MUUZA CHIPS (89)

0
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA THEMANINI NA TISA
ILIPOISHIA...
"kwani huyu kijana mnafahamiana"

Aliuliza mama miriam huku akishangaa,

"ndio.. Huyu ni mtu wa kijijini kwetu"

"Alaaaaa, mbona taarifa za kujuana kwenu sizijui mimi"

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"tusamehe boss"

"ok.. Sasa bora aende huyu, ila wewe baki mana ndio unatakiwa uandae chipsi"

"sawa boss"

"una pesa ya kutumia huko aendako"

"ndio boss tunayo"

"ok.. Safari njema kwa weww unaesafiri"

Aliongea mama miriam, na kuwapa ruksa kwa safari yao, lakini kijana chidi yeye haendi, ataenda saidi tu.. Basi waliondoka wote na kwenda hospitali kumchukuwa mgonjwa na kumpeleka Airport kwa safari zaidi..

Lakini sasa huku kwa mama miriam akili yake haijakaa sawa mana chidi haonyeshi kama kweli anaishi na miriam,…

"nisije kumkamata kijana wa watu afu asiwe na kosa"

Aliongea mama miriam huku akipokea simu iliokuwa inaita hapo ofisini kwake..

"halooo afande… Hebu subiri kwanza mana huyu kijana ananichanganya sana, mana kuna kidhibiti nimekiona ni kweli anae, lakini yeye mwenyewe anaonyesha hako nae, yaani yupo kawaida kabisa yani"

"kwahio tufanye boss"

"hebu subiri kwanza ila kesho lazima niwape kazi ya kumkamata lakini leo tumuache kwanza"

"sawa boss"

Mama miriam aliongea na kukata simu,.. Yaani akili alioifanya chidi inampa mama wa watu tabu,… Na hivyo chidi ndivyo alivyotaka iwe yaani aaminike lakini kumbe ni joka la kidisa,… Mtihani wa chidi unafaulu mana hicho ndicho alichokitaka chidi kiwe..

Tukija huku kwa sarah akiwa anatafuta chansi ya kutoka mana mama yake alikuwepo karibu,…

Lakini akaona kwanini ajitese buuure

"mama natoka kidogo naenda kwa rafiki yangu"

Aliamua kuaga kabisa kuliko kutoroka toroka

"wapi tena… Kama ni miriam si hayupo"

"sio kwa miriam"

"afu… Mwambie miriam kuwa aachane ujinga"

"kwanini mama"

"miriam katoroka kwao na mimi ndio najua mpaka alipo"

"mmmmhhh mamaaaaaa we nani kakwambia siri hio"

"we nenda zako ila usichelewe kurudi nami nina safari zangu"

Sarah hakutaka kuuliza sana kuhusiana na sehemu alipo miriam, japo anajua yupo kwa mpenzi wake lakini sarah hajui nyumba wanayoishi,

Sarah alichukuwa gari yake kisha huyoo akaondoka zake, haikujulikana anakwenda wapi

Tukija huku kwa akina sabra na dada jasmini, wakiwa wapo sebuleni wakimchezea mtoto huyo,..

"lakini dada haka katoto ni kazuri eti"

"hata mi mwenyewe nakapenda kweli, ila duuuu"

"ivi dada, hatuqezi kuarisha mpango"

"weeeeeee… Weeeeeee… Weeeeeee… Ishia hapo hapoooo… Nani aishi kimaskini hivyo"

"lakini dada"

"hakuna cha lakini…. Kwanza siku zinazidi kwenda na wewe huoni hata kuwa kampuni zetu zinashuka kabisa"

"ni kweli dada ila mmhhh, au basi tu"

Sabra alionekana kutokupendezwa na hali hio, lakini dada yake ndio mwenye nia ya kufanya ushetani huo

"yaani uyu mtoto anafanana na chidi aaahhh yaani utafikiri sura imebandikwa"

Aliongea sabra huku akimkagua mtoto huyo

"wamefanana ni kweli, tena si unaona hata hii alama hapa usoni, hata chidi anayo"

"dadaaa,.. Tafuta mtoto mwingine dada"

"sabra nitagombana na wewe, nishakwambia tutagombana"

"basi yaishe"

Sabra alitulia kama mdogo mtu mana hakuwa na maamuzi juu ya hilo lakini sabra yeye yupo tayari kuishi hali ya kimaskini kuliko kuuwa mtu ndio upate pesa….

Tukija huku kwa chidi akiwa ndio anarudi Airport kumsindikiza saidi na kaka yake waliokuwa wanakwenda Dar es Salaam kwa matibabu zaidi,.. Lakini wakati anarudi ghafla simu yake inaita kucheki jina alikuwa ni sarah, aliipokea simu hio tena kwa furaha nzuri

"haloo baby chidi wangu upo wapi"

"nipo hapa tanapa, natoka Airport"

"kufanya nini"

"kaka yangu anaumwa hivyo anapelekwa Dar es Salaam kwa matibabu zaidi"

"ooohhh so vp nipo HALF HOTEL hapa nakusubiria"

"wachaaaaaa…. Nakuja sasa hivi mana hata mimi nina hamu na wewe mpaka basi"

Chidi alifurahi baada ya kusikia kuwa sarah alikuwa akimsubiria, mana hata yeye ana muda hajakutana nae,.

"Eti eee… Njoo basi"

"subiri dakika tano nipo hapo… Dereva kimbiza gari fasta, twende hapo HALF HOTEL chap chap kuna mtoto apo"

"poa poa boss"

Basi chidi aliiweka simu yake mfukoni huku akimvutia kasi mpenzi wake sarah,…

Dakika tano mbele chidi anaiona gari ya sara ikiwa imepaki nje ya hoteli fulani hivi jijini hapo,… Sasa chidi kujisachi, alijikuta hana pesa ya kulipa taxi, mana utoaji wa pesa kwenye akaunti ya miriam hua anatoa pesa inayotakiwa yaani hatoagi na balansi, kama inatakiwa lakini tano basi ni hio hio ndio inayotoka,..

"boss nipatie pesa basi"

Dereva aliongea hivyo huku akinyoosha mkono wake… Chidi alishika simu yake na kumpigia sarah aje pale alipokuwa kasimama,. Kweli Sarah alimwona chidi wake na kumkimbilia…

"jamaaani chidi wanguuuuuu"

"niambie baby… Sasa baby ebu lipia hii tax kwanza kisha tuendelee na mengine"

Sarah hakutaka kuuliza ni kiasi gani alitoa elfu 50000 na kumpa dereva tax… Chidi alitoa macho mana pesa aliopewa dereva ni kubwa na wenyewe walielewana shilingi elfu 30 tu kutoka hospitali mpaka Airport kisha kumrudisha mjini… Chidi alitaka kusema pesa kubwa lakini akatulia tu ile kiume, lakini imemuuma kweli dereva yule kupewa pesa ndefu vile, mana chidi ni bahili kinoma na ndio mana anajiita #tAfBoy (Tanzania's Frugal Boy)… Basi dereva aliondoka zake kisha chidi na sarah wakaingizana ndani ya hoteli hio…

Walipofika chumbani wakiwa wameingia na nyama choma na vinywaji vingi tu…

"ina mana baby umekosa hela ya kulipa tax"

Aliongea sarah huku akimvizia amnyonye denda

"yaani ata sijui kwanini sijatembea na pesa"

"waaapi we muongo jamani baby… Suruali lote hili halina hata mia,.. Usifanye hivyo baby, ungenipigia hata simu nikutumie pesa"

"aahhh hua spendi kuomba"

"afu we utakuwa na pesa sema ulifanya kusudi tu, ili mi nilipe"

"kweli sina sachi uone"

Kweli Sarah ile kiutani utani kaanza kumsachi chidi katika mifuko… Chidi akatoa waleti iliokuwa imetuna lakini haikuwa pesa, bali yalikuwa ni lisiti za vitu alivyokuwa akivinunua kule hotelini, pamoja na vitambulisho vyake,… Basi chidi akaitupa pale kitandani ile waleti huku sarah kuingiza mkono mfukoni lakini kaenda kushika vitu vingine vya ndani

"sarah jamani sasa unatafuta pesa au dudu yangu"

"hii dudu ndio naitaka sina shida ya kujua pesa zako"

"ngoja basi nivue nguo baby"

"aio wewe tu, hata mimi navua"

Dakika mbili mbele wote walikuwa na vichupi tu,…

"mmmhhhh leo umevaa chupi nzuri jamani sarah wangu"

"wewe pia una boxer nzuri… Ila nimependa zaidi kilichofichwa na hii boxer"

"mmmhhhh kichupi chako chantia nyege"

"afu mi naona unapendaga kuwashikia kuku wako manati ee"

"kwanini"

"sasa mbona unanitamani tu lakini mbona huivui chupi yangu ili ule vyako"

Sarah hata yeye alikuwa ana hamu na chidi kuoita maelezo yaani hapo mtoto anafanya kutetemeka kwa hamu…

"Ayaaaa… Ni nini hiki kinaniumiza baby"

Ooohhh Sarah aliilalia ile waleti na kujihisi kama kaumia

"aahhh ni hio waleti ilete tuiweke huku"

"afu kwanini umejaza mikaratasi tuuuu yaani nachukia mimi… Hebu ona haya makaratasi yote ya nini humu….. Haaaaaaaa chidi hii kadi umeitoa wapi"

Heeeeeeeeeeeee Sarah kaona ile kadi ya miriam ambayo chidi anatembea nayo, chidi kuskia hivyo tu, moyo wake ulimpasuka paaaa..

"unasemaje, kadi gani hio"

Sarah alishuka mpaka kitandani huku akiwa kaishika hio kadi ya rafiki yake mpendwa,.. Sarah anajiuliza maswali mengi ni kwanini chidi anatembea na kadi benki ya rafiki yake, tena rafiki yake kama ndugu…

"chidi,… bila kupata kigugumizi naomba uniambie hii kadi umeipataje pataje, kutoka kwa mwenyewe, na kakupa ukiwa kama nani"

Aliongea sarah huku akiwa kakasirika ghafla,…

"ngoja kwanza, kwani unamjua huyo dada"

Chidi Alimuuliza Sarah huku akiwa ana hofu juu ya hilo

"huyu, ni sawa na ndugu yangu,.. Yaani toka watoto mpaka leo hii tupo pamoja, sasa ndio nashangaa kuona kadi yake kwako"

Sasa chidi kuskia hivyo, hofu ilimtoka kwasababu tayari keshajua njia ya kuanzia, mana kama wanajuana vizuri basi hata makazi yao wanajuana… Hivyo chidi akatulia kama sekunde kadhaa hivi kisha akaanza kuongea trna kwa kujiamini mno…

"sasa kama wewe ni ndugu yake na huyo dada, mbona hata wafanyakazi wake huwajui"

Aliongea chidi tena kwa kujiamini mno..

"una maana gani"

"mimi nafanya kazi kwenye hoteli yao"

Sasa sarah kuskia hivyo akavuta kumbukumbu kuwa kuna siku miriam alimwambia kuwa…

"Sarah, kwenye hoteli yetu kumeletwa kijana mpya, hakiyamungu vile nimempenda bure, yaani nampenda mpaka basi"

Aliongea miriam siku hio walipokuwa chumbani, na siku hio miriam alienda kulala kwa sarah,..

"eeeeehh yaani kaka wa watu kuja leo tu ushampenda"

"kiukweli nampenda, ila sijui njia ya kumnasa"

"heeeeeeeee kwani yupo kitengo gani hapo kwenu"

"Ni mpishi wa chipsi… Anajua kupika chipsi huyo, Uuuuuuuwwwiiiiiiiii"

"booooo yaani unampenda mpika chipsi.. Heheeeew halooooo bora ya mie ninaemiliki jambazi kuliko mpika chipsi.. Mtu aungue na moto ukoo"

Aliongea Sarah twna huku akiwa anacheka kwa dharau baada ya kujua miriam kampenda mpika chipsi,..

"sarah, naomba tueshimiane please tutagombana"

"Eheheheheeheheheheheheh halooo shost umebugi, tafuta watoto wa maana kama wangu"

Miriam alikasirika sana lakini hivyo ndivyo ilivyokuwa….

Sasa baada ya sarah kukumbuka maneno hayo, Sarah Alimuuliza chidi swali moja tu

"wewe ni mfanyakazi wake si ndio, je upo kitengo gani"

Chidi kabla hajajibu kitu akayachuja yale maneno mara moja kisha akamjibu…

"mimi ni mtu wa nyama,.. Au ulishakuja kule upande wa nyama choma ukanikosa"

Chidi aliongea hivyo mana anajua tu hakuna siku kaja pale hotelini, hivyo hata sarah atabaki kimya…

Sarah baada ya kujua kuwa chidi ni mchoma nyama pale hotelini basi hakuwaza kibaya tena

"ok na hii kadi umeipataje"

"aahhhh nakumbuka jana mchana mama yake alikuwa katoka kupeleka pesa benki,.. Lakini nyama iliisha jana mchana, na ofisini hakukuwa na pesa, ikabidi miriam anipe kadi yake nikanunue ng'ombe mzima, hivyo mpaka sasa nimebaki na kadi yake na hata leo asubuhi sijamuona, ila leo nataka nikampe mama yake"

Sarah alikosa la kuongea baada ya kusikia maneno hayo, aisee chidi lina akili, lakini spati picha aiku akikamatika, na uzuri ni kwamba tayari keshajua kuwa huyu sarah na miriam ni marafiki tena wakubwa sana,

Basi Sarah alimuelewa kijana chidi kisha akairudisha ile kadi katika waleti, mambo yalianza upyaa,.. Chidi na sarah walianza kunyonyana madenda huku chidi akimminya minya Sarah makalio yake alio yavalisha chupi lainii na chidi ndio alizokuwa akizipenda mana zinampaga hisia za mapenzi kwa haraka mno.. Sarah alikuwa kajivisha uchupi wa bluu, mlainiiiiii, chidi alikuwa akiishambulia kwa kuishika shika na kuifanya kama anaivua hivi, wakati huo boxer yake imetuna na ilikuwa ikimgusa sarah katika mapaja yake

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)