Sehemu ya Kumi na Moja, makalio yake, akamtolea macho ya, hivyo nurat huku, kijiji cha jirani, kutoka kijiji cha, kwenye kitumbua cha
Zephiline F Ezekiel
MUUZA SUPU (11) Jina: MUUZA SUPU Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA KUMI NA MOJA ILIPOISHIA... Subira alimjibu haraka kuwa mtu anayemuulizia ambaye ndio Sonki hayupo kisha Tuzanga akaondoka ambapo naye Nurat akiwa na wapambe wake aliondoka Huku nyuma Subira aliangua kicheko cha umbea mpaka akawa anashikila mbavu kwa kuzidiwa na kicheko, WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Sonki alijitokeza kutoka kule alikokuwa amejificha kwenye matenga yaliyokuwa yanatumika kuihifadhia kuku,,,mmh,Ahsante sana Subira,sikutaka kabisa mwanamke huyu anione,,,aliongea hivyo Sonki huku akijikunguta manyonya kuku yaliyomganda kichwani mwake,,haya nimekuokoa,unanilipa nini,,?,,lakini Subira mbona unapenda sana haya mambo,,,?,kidogo tu nipe halafu hatutafanya tena ,,,aah,we si uko na Kisungura,,?, aah yule mfupi sana bwana, halafu hawezi,,,mi siwez…