MY DIARY (16)

0
Jina: MY DIARY
Mtunzi: __

SEHEMU YA KUMI NA SITA
TULIPOISHIA...
Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

TUENDELEE...
Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka sana hivyo alihitaji kupumzika. Yeye akapanda kitandani na mimi nikabaki pale kwenye sofa huku nikiangalia

filamu.Baadaye nilianza kuona maluwiluwi nikahisi ni ile pombe kali niliyokunywa. Basi nilijiachia na kupitiwa na usingizi pale pale kwenye masofa.Sijui hata

nililala masaa mangapi kwani nilivyokuja kushituka ilkuwa tayari kigiza kilikuwa kimeshaingia na cha ajabu sikuwa tena kwenye sofa bali kwenye kitanda na

Joyce hakuwepo. Niliamka na kuingia bafuni kujimwagia maji ili kukata wenge.

Kutokana na baridi iliyokuwepo ilinibidi kuoga maji ya moto. Na wala sikupata tabu sijui ya kuchemsha la kule bafuni kulikuwa full ni swala tu la kufungua

koki na kuseti maji unayotaka. Siunajua tena zamani nilikuwaga mtoto wa kishua hivyo nilkuwa nakumbushia enzi zangu. Nilivyomaliza bado Joyce

hakuonekana na kwenye simu alikuwa hapatikani. Niliamua kuingia jikoni na kufanya ustaarabu wa kuweka tumbo sawa hivyo nilpika tena.

Baada ya hapo nikala na kuangalia saa ilikuwa ni saa 3 usiku. Hofu ikaanza kuniingia nisijue Joyce amepatwa na nini mpaka aondoke na simu yake haipatikani.

Ilivyofika saa 4 Joyce alirudi huku akiwa anahema sana. Nilipomuuliza nini kimetokea alinijibu kuwa kuna mtu alishamliza na kuchomoka na mpunga
akimaanisha hela. Naye akaingia bafuni na alipotoka alikula kile chakula kisha tukaanza kupiga stori japo hakutaka kuzungumzia nini kilitokea. Baadaye simu

yake aliita na aliongea kiingereza. Mmmmh huyu mdada sijui anafanya biashara gani yeye mda wote simu yake ipo bize. Simu ilivyokata akanambia best kuna

kazi imetokea sasa upo tayari au umechoka. Nikamuuliza kazi gani akanijibu kwa haraka kama ile ya jana.

Hapo nikapandwa na kigugumizi na badala ya kumjibu swali lake nikawa najiuliza hivi ni kweli na mimi nishaingia kwenye kazi ya kijiuza au la? Wakati

naendelea kijiuliza akanambia ebu fanya maamuzi ya harakaharaka mtu hauna hela unajishaua shaua yaani sijui upoje. Ebu vaa nguo fasta leo kuna hela ya maana

sana na pia hatulali tunapiga short time tu tunaondoka zetu.
Tukavaa viwalo vyetu na kwa kuwa kulikuwa na baridi kali tulivaa skin nzito za jinsi kisha vikoti vya ngozi kwa juu na kwa chini tulitupia travota.

Tulipendeza na tukawa kama mbele vile yaaani yale mapigo ya kina Beyonce na Rihana. Safari ikaanza na tulikwenda moja kwa moja mpaka bar moja maaraufu

hapo Arusha inaitwa Picnic. Kitu cha kwanza nilichokigundua na kunishangaza ni uzuri wa wahudumu wa hapo sijui mmiliki wa bar hiyo alikuwa hakiwatoa

wapi.Tuliendela kukaa na kwa mda mfupi wakaja watu wawili ambao ndo hao wateja. Mwanzoni kabla sijawaona nilizani kuwa ni wazungu kama wa jana la

wapi walikuwa ni weusi tii kama mkaa na mbaya zaidi walikuwa na vitambi utazani walikuwa na viriba tumbo.

Mwanzoni nilizani ni wajaluo la hasha kumbe walikuwa ni wa Zimbabwe na walikuwa hawajui Kiswahili. Hivyo kiingereza ndo ilikuwa ni lugha ya

mawasiliano. Kweli kujua lugha za watu au lugha za kimataifa ni raha sana siunajua mimi ni mzuri mpaka kwenye kifaransa basi nilikuwa natiririka tu. Joyce

kama kawaida yake baada ya mda akatoa vipimo na kuwapima japo walisita sita na kumuuliza “wewe si ulitupima wiki mbili zilizopita? Akawajibu kuwa nyie

tulieni kwani shida yenu nini. Hapo nikawa nimejifunza kitu kuwa wateja wengi wa Joyce ni watu wenye hela zao na kama sio watalii basi ni wafanya biashara

wakubwa.

Sasa sijui kazi hii alianza lini mpaka awe na wateja wengi hivyo tena kwa kutumia simu. Baada ya zoezi la kucheki afya kukamilika tuliingia kwenye gari na

kwenda kwenye guest moja hivi ambapo kazi ilikuwa ifanyike. Joyce aliwaaambia kuwa hatuta lala kwa sababu kesho yake tulikuwa na safari ya kwenda Dar es

Salaaam. Lakini walikataa kwa madai kuwa hata wao walikuwa wanaenda Dar hiyo kesho hivyo tutaenda wote. Basi tuliamua kulala na mimi nikapewa kile

kibonge cha mtu.

Sasa hapo sikuelewa kuwa alishawahi kuwa mteja wa Joyce siku nyingi au na yeye aliletwa na huyo rafiki yake.Kwa kweli kule chumbani sikutaka kabisa anilalie

maana alikuwa ni mnene sana. Mbaya zaidi kalol pop chake kalikuwa ni kafupi sana. Sijui ilikuwa ni zile za watoto wadogo zile za hamsini hamsini wenyewe

wanaziitaga pipi filimbi au nikabamia kalicholimwa kwenye bustani yenye magadi mengi kwa kweli hata sijui ila kaliniboa sana kwa sababu mimi nilizoea zile

kubwa za mia mbili yaani big bowow.

Sasa utafanyaje wakati mtu alishalipia hela yake japo haikuwa ya maana kama ile ya jana ka laki kamoja tu. Nikampandia yule mzee kwa juu na kuanza kumpa

vitu vyangu. Kumbe vile vidude havijalishi ukubwa yaani hata kama ni kadogo kama penseli kinaweza kukupa raha tu. Yaani sikuamini kilichokuwa kinatokea

kwa sababu pamoja na ufupi wa mpini wa jembe lakini bado aliweza kulima vizuri. Sasa ukisikia fupi tamu ndefu inaboa ndo hii. Mzee wa watu alijitahidi kwa

kweli mpaka nikajisikia raha na kuamini kuwa utamu wa samaki ni kichwa na sio mkia.

Nilipata raha sana na sikuboreka na kwa unene wake aliwahi kumaliza hivyo ikawa furaha kwangu. Akajitahidi tukaenda raundi mbili kisha tukalala. Saa kumi na

moja nilishtushwa na simu ya Joyce akanambia nijiandae yeye anaenda nyumbani kuchukua vitu vyake hivyo atanipitia hapo tuende stendi maana kumbe wale

wazee walikuwa na tiketi zao za ndege walikuwa wanatuzingua tu watufaidi usiku mzima. “Mimi huyu wa kwangu nishamalizana naye kwa hiyo kazi kwako,”

Alisema Joyce.

Ilinibidi niamke na kwenda kuoga, eti jamani yule mzee alinifuata huko huko bafuni. Huwa sikwepeshi nikamwambia siku ilishaisha na kama anataka tena alipie

huduma.Mzee wa watu akabaki ananitolea mimacho huku mimi nikiendela kuoga. Ikabidi anipe hela za nchini kwao yaani kwacha. Sasa sikujua ile noti

nikichange nitapata shilingi ngapi ikabidi nitumie akili ndogo tu ya kumwambia haitoshi akaongeza zikafikia tatu.Nikaona isiwe tabu hata kama ameniibia ngoja

nimpe tu. Kwa hiyo sikutaka kupoteza mda tukamalizana huko huko bafuni.

Nilivaa nguo zangu na kusepa na tayari ilishakuwa ni asubuhi hivyo nikachukua bodaboda na kuelekea stendi. Na nilimkuta Joyce ameshafika stendi na

ameshakata tiketi hivyo tukaingia kwenye gari na kuanza kuondoka zetu.Safari iliendelea na mida ya saa tano tulikuwa monbo hotelini tukipata msosi. Kweli

wanaume wanatamaa yaani kuna kijana mmoja alikuja na kutaka namba zangu. Nilimwangalia chini mpaka juu nikagundua alikuwa ni wale wa familia bora.

Na kwa kuwa mimi nilishaanza kuwa na tabia tabia za kimalaya malaya sikuona haja ya kumnyima. Magari yakaondoka na kwa kuwa hatukuwa tumepanda gari

moja basi tuliendelea kuchati kwenye simu huku akinisifaia uzuri wangu. Tulifika Dar saa kumi jioni na tukachukua chumba mitaa hiyo hiyo ya ubungo. Kweli

Joyce ni kiboko kumbe na huku Dar alikuwa na watu wake na alishaanza kuwatafuta kwenye simu

Alafu huyu mdada alikuwa na tabia mbaya sana kwani wanaume wote aliokuwa akitembea nao walikuwa ni waume za watu kitu ambacho kilikuwa kiana niboa

sana na laiti isingekuwa ni hizi shida za ada huenda nisingetaka naye tena urafiki.Baadaye tulijiandaa na kwenda huko kwa mtu aliyedai kuwa anafanya kazi ya

bodi ya mikopo na tulifika mpaka sehemu ambayo alituambia tuonane. Kwa kweli kwa muonekano tu niliamini kuwa alikuwa akifanya kzi bodi ya mikpo maana

alikuwa amenawiri vizuri ishara kuwa alikuwa ni miongoni mwa watanzania waliokuwa wakifaidi matunda ya nchi hii.Baada ya kikao cha mda mrefu,

alimweleza kuwa atatusaidia ingawa kwa sasa yeye yupo likizo.

Alinipa namba za mtu ambaye alidai kuwa atanisaidia hiyo kesho nikienda bodi ya mikopo.Inaelekea walishaelewana na Joyce kwani moja ya sharti lake ili

atusaidie kwa kutupa jina hewa ilikuwa ni kupewa penzi. Hapo sasa nikawa mpole kama shilingi mia na mdogo kama pilitoni. Nikajiuliza kwa nini nchi hii kila

kitu ni rushwa tena mpaka rushwa ambazo ni haramu zaidi mbele za mungu rushwa ya ngono. Nilimwandikia sms Joyce nikamwambia sipo tayari kulala na

mwanaume huyo labda mpaka nikihakikisha kuwa amenisaidia nikapata huo mkopo.

Lakini cha ajabu Joyce alikuwa tayari kugawa uroda kwa ajili yangu na alinambia nisijali yeye atampa ili mradi mimi nifanikiwe tu. Sasa hapa sikuelewa kuwa

alikuwa ni mteja wake ama ni kweli alijitolea kwa hilo ili mimi nifanikiwe. Tulikaa hapo mpaka usiku sana hili hali nikijiuliza nitarudije kule ubungo mahali

tulipokodi chumba hili hali kulikuwa na mgomo wa madereva wa daladala.

Joyce aliniandikia meseji kuwa yeye atalala na huyo mbaba je na mimi anitafutie kichwa cha kulala nacho au?. Kabla hata sijajibu meseji yule mbaba alianza

kuwa siliana na huyo mtu ambaye alituambia atatusaidia.Baadaye alikuja kijana mmoja wa makamu na laptop yake. Akanipa fomu nyingi sana nikazijaza na

nizile ambazo tulijaza za bodi ya mikopo kwa njia ya mtandao. Tuliongea mengi na akadai kuwa eti kazi imeisha hivyo apewe nusu ya malipo ya kazi hiyo kwa

sababu anawafanyiaga watu kwa shilingi milioni moja.Ilibidi Joyce anirushie mpira na mimi kwa haraka haraka nilijibu kuwa sikutembea na hela hivyo nitawapa

kesho.Basi kwa kuwa Joyce alisema atatala na mzee huyo alimwomba yule kaka anisogeze mpaka sehemu ambayo nitapata usafiri kwa sababu kaka huyo alikuja

na gari yake. Tayari ilishakuwa saa sita ya usiku wakati naondoka eneo hilo, yule kaka alijaribu kunisogeza lakini bado sikupata usafiri

Yule kijana akanambia ukweli kuwa sehemu ambayo tupo ni vigumu sana kupata usafiri na yeye hawezi kuchoma mafuta mpaka ubungo. Hivyo kama sitojali

nichukue chumba kwenye nyumba za kulala wageni nilale. Cha ajabu sehemu tuliyokuwa ilikuwa ngumu sana kupata chumba kwani guest zote zilijaa na

tuliambiwa ni kwa sababu ya mashindano ya NSSF ambayo yalijuisha watu kutoka mikoani. Tulizunguka zunguka sana na mwisho wa siku alitoa wazo ambalo

liliniogopesha kidogo “ Hapa ishakuwa mbaya mdogo wangu hivyo naomba twende tukalale kwani kwani ninachumba na sebule” alisema kaijana yule.

Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU IJAYO

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)