Za Mwizi Arobaini | Comedy

0
Pale unaposhikwa ukiiba halafu ukakosa cha kujitetea🤣
Jamaa amekosa kabisa cha kujinasua ikabidi ajikanyage tu kwa waliomkamata🤣

Za mwizi 40-3=37 kwahiyo bado zimebaki 37 hivyo si wamuache eeh?😂🤣

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)