Notifications
  • MY DIARY (40)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINITULIPOISHIA...Alikuwa akinyata kwa kweli. Kweli hata mimi nilimkubali tu siku ya kwanza ingawa bado nilikuwa sijajua ufanisi wake wa kazi.Nilikaa nae hapo kwangu kwa mda wa siki tatu huku asubuhi tukiamka na kuendelea na kazi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ndani ya mda huo nikagundua kuwa alikuwa na uzorfu mkubwasana hivyo kazi hiyo alikuwa akiimudu kabisa.Hapo sasa nilimkubali sana…
  • MY DIARY (39)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TISATULIPOISHIA...Nilikuwa na furaha sana huku nikiamini kuwa ndoto zangu za kuja kuwa mtu maarufu zinaweza kufanikiwa hata kabla ya kuyapata yale madini. Sikutaka mbwembwe niliamua kuikopi na kuipesti hiyo stori kama ilivyo na kuifowadi kwa Mark.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kama lisaa hivi Mark alipiga na kuniuliza kama kweli ilikuwa nai mimi nimetunga hiyo…
  • MY DIARY (38)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA NANETULIPOISHIA...Usiku nilishituka usingizini baada ya mbu kuning’aata na kunisumbua sana. Niliwachukia sana hao mbu kwa sababu walinikatisha ndoto yangu ambayo nilikuwa nikiota.Ndoto ilikuwa ikielezea jinsi harusi yangu na Mark itakavyokuwa. Ndoto ilikuwa tamu sana maana ilinipa taswira ya picha halisi ya maisha yangu ya mbeleni.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilishusha neti…
  • MY DIARY (37)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA SABATULIPOISHIA...Hapo alitulia tulii kama mtu aliyeaamia dunia ingine. Kimoyo moyo nikawa najisemeha kama amehamia dunia ingine na kuanza kuwaza ujinga sahuri yake mimi nipo kazini bwana acha nitafute hela. Ndio ni lazima nifanye kazi kwa utaalamu na utundu wa hali ya juu ili waendelee kusimuliana huko mjini ili niendelee kupata hela.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Wewe…
  • MY DIARY (36)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA SITATULIPOISHIA...Sasa wewe fikiria mimi niliyeletewa zawadi sikujua ni zawadi gani lakini yeye tayari alishafungua na kuchungulia na kujua nini kilifungwa huko ndani.Basi nikaendelea kumuhudumia yule mama huku na yeye akiniambia kuwa itabidi nikimmaliza hizo zawadi tusifungue hapo hapo na waniimbie wimbo wa happybirthday.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Tuliendelea na stori mbili…
  • MY DIARY (35)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TANOTULIPOISHIA...Tatu niliambiwa kuwa ndugu zake na wazazi wake walihusika kwenye mipango hiyo hivyo walibariki kabisa huyo binti kuniacha mimi mumewe wa ndoa na kuamua mtoto wao aolewe upya. Nne ni kwamba huyo mzungu amewaamishia wazazi wake mjini na amewajengea nyumba ya kifahari.Kwa hiyo mimi ninavyowapigiana simu na kuwajulia hali kumbe wenzangu huwa wananichora tu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (34)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA NANETULIPOISHIA...Hapo nikakumbuka kuwa zile zana zangu za kazi nilikuwa nazo ni vile vifaaa vya kupimia ukimwi ambavyo huwa navitumia kabla ya kukutana na mwanaume yeyote nisiyemfahamu. Nikaamua kumkubalia huku nikiamini kuwa hiyo ndo kinga yangu pekee iliyobaki kama mwanaume huyo atataka kuzini na mimi usiku huo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi tuliondoka na kwenda sehemu…
  • MY DIARY (33)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TATUTULIPOISHIA...Nilikuwa nachanganya staili za kijamaika na hizi za kwetu, sikuacha pia zile za Nigeria hapo nikapata vitu vyangu vya tofauti kabisa. Basi baada ya kujihakikishia kuwa nipofiti kwa mastahili yangu hayo nilisubiri siku ya shindano ifike nikafanye yangu. Siku ya shindano ilifika na mimi nilikuwa miongoni mwa washiriki walioingia tatu bora.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (32)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MBILITULIPOISHIA...Lakini kuchepuka kwangu na kuingia mgombani haikumaanisha kuwa sheria ingeniacha hivi hivi.Ilifika mahali ikabidi nizime gari na kutulia tulii kusikilizia nini kitafuata.Tayari nilikuwa nimezungukwa na mapolisi ambao walikuwa wakinifuatilia kwa kutumia pikipiki.Kwa bahati nzuri dereva wa lile gari na yeye alishafika hapo na alishawaambia polisi kuwa mimi naugua ukichaa na nilifufuka kutoka mochwari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (31)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MOJATULIPOISHIA...“marehemu pia alinieleza kuwa ana miliki duka la vitu vya urembo wa kike ambalo pia Leah analisimamia ila hilo apewe mdogo wake Marry ambaye yupo hapa. Mama mdogo huyo mara baada ya kuyasema hayo alikaa zake chini. Baba mdogo ambaye hakurizika na maelezo hayo alisimama na kusema “kwa hiyo kama marehemu alijua kuwa atakufa hivi karibuni kwani nini hakufuata taratibu za kisheria za kuandika wosia na kurithisha mali.IKIWA UNASOMA…

SIKUACHI BABY (10)

Mwandishi: Juma Hiza

SEHEMU YA KUMI
TULIPOISHIA...
“Metu basiii naumiaaaa,” aliniambia wakati huo nilikuwa nimeshahama kutoka pale kisimani nilikuwa nimehamia upande wa masikioni, nilikuwa kama kuna kitu nataka kumnong’oneza aliponiruhusu nifanye hivyo nikaanza kuutumia ulimi wangu kulamba sehemu za ndani za sikio lake. Kitendo hicho kikazidi kumfanya atokwe na ukulele mkubwa sana huku akiwa amenikumbatia kwa nguo.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA CnZ Media APP INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO

SASA TUENDELEE...
“Basiiii babyyyy inatoshaaaa naumiiiaaa,” aliniambia kisha akanitaka niingie mchezoni.

Kabla ya kufanya hivyo nilimwambia acheze na mtwangio wangu aliyekuwa amekasirika kwa wakati huo lakini kitu cha ajabu alikataa kufanya hivyo.

“Ilambe basi kwanza,” nilimwambia.

“Siwezi mpenzi ingiza tu,” aliniambia.

“No! mpaka uilambe.”

“Siwezi kufanya hivyo.”

“Baby.”

“Ingiza mpenzi,” aliniambia.

Nilichoamua kukifanya nilitumia mate yangu kuulainisha mtwangio wangu ambao ulikuwa umesimama kikakamavu kabisa, nilipomaliza nilimrudia Samira, nikampanua mapaja yake akawa amelala staili ya kifo cha mende, nikauingiza mtwangio.

“Aaaahhh oooohhhhh auuuuh aaaahhhh,” alianza kutokwa na miguno nilipoanza kazi ya kutwanga kinu.

Kila sekunde iliyokuwa inapita nilizidi kuongeza kasi ya kutwanga, hali ambayo ilizidi kumfanya Samira azidi kutokwa na miguno lukuki pale kitandani.

Alianza kuyakusanya mashuka yaliyokuwa yametandikwa vyema pale kitandani, aibu zilikuwa zimemtoka, akazidi kunitazama huku macho yaliyolegea yakinidhihirishia raha aliyokuwa akiipata kwa wakati huo.

Niliendelea kutwanga kinu huku hisia nazo zikizidi kunipanda, nikaanza kutokwa na miguno, nilikuwa nakaribia kuwatoa wazungu weupe na baada ya sekunde chache nikawa tayari nimeshawatoa, niliwamwagia ndani.

Tulibadilisha staili kama nane na kila staili niliyobadilisha nilihakikisha namtwanga vilivyo kinu chake. Sikumuacha mbali katika kuyatoa mashuti yake, alikuwa mwepesi wa kufunga magoli ya mfululizo na mpaka mwisho wa mchezo alikuwa amefunga magoli yasiyokuwa na idadi.

Siku hiyo tulilala katika Lodge hiyo huku mchezo ukiwa ni huo huo usiku kucha, nilihakikisha namaliza hasira zangu zote.

Baada ya kupita miezi mitatu maisha yangu yalibadilika kwa asilimia kubwa sana, Samira alikuwa akinipa pesa ambazo nilizitumia katika kubadili muonekano wa chumba changu, alinibadilisha kwa kiasi kikubwa sana, nilikuwa nikipendeza.

Niliishi maisha hayo huku nikiendelea kumchanganya na wasichana tofautitofauti niliyokuwa nikikutana nao mpaka pale siku moja ambapo niliweza kupigiwa simu na Bianka, nilipopokea alikuwa akilia kwa wakati huo na sikujua ni nini kilichokuwa kinamliza.

“Kuna nini?”

“Naumbuka Metu.”

“Unaumbuka na nini mbona sikuelewi?”

“Nina mimba yako.”

“Una mimba yangu?”

“Ndiyo Metu nina mimba yako,” alinijibu.

Sikutaka kuamini kile alichoniambia Bianka, nilihisi kuchanganyikiwa kwa muda baada ya kusikia maneno hayo.

Kama haitoshi nikapata pigo lingine tena, nilipigiwa simu na namba ngeni, nilipopokea ghafla! nilipata vitisho vikali kutoka kwa mwanaume aliyejitambulisha kuwa ni mume wa Samira, aliniambia nikae mbali na mwanamke wake huyo lasivyo nilikuwa najihatarishia usalama wa maisha yangu.

Nilibaki nimeduwaa kwa muda huku nisijue ni nini nilitakiwa kufanya kwa wakati huo, simu mbili nilizozipokea ziliniweka katika wakati mgumu mno.

Sauti ya yule mwanaume aliyejitambulisha kuwa ni mume wake na Samira ilianza kujirudia kichwani mwangu, nilikumbuka kila kitu alichonieleza kwa wakati ule.

Taarifa ya Bianka aliyoniambia kuwa ni mjamzito nayo ikazidi kuniweka katika wakati wa mawazo, sikutaka kuamini kama kweli alibeba ujauzito wangu katika kipindi kile, nilianza kujuta kwa kosa kubwa nililokuwa nimelifanya, nilijiona kuwa mzembe sana kwa kukubali kufanya mapenzi bila kutumia kinga. Hilo lilikuwa ni kosa kubwa sana. Nilijilaumu mno.

                                              ****
“Unaujazito wangu kweli?”

“Ndiyo.”

“Umeingiaje tena?”

“Ina maana umesahau ulivyokuwa unafanya mapenzi na mimi.”

“Hapana sijamaanisha hivyo mbona sasa hukuniambia kama uko katika siku zako za hatari?”

“Tumeshafanya kosa mpenzi sasa mimi nitafanyaje?”

“Unanipa wakati mgumu sana.”

“Wakati mgumu kivipi inamaana kumbe ulikuwa huna malengo na mimi?”

“Hapana.”

“Ila?”

“Mwenyewe unaona hali ya maisha yangu, kazi yangu ya bodaboda nayo haitabiriki hivi nitaweza kweli kumlea huyo mtoto?”

“Hivyohivyo Metu tutamlea kwani wewe unatakaje?”

“Tuitoe hiyo mimba.”

“Unasemaje?”

“Mpenzi wangu nakuomba tuitoe hiyo mimba na kama tatizo ni mtoto tutazaa kwa wakati mwingine tukishakuwa tayari.”

“Metu mimi siwezi kushiriki hiyo dhambi, siwezi Metu.”

“Huwezi nini mpenzi wangu naomba unisaidie katika hili, nakuahidi sitokuacha katika maisha yako, siwezi kukuacha nisaidie mpenzi wangu.”

“Metu mimi sipo tayari kufanya hivyo.”

“Haupo tayari kivipi Bianka inamaana kumbe hunipendi?”

“Nakupenda sana lakini embu nionee huruma.”

“Kama unanipenda basi nisikilize, kubali kuitoa hiyo mimba kama tatizo ni pesa mimi nitakutafutia ya kutolea.”

“Metu nielewe siwezi halafu Mama tayari ameshajua,” aliniambia Bianka maneno yaliyozidi kuniweka katika wakati wa mawazo.

Nilijaribu kutumia kila mbinu za kuweza kumshawishi akubali kuitoa mimba lakini ilishindikana, mwisho aliamua kuniambia ukweli kuhusu Mama yake kuwa tayari alishafahamu kila kitu na hivyo isingewezekana kuitoa.

Hakukuwa na siku ambayo naweza kusema nilikuwa katika wakati mgumu kama siku hiyo, kila nilivyokuwa nikimtazama Bianka nilihisi kuchanganyikiwa.

                                            ****
Baada ya mume wake Samira kunipigia simu na kunipa vitisho vikali kwa kweli nilishindwa kuendelea na zoezi langu la kila siku katika kumpeleka ofisini kwake na kumrudisha, nilishindwa mpaka kumpigia simu.

Nilihofia mambo mengi sana ambayo angeweza kunifanyia mwanaume huyo aliyeonekana kuwa na hasira sana.

Niliyakumbuka maneno ya Samira aliyoniambia kuwa alikuwa hana mume katika maisha yake, nikashindwa kuelewa ni nini kilichokuwa kikiendelea nyuma ya pazia kwani nilishaanza kupata vitisho vya kuuliwa na kisa alikuwa ni yeye.

Sikutaka kuamini kama tayari nilikuwa nimeshaingia katika mchezo mchafu wa mapenzi ambao ungeweza kusababisha kifo changu.

Baada ya kupita siku tatu tangu tukio hilo lilipoweza kutokea Samira aliweza kunipigia simu.

“Kwanini ulinidanganya?” nilimuuliza.

“Nisamehe Metusela mpenzi wangu,” alinijibu kwa sauti iliyoambatana na kilio.

“Nikusamehe nini wakati unajua ulichokifanya.”

“Naomba unisamehe Metu ila sina jinsi ya kufanya mimi nakupenda wewe.”

“Utapenda wangapi na huyo mume wako?”

“Simpendi.”

“Humpendi kivipi embu acha kuniletea matatizo,” nilimwambia kisha nikakata simu.

                                            ****
Kichwa changu bado kilitawaliwa na mawazo sana, niliendelea kumfikiria Bianka ambaye mpaka kufikia wakati huo sikujua ni nini nilitakiwa kukifanya.

“Nini ulichoamua?”

“Mama yangu anataka akufahamu Metu.”

“Umemueleza kuhusu mimi?”

“Ndiyo.”

“Usijali nitaenda kujitambulisha ila bado mapema sana,” nilimwambia.

Nilichokuwa nikikiwaza kwa wakati huo ni kutafuta njia ya ziada ya kuweza kumshawishi Bianka mpaka akubali kuitoa mimba yake ili niishi maisha ya amani, sikupanga kuzaa naye katika maisha yangu.

Hakukuwa na kitu kilichokuwa kikiniumiza kichwa kama ujauzito wa Bianka, sikutamani kumuona akiwa na ujauzito wangu, nilipanga kufanya kila niwezalo mpaka akubali kuutoa na huo ndiyo ungekuwa mwisho wa mapenzi yetu.

Kila kitu kilichokuwa kikiendelea katika maisha yangu hakikwenda sawa na sababu kubwa ilikuwa ni ujauzito huo uliyozidi kuniweka katika wakati wa mawazo.

Baada ya kuniambia kuwa Mama yake alihitaji kuniona, sikutaka kukataa, niliamua kwenda nyumbani kwao na huo ndiyo ulikuwa mwanzo wa Mama yake kunifahamu.

“Umeingia choo cha kike,” aliniambia Amani baada ya kumueleza kuhusu ujauzito aliyokuwa nao Bianka.

“Nimechanganyikiwa sijui hata nifanyaje,” nilimwambia.

“Mama yake anasemaje kwani?”

“Alitaka kunifahamu ila alichoniambia kimezidi kunipa wakati mgumu sana.”

“Amekuambia nini?”

“Anataka nimuoe Bianka.”

“Sasa umeamuaje?”

“Sasa nitajibu nini zaidi ya kumdanganya, nimemdanganya kuwa nitamuoa lakini tusubiri kwanza mpaka ajifungue.”

“Hapo hauna jinsi ya kufanya itabidi ukubali kumuoa.”

“Siwezi kukubali kizembe kiasi hicho.”

“Sasa utafanya nini?”

“Nitajua cha kufanya lakini siwezi kumuoa Bianka kwanza hakuwa katika akili yangu kabisa imetokea bahati mbaya ameushika ujauzito wangu,” nilimjibu Amani.

Nilianza kuona mambo yanazidi kuwa magumu kila siku, ujauzito wa Bianka ulizidi kunifanya nikose amani ya maisha.

                                              ****
Samira aliendelea kunisumbua, kila siku alikuwa akinipigia simu na alihitaji kuonana na mimi ili tuweze kuzungumza juu ya tukio lile lililotokea la mume wake kunipigia simu na kunipa vitisho.

“Najua umekasirika mpenzi ila naomba unipe nafasi ya kuzungumza na wewe nikuelezee.”

“Siwezi kukupa hiyo nafasi, wewe ni mke wa mtu Samira.”

“Kwanini unanifanyia hivyo lakini?”

“Naomba ukae mbali na maisha yangu,” nilimjibu.

Aliendelea kunisumbua sana, hakutaka kuona nikikatisha mawasiliano naye japo alikiri mwenyewe kuwa alinidanganya, aliniambia kuwa alifanya hivyo kwa kuwa hakuwa na jinsi ya kufanya lakini hakuacha kuniambia ananipenda. Hilo likazidi kunishangaza.

“Mume wako kwani anafanya kazi gani?” nilimuuliza baada ya kuona usumbufu umezidi.

“Ni mwanajeshi,” alinijibu.

Nilishikwa a butwaa! Na baada ya kusikia hivyo, sikutaka kuamini kama nilishiriki kufanya mapenzi na mke wa Mwanajeshi.

                                               ****
Niliendelea na kazi yangu ya bodaboda huku nikijitahidi kujiweka mbali na Samira, sikutaka kupata matatizo mengine ambayo yangeweza kunikuta, lile la Bianka lilinitosha na sikutaka hata Mama yangu aweze kufahamu.

Licha ya mambo yote aliyonieleza Samira juu ya mume wake ambaye alikuwa ni mwanajeshi pamoja na muda wake mwingi ambao aliutumia kukaa kambini, hakuacha kuniambia alinipenda na alikuwa yupo radhi kufanya lolote ili aweze kunipata, hakutaka nimuache kirahisi kiasi kile.

“Naomba usiache Metusela.”

“Mume wako akijua bado naendelea na mchezo huu atanitoa roho.”

“Usiogope wewe kubali kwanza halafu mimi nitakwambia nitafanya nini?”

“Nikubali nini na utafanya nini?”

“Kubali kwamba hauniachi.”

“Halafu?”

“Wewe kubali.”

“Sikuachi.”

“Nafurahi kusikia hivyo mpenzi ila kuna kitu nitafanya kwa ajili ya mapenzi yetu ili mume wangu asijue kinachoendelea.”

“Utafanya nini?”

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
57 Sikuachi Baby Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni