MUUZA SUPU (15)

Sehemu ya Kumi na Tano, mtalimbo wa kijana, wake na kuanza, heshima na tahadhima, kumsugua kitumbua chake, kwa muda kama, mbele ya wanatamuni
Zephiline F Ezekiel
MUUZA SUPU (15)
Jina: MUUZA SUPU Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA KUMI NA TANO ILIPOISHIA... Vijiji vingi walianzisha zoezi hili ambapo lilionekana likifanywa vyema sana na watu wa TAMUNI kitu kilichosababisha kijiji cha TAMUNI kujulikana kama ndio waanzilishi Tangu waanzishe wawape watu mawazo ya kuanzisha utamaduni huo ni kwambawalikuwa n uataratibu wa kuwapitia kila kijiji na kukipima kama kweli wako vizuri kwenye kulifanya vyema zoezi hilo, WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Leo ndio ikaangukia kweny ekijiji cha TAMUNI ambapo mzee huyo aliyekuwa na kitengo cha kuwafundisha vijana mambo hayo ya kufanya wakiwa DAKUTONI aliwaleta vijana wake ili wawapime wana TAMUNI Kwa heshima na tahadhima alikaribishwa vyema Mzee huyo aliyeitwa ODOSO ,ambaye alikuwa amenioa upara,aliketi pembezoni mwa Mwenyekiti wakati wanakijiji wote w…