Mtunzi: __
SEHEMU YA KUMI NA TANO
TULIPOISHIA...
TULIPOISHIA...
Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.
IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI
TUENDELEE...
Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia nilitaka mate yake yenye sumu yasininizuru. Mtoto wa mwenzio nikaanza yale makeke yangu mpaka mjungu wa watu akaanza kulia kama mtoto mdogo. Hapo ndo nikaamini kuwa hawa watu wana miili ya ajabu kwa sababubu shughuli ndogo kama hiyo tayari alishabadilika na kuiva yaani akawa mwekendu kama nyanya. Tuliendelaea na kamchezo huku tukibadilisha staili mara kifo cha mande mara jipakulie mwenyewe na ya mwisho kabisa kabla watu hawajalala ni ile ya bwana harusi na bibi harusi.
Hii ni ile mnakaa katikati ya kitanda kisha mwanamke anampandishia mwanaume miguu kuzunguka kiuno chake kisha mnakumbatiana kwa nguvu. Hii ni nzuri kwa sababu sehemu zote zenye hashkii zinaguswa, matiti yangu yaligusana na kifua cha mzungu huku akipitisha mikono yake mgongoni mwangu taratibu kama vile anafungua zipu ya gauni la harusi. Hapo nilisikia raha mpaka kisogoni nikawa nazungusha kiuno cha chini na sio kiuno cha sebene au ndomboloo bali kiuno cha ngono. Hapa kila mtu alifaidi kutokana na spidi kuwa ndogo na mgusano wa ngozi baina yangu na wake kuwa mkubwa.
Jamani nilisikia raha sana kifua kwa kifua, tumbo kwa tumbo mapaja kwa mapaja sasa kwa nini nisisikie raha na kusahau shida zangu kwa mda.
Baada ya kurizika na kuhakikisha kuwa tumeshiba na chakula cha usiku kila mtu aliamua kunawa mikono na kulala.Nililala usingizi mzuri sana ukilinganisha na zile stimu ya pombe. Asubuhi tena ile ya mapema mzungu alishaanza fujo zake eti anataka tena. Sijui hata alisahau nini humo kwenye shimo ikabidi nimzuie maana siafu walishaingi hivyo anaweza akang’atwa.
Kwa kuwa waswahili usema mtoto akilila wembe mwache umkate ilinibidi niamke na kwenda maliwatoni kukiosha vizuri na kisha nikabadilisha ile kondomu ya kike na kuvaa ingine. Ilikuwa ni lazima kufanya hivyo kwa sababu kama ingekuwa ni chakula basi kingekuwa kimeanza kuchacha kutokana na kukaa kwenye sufuria usiku kucha.
Sikutaka kufanya makosa nilivyorudi na kumkuta mwenye uchu kama simba aliyemwona twiga. Nilimwambia bila aibu kuwa hela yake ilikuwa imeisha kwa sababu hiyo ni siku ingine hivyo asome kalenda. Niliangalia saa yangu nikajua kuwa ni saa moja asubuhi hivyo kama angezingua ningeweza kuondoka na kurudi ghetto kwangu bila matatizo yeyote. Mzungu hakuamini nilichokuwa nasema na jinsi nilivyobadilika maana nilivaa sura ya kazi. Akajifikiria mara mbili na kugundua kuwa nilikuwa seriazi hivyoo akaingiza mkono mfukoni mwake na kutoa noti ya dola 100. Nikajua kweli na yeye ni mbahiri na laiti ningekuwa ni mzoefu ningemwibia zile dola sema sikujua wamejipangaje kuhusu maswala ya ulinzi
Basi wanasemaga raha ya ule mchezo mfanye asubuhi wakati bado akili haijachoka na miangaiko ya dunia hii. Basi tuliingia kwenye kamchezo huku akitumia hela yake vizuri kwa sababu alitumia spidi kali sana utazani anafukuza upepo. Nilijikuta natoa sauti za ajabu ajabu kama ndege kasuku. Ningefanyaje kama sasa maji yalizidi unga, raha sio raha mpaka kamasi jembamba lilikuwa likinitoka huku joto la mwili nalo likipanda kutokana na mapigo ya moyo kuongezeka.
Aliendelea mpaka sasa ikafikia mahali badala ya kupata raha nikawa napata karaha nilijaribu kumtoa lakini wapi mzungu aliendea kung’ang’ania kama luba.
Ilinibidi nijilaze kama gogo nisifanye chochote mpaka hapo alipomaliza na kufikia mshindo. Alimaliza lakini ni dhairi alikuwa anafanya kwa kunikomesha kwa sababu jamani si kuna milio ya raha na karaha au ndo alikuwa haelewi kuwa nilibadilisha station kutoka kwenye raha na kwenda kwenye karaha.
Ilinibidi nijilaze pale kitandani kwa mda kama wa lisaa hivi nikisikilizia maumivu.
Hapo sasa nikaanza kukumbuka shida zangu huku nikitafakari hiyo hela niliyopata. Ilikuwa ni zaidi ya laki tano hivyo sio mbaya ingenisaidia sana kwenye kulipa ada nikawa nawaza kama ningepata kichwa kingine kama hicho ningekuwa nipo kwenye hali nzuri sana ya kuwa na uhakika wa kwenda chuo. Ujue mimi mazingira ndo yamesababisha yote haya ila kiukweli sio vizuri kabisa. Hapa ni ukweli usiopingika kuwa nilishaingia kwenye ukahaba japo nilikuwa makini sana kuhusu afya yangu.
Yaani kitendo hicho na kile cha mwenye nyumba vilikuwa vinaniuma sana ila nilikuwa sina jinsi kwa sababu shida ndo zilikuwa zikiniponza. Nilikuwa nawaza huku namwangalia tu yule mzungu pale kitandani ambaye na yeye alikuwa hoi bin taaban. Nilikuwa navuta vuta mda uende ili nisepe zangu kwa sababu naye kuingia ghetto asubuhi sana watu watajiuliza maswali mengi sana na kunihisi vibaya. Niliamua kunyanyuka zangu kisha nikaenda kuoga na baadaye nilivaa nguo
zangu tayari kwa kuondoka.
Alinipa namba za mawasiliano yake kisha akampigia muhudumu wa hotel hiyo akaja kunichukua. Tulishuka ngazi na yule muhudumu huku akinisifia “dada wewe ni mrembo sana inaelekea Watson atakuwa amekulipa ghali sana”. Hapo ndipo nikajua kumbe yule mzungu alikuwa anaitwa Watson.
Basi sikutaka kukataa sifa hizo nilimwambia asante na pia nilitamni kumwambia kuwa mimi sijiuzi bali yule ni mchumba wangu nikaona haina haja kwa sababu kama anamjua mpaka jina atakuwa wanamjua hapo sana na labda hiyo ndo tabia yake ya kuja na wasichana wengi wengi.
Wakati tukiendelea kushuka ngazi mara simu yangu iliita kuangalia alikuwa ni rafiki yangu Joyce. Wakati naipokea simu ikazima kwa sababu ilikuwa imeisha chaji. Nilivyofika nje niilchukua bodaboda na kwenda zangu home huku nikisema Joyce nitamtafuta nikifika home. Nilivyofika home kama ilivyo kawaida yangu niliamua kuoga tena huku nikiamini hiyo ndo njia pekee ya kutoa mkosi alioniachia mzungu. Nilivyotoka nilijimwaga kitandani huku nikitafakari mustakabali wangu wa kuingia chuo.
Niliwasha laptop yangu na kufungua website ya chuo na kuangalia form ya kujiunga na chuo lengo likiwa ni kujua gharama halisi.Nusu ya ada ilikuwa ni laki 6, matibabu laki 1, dharura elfu 50 mahitaji ya kozi laki 1, na hela ya tume ya vyuo vikuu elfu 30 na jumla kwa makadirio ni kama laki 9. Nikajikuta nikifurahi kwa sababu zile hela alizonipa mzungu zilikuwa kama laki 5 hivi nikizichange ukijumlisha na laki 2 alizonipa yule baba mwenye nyumba nikama laki 7 hivyo nikajitumainisha kuwa ndani ya wiki 1 sitoweza kukosa hizo laki 2.
Tatizo likawa je vipi kuhusu semester ya pili au semester zinazofuata mpaka nimalize miaka mitatu.
Na je ukishalipa hiyo ada utakula nini na vipi kuhusu mahitaji mengine madog madogo. Nilijifikiria sana nikaona kuwa ipo haja ya kufunga safari mpaka bodi ya mikopo kwani mimi kwa sasa ni zaidi ya yatima. Wakati naendelea kuwaza na kuwazua Joyce alinipigia simu na kulalamika kuwa nimemzimia simu.
Nilimuelewesha kuwa simu ilizima chaji. Nilipomwambia nipo nyumbani alicheka na kuniambia kuwa anakuja.
Baada ya dakika 15 Joyce alifika huku akiwa mwenye furaha sana kama mtu aliyeokota dodo chini ya mpera. Sikujua kwa nini alikuwa na raha kiasi kile nikahisi labda alikuwa amepiga mpunga mrefu kutoka kwa yule mzungu aliyelala naye. Alivyofika alikuwa wima wima na kuniambia naenda Arusha lakini kesho ana safari ya kwenda Dar kuchukua mzigo. Nilipomuuliza mzigo gani alicheka na kuniambia taratibu tu nitaelewa nisiwe na papara kwani mambo mazuri hayataki haraka.
Akanambia anataka tuende wote ili na mimi nikafuatiie mambo ya mikopo huko TCU. Ingawa na mimi ndo ilikuwa ni lengo langu lakini nilisita kwa madai kuwa nikitoa nauli nitapunguza kabisa hela ya ada. Akacheka na kuniambia siku zote huwezi kupata hela au kufanikiwa kwa jambo lolote lile huku duniani kama hautakuwa tayari kutumia hela.Ila akanambia nisijali atanilipia nauli ya kwenda na kurudi. Hapo akawa ameingia kwenye mtego wangu na kwa mbwembwe niliruka na kumkumbatia. Mara simu yake illiita na alivyomaliza kuongea akanambia twenzetu Arusha niachane na habari za kubaki Moshi.
Nilijaribu kujifikiria mara mbili lakini nilisita na akanambia wewe twende hiyo kesho tutaanza safari wote. Basi kwa kuwa alikuwa amejitolea kunisaidia basi sikuwa na haja ya kumkatalia. Tukajiandaa na kuanza safari ya kwenda Arusha. Tulifika Arusha mchana na kwa kuwa kulikuwa na hali ya hewa ya baridi alinambia tuende sehemu ambayo yeye alikuwa akikaaa. Tukiwa njiani nilimuuliza kwani ameama kule alipokuwa anaka zamani akanambia ndio kwa sababu yeye amekuwa hawezi kuendelea kukaa na mama yake mdogo hivyo ana chumba chake mwenyewe.
Roho iliniuma sana kuona tunakatisha mitaa ya njiro sehemu ambayo yalikuwa ni makazi ya marehemu baba yangu. Kwa kweli niliumia sana mara baada ya kuona shoping centre ambayo ndo palikuwaga kwetu kabla ya kubomolewa na kutengenezwa kibiashara. Hapo uvumilivu ulinishinda na machozi yalinitiririka.Kitu ambacho kilimshangaza Joyce na kuniuliza nilikuwa nalia nini, kabla ya yeye mwenyewe kupata jibu kuwa mitaa hiyo ilinikumbusha mbali sana. “usilie bhana past is always pass forget about it alinifariji Joyce.”
Tulifika kwake na kwa kweli kulikuwa ni pazuri sana kitu ambacho kilinishangaza sana. Yaani alikuwa amepanga chumba sehemu ambayo matajiri walikuwa wakiishi na yeye alikuwa na upande mzima wenye kila kitu. Hapo sebuleni kulikuwa na vitu vingi sana vya thamani nikajikuta nampa hongera zake na kujisemea kama unamwingiza mwanaume kwenye ghetto kamaa hilo lazima atakuogopa na kukuheshimu.
Alifungua friji yake na kutoa vinywaji viwili wine na whisky kisha akaniwekea mezani na kuniambia kazi kwao. Akanambia ila kwa baridi hii ni bora tunywe whisky. Na mimi nilivyokuwa mdadisi na ninayependa kujifunza nilimwambia animiminie ili nione ina ladha gani. Ingawa ilikuwa ni kali sana lakini sikutaka kumwangusha rafiki yangu nilienda nayo mdogo mdogo
Baadaye aligundua kuwa nilkuwa nikifumbafumba sana macho kila nikipiga pafu moja alikatia katia limao na kuweka barafu na maisha yakaendelea. Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU IJAYO