikie maini tu nilale mie"

Sarah alimuangalia tu mama yake na sipate jibu la kumjibu mama yake,… Mama yake aliondoka na kujitupa kitandani huku akiwa kavaa kanga moja tu,….

Aliichukuwa simu yake na kuandika meseji katika upande wa WhatsApp kisha akautuma…

Tukija huku kwa akina chidi, akiwa kalala na kaka yake, tena kitanda kimoja,.. Sms iliingia kwenye simu ya chidi,.. Kuangalia hivi alimwona jimama lake aliompa simu hio,..

"mambo boy wangu"

Hasira za kijana chidi zilipungua baada ya kuona sms ya jimama hilo likimsalimia, na muda huo ulikuwa ni saa mbili usiku,..

"poa shkamoo mamy"

"poa tu mzima wewe"

"mmmhh mi mzima"

Mara kaka yake kashtuka na kusema kuwa

"wewe unanisumbua na sms zako izo"

Chidi hakumjibu, aliingia Setting ya simu na kuiweka Silent… Sasa akaanza kuchati na limama lake hilo…

"mamy upo wapi sasa hivi, mbona hulali"

"nipo chumbani kwangu peke yangu, yaani natamani ungelikuwa pembeni yangu"

"usijali mamy, ipo siku tutakuwa pamoja"

"sio ipo siku, nataka iwe kesho"

"No no no kesho nitakuwa kazini mamy"

"nitakupa pesa unayoingiza hapo kwa siku hio"

"mmmhhh sawa nitajaribu basi kufanya hivyo"

"we chidi"

"naam mamy"

"ivi nanii yako ni kubwa sana, mana napenda"

Mama alianza kuandika meseji za kumsisimua kijana chidi

"mmmhhh mamiiiii, ni ya kawaida tu"

"chidiiiiiiii…. "

"naam mamy"

"natamani niione before meeting with you"

"mmmhhh hapana, bado haijasimama so ni ndogooooo"

Chidi alipotuma hio sms, aliona ukimya ukitanda kwa mama huyo, chidi akajua aahh atakuwa kalala,…. Mara sms imeingi tena ilikuwa imeambatana na picha, iliomuonyesha mama huyo akiwa kitandani na kanga moja huku chupi ikionekana kwa mbali mno… Chidi alipoiona ile picha, alishtuka kwa sauti kubwa

"heeeeeeeeeeeeee"

Sasa sauti hio ya heeee ilimshtua mpaka kaka yake nae akaamka na kuuliza

"nini wewe?… Una nini?….. Heeee we fara hio simu kubwa hivyo umetoa wapi"

Ibrahim hakuwahi kumiliki simu kubwa na wala hatamani kuimiliki, kutokana na hali yake ya maisha, na hata chidi pia asingeweza kuimiliki simu kama hio kutokana hali ya pesa kuwa ndogo, kwani hata hio alionayo tu, ni pesa aliopewa kwa ajili ya matibabu baada ya kupokea kichapo kama mwizi, hivyo badala ya kufanya matibabu aliamua kununua simu, Sasa chidi hakutaka kaka yake ajue kama ana simu kubwa kiasi hicho, na hata saa ile meseji zilivyokuwa zikimsumbua Ibrahim, hakujua kama ni simu kubwa kiasi hicho, mana SAMSUNG GALAXY S7 EDG ni simu kubwa mno na yenye gharama kubwa mno,… Hivyo Ibrahim alijua ni kale kasimu chake hivyo alimwambia tu asimsumbue kwa sms zake,…. Sasa chidi kakinukisha mwenyewe baada ya kutumia picha iliomfanya apige ukelele wa mshangao, ulimshtua mpaka kaka yake na kusababisha kuonekana kwa simu hio, chidi aliogopa sana kwa kitendo cha kaka yake kuijua simu hio… Japo asingependa aione mapema

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni