MUUZA SUPU (27)

Sehemu ya Ishirini na Saba, aliendelea na mchezo, kile cha tamuni, kitumbua cha shuha, kwa ajili ya, kwenye kitumbua cha, na kile cha, ya hewa ya
Zephiline F Ezekiel
MUUZA SUPU (27)
Jina: MUUZA SUPU Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA ISHIRINI NA SABA ILIPOISHIA... Deo na Subira wakiwa ndani ofisi hiyo waliposikia maneno hayo walisitisha mara moja mchezo huo ,,ha!,yaani mi sikuachi leo,lazima nikufanye kama ulivyomfanya mpenzi wangu,,,aliongea hivyo kwa jazba Kisungura aliyeingia hapo ndani ya ofisi na kuwakuta Deo na Subira mpenzi wake wakila raha za dunia,Deo alitoa macho yale ya kufumaniwa ugoni huku akitetemeka mwili wake, WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Zilipopita dakika mbili wakaja vijana wengine wawili waliokuwa wahudumu wa mgahawa huo,wakaanza kumpampu Kisungura amfanyie fujo Deo kwani hata nao hawakuwa wanapenda jinsi anavyowabana kuliko hata Bosi mwenyewe,maamuzi aliyoyafanya Kisungura ni kumwacha Subira kwani alihakikisha hajatulia,alimsamehe Deo ambapo ikawa mwanzo wa De…