MUUZA SUPU (18)

Sehemu ya Kumi na Nane, hivyo sonki ambapo, hivyo ambapo alikuwa, hivyo nurat huku, kiarage chake kilichosimama, kwenye kitovu chake, kwenye kitumbua
Zephiline F Ezekiel
MUUZA SUPU (18)
Jina: MUUZA SUPU Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA KUMI NA NANE ILIPOISHIA... ,,, Nurat , najua wewe una maisha mazuri sana,lakini sitaki nikukubalie halafu nikutese,msema ukweli ni mpenzi wa mungu,kwenye Moyo wangu haupo kabisa,nisamehe kwa hilo mama,,,pindi alipomalizia kusema tu hivyo Sonki alishangaa Nurat akiangua kilio cha nguvu kwani maneno hayo yalikuwa kaa la moto ndani ya moyo wake,,, WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... ,,,Sonki kwahiyo hunipendi kabisa,,,?,aliuliza Nurat huku akibubujik amachozi uso mzima ,,,huo ndio ukweli Nurat inabidi uukubali tu,,,jibu hilo la Sonki lilikuwa kama ruhusa kwa Nurat aliyenyanyuka na kwenda kufungua droo ya kitanda kisha akatoa Bastora,,,hapana Nurat usiniue tafadhari,,,alizungumza hivyo Sonki huku akiwa tayari ameshaingia uwoga,lakini Nurat hakuwa na nia ya kumuua…