Sehemu ya Thelathini na Nane, mama huyo huku, aliongea hivyo huku, dar es salaam, mama yake chidi, anakula raha zake, es salaam nataka, mama sarah
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (38) Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA THELATHINI NA NANE ILIPOISHIA... Aliongea mama huyo na kumpa chidi wakati mgumu japo ni rahisi kufanikisha, chidi kufunua kale kaupande cha kanga, kweli mama wa watu hakuwa hata na chochote mwilini zaidi ya huo upande wa kanga,… Dakika moja mbele tunamuona chidi akiwa na boxer tu, huku akiwa anapanda kitandani,.. "bwana chidi nimekutania tu wala sitaki kwa leo" KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Mama huyo aliongea hivyo huku chidi akitoa mimacho, mana alitegemea kula tunda la msimu kutoka kwa mama huyo "mamy kwanini unanifanyia hivyo" Aliongea chidi huku akitia hurumaaaa "afu chidi wangu, nilishakwambia usiniitege mamy,.. Mi naitwa Grace " "No, No, siwezi kukuita jina lako, nitakua sijakutendea haki na umri wako" "nitaridhika na kufurahi kwa wewe kama utaniita hivy…