Sehemu ya Ishirini na Nne, bye bayby wangupoa, bye bye bayby, huku kwa akina, kwa akina sarah, akina sarah na, baby boy ni, hata miezi miwili, na mama
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (24) Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE ILIPOISHIA... Sasa chidi kakinukisha mwenyewe baada ya kutumia picha iliomfanya apige ukelele wa mshangao, ulimshtua mpaka kaka yake na kusababisha kuonekana kwa simu hio, chidi aliogopa sana kwa kitendo cha kaka yake kuijua simu hio… Japo asingependa aione mapema KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... "heeeeeeeeeeeeee" Sasa sauti hio ya heeee ilimshtua mpaka kaka yake nae akaamka na kuuliza "nini wewe?… Una nini?….. Heeee we fara hio simu kubwa hivyo umetoa wapi" Aliuliza Ibrahim huku akitaka kuichukuwa, lakini chidi akakwepesha mkono kitu ambacho kilimfanya Ibrahim akasirike na kuanza kuongea "kuma mae, umeniibia mauzo ya chipsi we fara" Chidi alijiuliza sana ivi huyu ni ndugu yake kweli au vipi, mana alikuwa anaongea vibaya sana dhidi ya mdogo wake huyo, kitu amb…