Sehemu ya Kumi na Saba, mtalimbo wake, hivyo sonki huku, alipiga hatua za. hatua za taratibu, hivyo lina huku, hivyo mzee huyo, kitumbua cha lina
Zephiline F Ezekiel
MUUZA SUPU (17) Jina: MUUZA SUPU Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA KUMI NA SABA ILIPOISHIA... Yalikuwa ni baadhi kati ya maneno mengi yaliyoandikwa kwenye karatasi hiyo iliyokaa kama barua,Sonki aliishia hapo kusoma ambapo aliigeuza nyuma ambapo aliona jina la Nurat,aliishusha pumzi kidogo na kumwangalia Queen aliyekuwa amevimba shingo yake kwa wivu,,,huyo mwanamke anataka nini hivi,,?,aliuliza Quee kwa jazba,,,sielewi kwakweli maana amekuwa kama shetani,,, WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Alijibu hivyo Sonki ambapo Queen aliahidi lazima atakula naye sahani moja,hawezi kukubali apokonywe Sonki wake kirahisi Kwa upande wa Lina naye hakuelewa kitu chochote juu yanayoendelea kwa Sonki,lakini matamanio juu ya Sonki bado yalikuwepo ambapo kwenye akili yake alijua ana muda mwingi wa kufaidi Penzi la Sonki Baada ya siku moja ku…