Sehemu ya Ishirini na Sita, kwa upande wa, ndani ya gari, ambapo kuna muda, cha subira kilichokuwa, hivyo nurat huku, kiasi ambacho hata, kwa sauti ya
Zephiline F Ezekiel
MUUZA SUPU (26) Jina: MUUZA SUPU Mwandishi : Geofrey Malwa SEHEMU YA ISHIRINI NA SITA ILIPOISHIA... ,,,tena hapa atakuwa na wasiwasi maana nimeondoka sijamwaga vizuri,,, ,,,una maanisha Celline yuko hapa kijijini,,? ,,,ndio naishi naye hapa,,, ,,,mi nikajua unaweza kuwa na mke hapa ndio maana nikamtuma yule kijana akwite pasipo mkeo kujua,laiti kama ningejua kama ndio hiko kicelline kipo huko ningekuja mwenyewe,,,, WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Kwa jazba aliongea hivyo Nurat huku akimwangalia Sonki kwa hasira kiasi ambacho hata Sonki mwenyewe alianza kuogopa Celline akiwa nyumbani machale yalimcheza n akuona kama kuna kitu kisochoenda sawa kinaendelea juu ya mme wake,kwavile nyumbani kwa mwenyekiti hapakuwa mbali,alipohakikisha mtoto amelala,alianza safari ya kwenda kwa mwenyekiti Huku kwa upande wa mwenyekiti mambo yaliku…