Sehemu ya Ishirini na Tatu, ndani ya gari, aliyekuwa akilalamika kwa, kitumbua chake kwa, kumi na mbili, kwenye kitumbua cha, mtalimbo wa denis
Zephiline F Ezekiel
MUUZA SUPU (23) Jina: MUUZA SUPU Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU ILIPOISHIA... Jibu hilo la Denis lilimpa ujasiri Tibuta ambapo hata Sensia mwenyewe aliyekuwa anasikia Maongezi hayo kwa mbali alijisikia mwepesi,kwa upande wa Denis kama Lina hakuwepo TAMUNI,hakukuwa na haja ya yeye kuendelea kukaa,alimfuata Sensia na kumwambia waondoke,,, WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... ,,,lakini Denis,hamna shida,wewe ungeenda mimi nitabaki huku nina Maongezi kidogo na mwenyekiti,,, ,,,sijisikii vizuri Sensia,kichwa kinaniuma sana,naomba unipeleke halafu wewe utarudi,,, ,,,sawa,, Basi Sensia alikubali kumpelekea Denis japo hakupanga hivyo,alishindwa hata kurudi kwa Lina na kumpa taarifa yeyote,alichotaka Sensia na kutumia hata siku mbili kukaa na rafiki yake kipenzi, Denis aliketi nyuma kwenye siti huku Sensia naye aki…