Mtunzi: __
SEHEMU YA MBILI
ILIPOISHIA...
ILIPOISHIA...
“MUNGU WANGU YULE SI MZEE ALINANI???!!!”aliuliza chausiku kwa mshangao chausiku alimuangaria mzee alinani ambae amepoteza furaha yake ya kusoma
Mzee alinani alikuwa anakuja kuangaria bishala zake pale sokoni kwa kina chausiku.
IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI
ENDELEA...
Mzee alinani alistuka kumuona chausiku alikwepesha macho yake kwa aibu alitoka kwenye soko lile, chausiku alimpitia denge mzee alinani walikutana macho kwa macho
“MPUMBAVU MKUBWA WEE UNATA KUNIKIMBIA ILI IWEJEE?? ANALIA HII MIMBA YAKO MTOTO AKIZALIWA NAMPELEKEA MKE WAKO PALE SHEEZI WEEE UNAJUA KUJAZA MIMBA VITOTO VIDOGO SAWA NA WAJUKUU ZAKOO SASA SIKILIZA NIKIJIFUNGUA TUU NAMLETA MTOTO KWA MKE WAKOO,”alizungumza chausiku kwa ukalii
“HAPANA CHAUSIKU USIFANYEE HIVYOO SEMA CHOCHOTE UNACHOTAKA ILI MKE WANGU ASIJUE????”aliuliza mzee alinani kwa uwogaa
“HAHAHAHA, NIPE MILIONI MOJA ILI NISIFIKISHEE HII SIRI”alitamka chausikuu kwa kejerii
“DAAH MILIONI MOJA SINA CHUKUA HIZI RAKI TANO MWAYA NITAKUMALIZIA TANO”alitamka mzee alinani uku akizitoa izo laki tano na kumpatia chausikuu
Chausiku alizipokea zile ela “mmmmh kumbe ata laki tano nyingi hahaha”alijisemea chausiku moyoni na kuondoka zakee kumbe chausiku akuwai kuzishika laki tano wala milioni jeee angepewa milioni si angezimia.
Chausiku alifika kwao kwa furaha alipika wali na nyama alikula kisha akandaa mchele wake vizuri, ilipofika usiku chausiku alii
Kwenda kulala alizitoa zile ela alizimwaga mwenye godoro uku akizichezea kwa furaha “mwanangu tumetajirikaa hakika mungu mkubwa”
alitamka chausiku kwa furaha uku akilipapasa tumbo lake, kumbe kuna vibaka walikuwa wanamchungulia chausiku ndani alivyokuwa anachezea zile ela.
Chausiku alivyotosheka kuchezea zile ela akaziweka kwenye mfuka wa naironi kisha akaziweka kwenye begi lake la shangazi kaja, kisha akalala usingizii
Wale vijana walivyoona kumetulia waliusukumiza mlango wa wakina chausiku mlango ulikuwa wa makutii waliingia ndani kwa urahisi.
Wale vibaka waliingia kwa kunyata adililipo lile begi walilifikia kisha wakafungua lile begi walifanikiwa uliona mfuko wa nailoni waliibeba kisha wakatoka kwa kunyata ili wasimstue chausiku alikuwa usingizini bila kujua kitu chochote.
Wale vibaka walitoka kisha walikimbia kusiko julikana,
Chausiku aliamka kisha akatengeneza uji wake wa biashara alivyoisi uko tayari aliibeba kisha akaenda kwenye biashala zake. Kabla ajatoka alikumbuka ameweka ela kwenye begi aliingia ndani kisha akachukua lile begi alilificha nyuma ya mlango kisha akaondoka zake kwa furaha isiyo ya kawaida adi alimshangaza jirani yake mama loly
“MMMH MBONA CHAUSIKU ANA FURAHA IVYOO!???!!”alijiuliza mama loli bila kupata jibu, alistushwa na sauti ya chausiku ikimuaga”mama loly baadae”aliaga chausiku kwa furaha kisha akaondoka.
***********
Kulipokucha wale vibaka walienda adi kwa mzee alinani walimpa mzigo wake kama ulivyo katka nailoni
“HAHAHAHA VIZURI SANA VIJANA NAWAAMINIA LAKI TANO YANGU AIWEZI KUONDOKA HIVI HIVI MIMI NDIYO ALINANI MPENDA VITOTOZI BHANA”alitamka mzee alinani uku akijipiga kifua
“Sawa tupe diri zetu tusepe sie atujui kama ww mpenda vitotzi cjui mitotozii”alizungumza kijana mmoja
Mzee alinani aliwapa laki moja wagawane wale vijana wanne kisha yeye amebakiwa na laki nne na kusepa zake akiwaacha wale vijana wakigawana pesa.
*********
Mzee alinani aliwaza amee kijiji kingine ili chausiku asimuone
“mmmh ngoja niame kijiji hiki chausiku akiniona itakuwa balaaa ktk maisha yangui”alitamka mzee alinani
Kumbe mzee alinani kaoa mwanamke ambae kimila chao mme wake akimpa mimba mwanamke wa njee ya ndoa anakufa.
“KIJANA UMEKUJA KUMCHUMBIA BINTI YETU KUNA SHRATI MOJA ULUHUSIWI KUWA NA MWANAMKE NJEE YA NDOA AU KUMPA MIMBA MWANAMKE NJEE YA NDOA UKU UPO NA BINTI YETU UKIMPA MIMBA MWANAMKE AKIJA KUMTAALIFU MKEO KWAMBA ANA UJAUZITO WAKO UNAKUFAA UPO APO”mzee alinani alikumbuka yale maneno kipindi anamchumbia mke wake ezi za ujana wakee
“Khaaa makabila mengine bhana ovyoo tuu acha tujilie vyetuu bhana fyuuuuu “alitamka mzee alinani uku akiondokaa.
*********
chausiku alimaliza biashara yake kisha alirudi nyumbani ilikuwa bidaa ya saa tano alifika nyumbani kisha aliwasha moto alipika chai na kisha alikunywa alimkuta mama loly ayupo aliingia ndani kwao kisha alitoa lile begi na kutafuta zile pesa chausiku alistuka kukuta ela amna alihisi kaangalia vibaya alimwaga nguo zote na kukung’uta moja moja kisha akazipanga upya chausiku alikasirika sana kisha akaaza kumlaumu mungu kwake”eeee mungu kwann unanionea kila siku mimi na matatizo haya ayaishi jamaniii???”aliuliza chausiku uku akilia baadae akahisi mzee alinani ndo kawatuma watu waje wachukue “mmmh aiwezeni mzee alinani afanye hivyoo??”alijiuliza chausiku kisha nafsi ikamsuta “USIMUAMINI MTU SIKU ZOTE BINADAMU WABAYAA”
chausiku roho ilimuuma kupoteza ela alikubari kishingo upande, ilifika usiku chausiku alikuwa anataka kuandaa mchele wake wa uji wa biashara, alihisi kitu kikimfinya tumboni alizani tumbo la kawaida aliendelea na kazi yake mala gafla alihisi maumivu kwenye kizazi “Mungu wangu nn tena”alijiuliza chausiku uku akishikilia tumbo lake kwa maumivu alipiga kelele bira msaada “Mungu wangu nisaidie mimi mama nakufa mieeee uwiiii mama loly mama loly njooo nakufa mie”alilalamika chausiku bila masaada wowote.
Chausiku aliugulia maumivu bila msada wowote kisha akamuua kujiburuza adi njee uku damu zina mtoka akaita “MAMA LOLY MAMA LOY”aliita chausiku kwa sauti kali adi mama loly akasikia na kutoka mama loli alistuka kumuona chausiku yupo katika hali mbaya “mungu wangu nn kimekupata chausiku??”aliuliza mama loli uku akimsogerea chausikuu
“Nakufa nakufa mama loli nisaidie mimi”alitamka chausiku kisha mama loli alimchukua na kumpeleka hospitali ya kijiji ilikuwa saa tatu usiku mama loly alirudi nyumbani na kumuacha chausiku akipatiwa huduma.
Hatimae chausiku alijifungua mtoto wa kiume alifurahi sana “ASANTE MUNGU KWA KUNIPATIA BABY BOY”alishukuru chausiku kwa furaha
Palipokucha mama loly alienda hospitali kumuona chausiku alimkuta kashajifungua mtoto wa kiume “heee hongera chausiku kwa kupata boy!!!”alitamka mama loly kwa mshangao “asante mama loli”
Hatimae chausiku aliruhusiwa kurudi nyumbani alikaa vizuri na mtoto wake kisha akampatia jina la rameck
“NAKUPENDA MWANANGU RAMECK MWAA”alitamka chausiku.
*********Baada ya miaka nane*****
hatimae rameck alifikisha miaka nane alikuwa darasa la nne akiwa shuleni aliitwa na mwalimu mkuu alienda adi ofisini kwa mwalimu mkuu alifika kisha akamsalimia mwalimu mkuuu
“sitaki salamu yako mwambie mzazi wako akununulie nguo zingine za shule na viatu sitaki uje na ndara ukija utanitambua kama mimi ni nani”alitamka mwalimu mkuu ambae ni wa kike anaitwa mwalimu asha
“Lakini mwalimu asha mkuu naomba nipe wiki mbiri nitakuwa tayari nimekamilisha fomu na viatu”alizungumza rameck kwa upole
“Tokaa apa nisikuone na uwende ukachukue madaftari yako kweenuu”
“SAWA MWALIMU SIKUPENDA NIWE NA MAISHA KAMA HAYA ILA MUNGU ATANISAIDIA KWAERI”alitamka rameck kwa huzuni uku akiondoka kwenda kwao.
rameck alifika kwao alimkuta mama akee akipika uji “shikamoo mama”alisalimia rameck kwa unyonge adi mama akamgundua sio kawaida yakee “vp mbona kama auko sawa???”aliuliza mama rameck uku akiacha kupika ili amsikilize mwanae nn kimemsibu adi awe na hali ya unyonge “HAPANA MAMA NIKO SAWA TU”alitamka rameck kwa tabasamu ili mama akee asimgundue
“HAPANA RAMEK NAIJUA FURAHA YAKO MWANANGU NA KWANN UMERUDI MAPEMA???”
“NIKWERI MAMA ILA SHULENI MWALIMU KANIAMBIA KESHO NIJE NA SARE ZA SHULE MPYA”rameck alizungumza
“DAAH JAMANI KWANN MIMI DAAH LAKINI MWANANGU MAISHA HAYA YAPO TANGU KIPINDI MI NA MAREHEMU BIBI YAKO EEE MUNGU NITETEEE MIMI”alitamka mama rameck au chausiku uku akitokwa machozi
“USILIE MAMA MUNGU ANASIKIA KILIO CHAKO INAKUPASA UKUBALI ALICHO KUJALIA JEE MAMA TANGU UNIZAE UJAWAI KUNIAMBIA BABA ANGU ALIPO???”aliuliza ramek uku akimfuta mama akee machozi
“RAMECK MWANANGU BABA AKO AMENIPA UJAUZITO NIKO FORM TWO ILA CJUI UKO ALIKO KAMA YUKO HAI AU RAA”alizungumza chausiku kwa huzuni
“USIJALI MAMA NITAKUKOMBOAA”akitamka rameck
“ASANTE MWANANGU KWA KAULI YAKO NAKUPENDA SANA DAA IZO SALE ZA SHULE TANGU UKO LA KWANZA ADI LA NNE ILA ZIMECHAKAA SANA NITAAKIKISHA NILIME MASHAMBA YA WATU ILI UPATE FOMU MWANANGU”alizungumza chausiku uku akimkumbatia mwanae
Hatimae ramek na mama ake walikunywa uji wa chumvi bila sukali rameck alivyoisi kashiba alimuaga mama ake anakwenda kutembea “MAMA NAENDA KWA JUMA MALA MOJA”alitamka rameck
“SAWA MWANANGU”alitamka chausiku kwa furaha
Rameck aliruhusiwa na mama ake aliondoka moja kwa moja adi kwa juma alimkuta juma akipika
“Oooh rameck”aliita juma
“Naam kaka juma shikamoo”alisarimia rameck
“Marahaba vp za shule!???”aliuliza juma
“Daah we acha tuu nimetinuliwa adi nije na sale mpyaa zangu zimechakaa na mama ela ana daa maisha aya “alitamka rameck uku chozi linamtoka
juma alikumbuka kweli rameck ana unifom zile zimechoka alimuurumia rameck kutokana na maisha yao anayoishi na mama akee “usijali rameck nitakupa zangu bado mpya tuu”akitamka juma uku aki tabasamu
“Wee kaka juma acha utani bhana umemaliza darasa la saba mwaka 2013 iweje miaka minne iweje nguo za shule zipo adi leo!!!????”aliuliza rameck kwa mshangao
“hahahahaha rameki bhana siku zote akiba aiyozii”alitamka juma kwa kujiamini
“daah ni kweri kaka juma kazikete nizione”alitamka rameck kisha juma akinuka na kwenda kuchukua sale zake za shuke kwenye begi punde si punde alirejea na sale za shule zikiwa zimenyooshwa na kukunjwa vizuri rameki alishangaa “duu kweri ww noma juma”alitamka rameki uku akizipokea zile sale
“RAMEKI MDOGO WANGU CHUKUA HIZI SALE ZA SHULE UVAE SITAKUSAIDIA PIA JITAIDI USOME ILI UJE UNISAIDIE NA MIMI HAHAHA”alitamka juma uku akicheka
“NI KWERI KAKA JUMA PAMOJA SANA NIOMBEE”alitamka rameki kwa furaha.
*******
Rameki alishukuru sana kwa kupata unifom na viatu vyeusi na buku la soski kwa juma kisha akaondoka adi kwao alipitia na dukani alinunua soski kisha akarudi nyumbani alimkuta mama akee anaosha viombo “vp mwanang mbona furaha hivyo??”aliuliza chausiku kwa mshangao
“Nimepewa sale za shule mama kaptula na shati pamoja na viatu”akizungumza rameki kwa furaha uku akizitoa katka mfuko na kumuoneshea mama akee.
chausiku alishangaa kuziona zile sale “JAMANI NANI KAKUPA MWANANGUU??!!”aliuliza chausiku kwa mshangao
“Kaka juma”alijibu rameki
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA