Sehemu ya Ishirini na Tano, kijana chidi, rehema huku, boy kucheza gani, gani huko jamanichidi, gauni la rehema, huko jamanichidi alijifanya
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (25) Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO ILIPOISHIA... "jasu, mjini hapa… Nikivaa Hijabu nitapata wapi pesa ya kula mimi, na vidume vyenyewe ni vya kuhesabu" "mmmhhh haya Twende.. Ila shost mlaini mpaka raha yani" "jasu, unataka ulete tabia ya kule shule si ndio eee" KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... "baaasi twende, heeee hutaniwi" Basi jasu na rehema waliita tax na kuipanda, Tukija huku kwa kijana chidi, aliokuwa yupo nje akimsubiri saidi ili waende wote PIN POINT (Disco)… Ghafla rafiki yake anatokea na pikipiki wakapanda mshkaki, (wawili kwenye pikipiki moja) waliondoka na kuelekea huko kunako Disco, Kijana chidi ndio kwanza anaenda Disco, toka aje jijini Arusha hajawahi kuingia Disco hata siku moja, huwa anayasikiaga tu watu wakisifiana,… Kwakuwa ni usiku na barabara haikuwa na jamu iliw…