Sehemu ya Ishirini na Nne, hivyo shukli huku, baada ya kumaliza, chuchu za lina, chuchu zakelakini denis, kulipiza zaidi ya, kwenye chuchu zakelakini
Zephiline F Ezekiel
MUUZA SUPU (24) Jina: MUUZA SUPU Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE ILIPOISHIA... ,,,mmh,unamaanisha kumwua,,? ,,,ndiyo,kwasababu,hata nikumuigizia mapenzi,kwa mfano akinipiga picha na mimi,tutakuwa tumemaliza tatizo au tumeongeza,,? ,,,mmh,ni kweli,lakini kuua kesi hiyo Lina wewe,,? ,,,ina maana yale yote aliyokufanyia bado unamwonea huruma,,? WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... ,,,mmh,haya rafiki yangu,,, Wakiwa hapo sebuleni waliendelea kujadili suala hilo ambapo walifikia uamuzi wa kumpigia simu rafiki yao aliyejulikana kwa jina Shukli ,walimwita nyumbani hapo ambapo haikuchukua muda mrefu kufika,ilimchukua kama saa nzima kufika hapo,pindi alipowasili tu ndani palichangamka utadhani palikuwa na watu kumi wakipiga stori,alivalia sketi fupi iliyomwonyesha mapaja yake sehemu kubwa ambapo juu alivalia kiblauzi k…