MUUZA CHIPS (24) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumatano, 24 Mei 2023

MUUZA CHIPS (24)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE
ILIPOISHIA...
Sasa chidi kakinukisha mwenyewe baada ya kutumia picha iliomfanya apige ukelele wa mshangao, ulimshtua mpaka kaka yake na kusababisha kuonekana kwa simu hio, chidi aliogopa sana kwa kitendo cha kaka yake kuijua simu hio… Japo asingependa aione mapema

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"heeeeeeeeeeeeee"

Sasa sauti hio ya heeee ilimshtua mpaka kaka yake nae akaamka na kuuliza

"nini wewe?… Una nini?….. Heeee we fara hio simu kubwa hivyo umetoa wapi"

Aliuliza Ibrahim huku akitaka kuichukuwa, lakini chidi akakwepesha mkono kitu ambacho kilimfanya Ibrahim akasirike na kuanza kuongea

"kuma mae, umeniibia mauzo ya chipsi we fara"

Chidi alijiuliza sana ivi huyu ni ndugu yake kweli au vipi, mana alikuwa anaongea vibaya sana dhidi ya mdogo wake huyo, kitu ambacho sio maisha ya ndugu yanavyohitajika… Ibrahim ni mtu anaejiheshim sana lakini kwa mdogo wake kawa Free kwa matusi aina yote,..

"lakini broo, ivi mimi nimekufanyeje ndugu yangu, mana unanirukia rukia sana eti"

"achana na maswali hayo, we niambie umeniibia shilingi ngapi"

"hiii simu ni ya yule mschana alietoka hapo, tumebadilishana yeye kachukuwa yangu na mimi akanipa hii"

"muongo wewe, umeniibia kwenye chipsi"

"sasa kwa pesa gani ambayo ningeliweza kununua simu hii, kwanza hata miezi miwili sina, hata kama ningeiba elfu 10 kila siku, bado nisingeweza kununua simu kama hii…"

"nitajua tu,… Mi nakuambia nitajua tu simu umeitoa wapi hii… Kumbe nakuekea ulete elfu 80 kwa siku, kumbe unaingiza zaidi ya hio kwa siku mpaka unanunua simu kubwa hiyo tena ni ile IPhone sjui ndio hio"

"hiii ni Samsung sio IPhone"

"mi nakuambia nitajua tuuuuuu…. Na sasa nataka ulete laki na nusu kwa mauzi ya siku"

"kama wewe ulishawahi kuingiza hio laki na nusu kwa siku, basi hata mimi nitaingiza"

"sasa kama huingizi mbona una simu"

"si nimekwambia timebadilishana na yule mschana uliemkuta humu ndani"

"ok.. Ok. Sawa… Afu yule mschana ulimlaza kwenye hiki kitanda"

"toka nije mi sijui mwanamke"

"mboo yako wewe, msenge kweli,.. Juzi nakuta harufu ya mijanaba tu humu ndani"

"hapana broo labda ilikuwa ni pua yako tu"

"ila uhame humu ndani"

"sawa broo nimekuelewa"

Chidi alizidi kuwa mpole sana dhidi ya kaka yake, mana hakufunzwa kumdharau mtu japo kaka mtu anapenda kumtukana sana mdogo wake, bila kujua kuwa yeye na mdogo wake ni watoto wa tumbo moja,…

Basi Ibrahim alilala kisha chidi akaendelea kuchati zake,.. Alikuta sms nyingi za mama huyo, mana simu si ilikuwa Silent, hivyo haikusikika pale meseji zilipokuwa zikiingia…

"hapo vipi, si imesimama au bado"

Alipoona hajibiwi akatuma tena meseji

"chidi mbona upo kimya boy wangu"

"jamani chidi, mwenzio nataka nilale"

"au umelala?…. Ok usiku mwema basi"

Hio meseji ya mwisho ilitumwa dakika moja iliopita kabla ya kuangalia sms hio,.

"nipo sema nilikuwa nimetoka kidogo"

"waooooo safi sana… Nilijuwa umelala"

"Enhee niambie mamy"

"safi… Vp dudu yako imesimama"

"baaadooo"

Chidi alitamani kuona na nyingine mana kanogewa, alafu mama ni shida ni bonge la toto yaani mlainiiii,… Afu ni balaa

"wewe, au we kuku wa kichina nini"

"akaaaa mie Ndi Ndi Ndi haswa"

"heeeeeeee mbona waitikia Akaaaa ivi umzima kweli wewe"

"amana swaga tu"

"nataka nijue kama kweli swaga au vp"

Chidi akachekecha kichwa kisha, akatuma picha ambayo, ameipiga muda huo na kumtumia mama huyo… Ilikuwa ni picha ya nanii yake ikiwa Ndi Ndi Ndi lakini ni juu ya suruali tu, na picha hio ilionekana na sura ya kijana chidi…

"waaaoooooo chidi please naomba kesho tukutane, nakuomba"

"sawa, ila hatutokaa sana coz ili niwahi kifungua kibanda"

"nooooo nilishakwambia nitakulipa pesa unayongiza kwa siku, ili siku hio uwe na mimi"

"sawa"

"ok bye bye bayby wangu"

"poa mamy"

Chidi alizima simu na kuendelea kuichaji, huku akilala zake,…

Ikiwa ni mida ya saa tatu hivi usiku….

Tukija huku kwa akina sarah na mama yake, ndio walikuwa mezani wanakula wapo watatu baba sarah na mtoto pamoja na mama, ila baba sarah yeye alishiba na kutoka zake kwenda kulala kana kwamba kachoka sana kutokana na kazi ya siku hio…. Kwa akina sarah nao ni matajiri haswa haswa, mjengo wenyewe utafikiri ni kwa raisi, kumbe ni raia wa kawaida tu,….

"mama sikuizi na weww unachati eee"

"weeeeee shika adabu yako.."

"lakini mama si nimekuuliza tu jamani"

"nilikuwa nachati na classmates zangu wa kipindi hichooo"

"heeeeeeee mamaaa hivi na wenzio bado wapo"

"haaaaa sasa waende wapi na tena wana pesa kama mimi"

"kwahio mumefanikiwa wote"

Sasa mama akatoka kwenda kunawa kwenye sinki, mana ndio wamemaliza kula,… Sarah alikuwa na tabia mbaya, alipomwona mama yake katoka kwenda kunawa mikono,.. Akaichukuwa simu ya mama yake na kuanza kukagua chati za mama yake

"heeeeeeee Baby Boy?"

Tukija huku Kijijini, tunakutana na familia ya kijana chidi, iliokuwa na furaha nzuri na tena ilikuwa ikimuombea kijana wao mdogo maisha mazuri, kwasababu yupo tayari kufa njaa huko mjini lakini ahakikishe familia yake inapata kile kinachostahili,…

Hata salma akiwa jikoni akiipikia familia hio alikuwa akijiskia raha sana kwa kitendo cha chidi kutupia kaelfu 40,.. Na kule kijijini elfu kumi ni kubwa sana, hivyo wakiwa na shilingi elfu 40 tu wanapiga hata wiki tatu au hata mwezi mzima mana kule mboga ni nje nje tu, ni mambo ya mafuta na vinyanya nyanya kimtindo…

"mtoto wetu kaanza kutulisha matunda anayochuma huko mjini"

Alikuwa ni mama aliokuwa akimwambia mume wake kuwa chidi keshaanza kuwalisha matunda anayochuma huko mjini

"ni kweli, ila Ibrahim hatujaviona hivi… Ni mpaka miezi kadhaa ipite ndio tunaona pesa yake, yaani mtu uumwe mpaka uppne ndio atume pesa… Lakini rashidi hana hata miezi miwili tayari tunaona faida yake,… Kiukweli Mwenyezi Mungu awe juu yake na amuongoze kwa kila alifanyalo"

Mara salma kaingia buku akiwa kabeba chakula, yaani kiujumla familia ilikuwa ina furaha sana juu ya kijana wao kwenda mjini, wangejua tu ile elfu 40 ilimletea chidi hadi kutukanwa na kaka yake, kisa ni kuwatumia wazazi wao kiasi hicho cha pesa..

Tukija huku rehema ambaye ni mke wa kaka yake chidi,.. Alikuwa akivaa nguo usiku huo huku rafiki yake jasu akimsubiri kwa hapo ndani,… Kana kwamba kuna mahari wanakwenda…

Tukija huku kwa kijana chidi, simu yake iliita usiku huo,.. Alishtuka mana alikuwa kaizima sasa kwanini inaita saa tatu yote hii,.. Sasa kumbe simu hio ipo (.AIC.) Automatically Incoming calls.. Yaani hata kama imezimwa ikipigwa itaita tu,…

Alipoangalia juna alikuwa ni yule rafiki yake ambae alimpa kazi ya kumtafutia chumba

"oyaa side vp"

"poa niaje chidi"

"fresh tu, vp saa hizi kwema"

"kwema tu,… Asee chidi umelala nini"

"yes nipo home now"

"njoo twenzetu tukaruke kwanja acha kuzingua"

"aaahhh saa hizi"

"yes ndo mida hii… Hata akina zai na rafiki zake wanasepa uko"

"wacha bwana"

"yes kama vp nije na toyo hapo mtaani"

"haina noma basi we timba basi chapu"

Chidi alitoa laini kwenye simu hio kubwa na kuweka kwenye ile simu ndogo ili hio kubwa isije kupotea,.. Alimaliza kisha akaamka na kufungua mlango,.. Wakati huo kaka yake alikuwa kalala fofofo haswa,.. Chidi akawa yupo hapo nje akimsubiria rafiki yake saidi aje ampitie

Tukija huku kwa akina sarah na mama yake, tuliishia pale sara kaona jina la Baby Boy

"heeeee baby boy?"

Aliingea hivyo kwa sauti ndogo, huku akimwangalia mama yake kama alikuwa akija au laaa.. Na nia yake ni kufungua chati ya huyo mtu anaeitwa baby boy ni nani, na kwanini amuandike baby boy,… Sarah alibofya lile jina la Baby Boy, na kukuta meseji ya mwisho ilioandikwa hivi

"poa, bye bye bayby wangu"

"poa mamy"

Heeee sasa akatoa macho huku akiwa ndio anapandisha juu ili kuona chati zilizopita….

Kiukweli dunia ya sasa hatujui inaelekea wapi, kwasababu zamani hakukuwa na hali ya mtoto mdogo kutembea na mama mtu mzima, kwanza ilikuwa ni laana, but for now imekuwa kama fashion kuwa na Jimama liliokuzidi umri, lakini hayo yote yameletwa na wamama hao hao, coz mtoto mdogo hawezi kuntongoza mtu mzima hata iweje,.. Jimama lina miaka 40 mpaka 50, we mtoto una miaka yako 18 mpaka 22, ungewezaje kwenda kumtongoza mtu mzima kiasi hicho, hivyo hao hao wamama ndio wanawaanza vijana hao, na bijana hao kwa tamaa zetu tunajikuta tunakubali… Basi hio haina shida, unakuta mama na mtoto wake wanachangia mwanaume mmoja,… Inasikitisha sana ila ndio dunia yetu ya sasa,.. Na mimi katika takwimu zangu za baadae miaka 50 ijayo watu watakuja kutembea na wazazi wao waliowazaa, kwasababu kama unatembea na rafiki wa mama yako tena wana umri sawa na mama yako, na unamkuna mpaka anakupa pesa, huoni kwamba baadae watu watatoka na Wazazi wao??..

Sasa huku kwa sarah aliokuwa akisoma sms za WhatsApp walizokuwa wakichati mama yake na kijana chidi,

"poa, bye bye bayby wangu"

"poa mamy"

Hizo sms za mwisho zilimchanganya sana sarah na kuhisi labda mama yake anamsaliti baba yake, na vile baba sarah ni mtu wa kusafiri safiri tu kila wakati,.. Sarah akawa anataka kusoma sms za juu, lakini alichelewa na kukutwa na mama yake,

"sarah…"

Sarah alishtuka na kuitupa simu mezani huku akiomba msamaha mana kakutwa akiwa anasoma…

"toka lini ukaanza kushika simu yangu"

"nisamehe mamy,.. Nilikuwa naikagua kama ni ile simu nilioinunua mchana"

"kwani we huoni kwa macho"

"naona.. Lakini nilikuwa naiangalia Programu zake zilivyo, kumbe ni ile ile tu"

"sasa sikia, ole wako siku nikuone umeshika hii simu, utantambua"

"lakini mama… Huyo Baby Boy ni nani"

Aliuliza sarah bila kukoma wala nini

"si mtoto wa shangazi yako mele"

Mama alimdanganya mana hapo hata akimfokea, lakini keshaona tu, hivyo akawa mpole na kumdanganya kuwa ni mtoto wa shangazi yake mele..

"heeeee ndio umemsevu baby boy"

"mbona hata yeye anajiita baby boy"

"mmmhhh baraka nae ana mashauzi, haya huo ubaby boy kautolea wapi"

"mi najua sasa,."

Basi kwakuwa kulikuwa na ndugu yao ambae ni sharobaro sharobaro ambae anajiita baby boy, basi mzigo wote ulimwangukia yeye,..

Tukija huku kwa akina rehema ambae ni mke wa Ibrahim, aliokuwa tayari keshavaa na walikuwa wakifunga mlango, kana kwamba kuna mahali walikuwa wakienda kwa wakati huo,..

"mmmghh shoisti"

Aliongea jasu kwa kumshangaa rafiki yake rehema kwa nguo alioivaa

"nini jasu"

"yaani umevaa hilo tentemente na chupi tu"

"ndio"

"heeeee, huoni kama hilo tentemente linaonysha"

"kwani linaonyesha sana"

"sio sana, lakini unavyotikisa shost utafikiri hujavaa chupi yani"

"jasu, mjini hapa… Nikivaa Hijabu nitapata wapi pesa ya kula mimi, na vidume vyenyewe ni vya kuhesabu"

"mmmhhh haya Twende.. Ila shost mlaini mpaka raha yani"

"jasu, unataka ulete tabia ya kule shule si ndio eee"

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni