MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (33)

0

SEHEMU YA THERATHINI NA TATU
TULIPOISHIA...
Gwakisa aliingia huku kashikilia Bunduki yake, alizama taratibu na wala Yule mwanamke hakumuona kwani wakati huu alikuwa kalewa kavaa kanga tu alafu anakata mauno ya mziki huu huku akiwa amekumbatia ukuta.

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

TUENDELEE...
Gwakisa alimsogelea huyu mwanamke bila kujijua kisha akamgusisha Bunduki kisogoni kisha kwa sauti nzito nay a kukoroma akamwambia….
“Hivyo hivyo ulivyo, ukileta ubishi nafyatua ubongo wote nje, piga magoti chini”
“Gwakisa unataka kufanya nini mpenzi”
“Sina upenzi na wewe, fwata amri la sivyo sitakuwa na mazungumzo tena”

Yule mwanamke poombe zote zilimuisha akajikuta amepiga magoti bila kupenda,
“Haya geuka huku nilipo”
Yule dada aligeuka
“Sitaki masihara, nataka kujua wapi alipo mwanangu, nataka nimuone na nimpeleka kwa mke wangu la sivyo uhai wako ni halali yangu”
“Gwakisa unasemaje, unajua unachomaanisha”
‘kachaa, kwachaaa’ bunduki ilikuwa inakokiwa kwa kufyatuliwa risasi tayari
Yule mwanamke alipoona sura ya Gwakisa ilivyokuwa akajua kabisa kuwa jamaa hatanii.
“Sawa twende ukamuone”
“Twende na ole wako ulete longolongo”
“Ngoja nibadilishe hizi nguo basi”
“Nafasi hiyo hakuna!” alijibu Gwakisa kwa hasira.

Yule mwanamke alifunua kanga yake na kuacha mapaja yake wazi mpaka sehemu zake za siri zikaonekana wazi akitaka kumtamanisha Gwakisa ambaye alianza kukodolea macho mapaja ya mwanamke huyu mrembo na chotara.
Haikutosha Yule mwanamke alifunua blauzi yake na kuacha maziwa yake nje kisha akamwambia Gwakisa huku karembua macho.
“Baby kweli niende hivi si unaona hata sidilia sijavaa”
Gwakisa kama isingekuwa dhamira ya dhati aliyokuwa nayo ilikuwa kidogo tu angekuwa ametekwa na mitego ya huyu mrembo ambaye ni mpenzi wake.
“Sitaki utani nataka utangulie nje uingie kwenye gari na uendeshe wewe”

Amri ilifwatwa na Yule Dada askari aliingia kwenye gari kisha akashika usukani na safari ilianza huku gari ikienda kwa kasi.
Muda wote wakiwa kwenye gari hakuna aliyemuongelesha mwenzake.
Walitembe umbali mrefu kisha wakauacha mji kabisa na kuingia njia za mashambani, walifika kwenye shamba moja kubwa la migomba na mikokoa kisha wakaingia ndani na gari mpaka wakafika sehemu kuna kijumba kimoja kidogo kikiwa kimezungukwa na mikokoa pamoja na migomba huku kikiwa kinawaka taa za umeme.
Walipofika pale walikuja kama vijana watatu wakalisogelea lile gari kisha Yule dada akamwambia Gwakisa.
“Kama bado umeshikilia Bunduki yako hawa jamaa watakuua, wewe tulia uonekane tumekuja kirafiki tu”

Kwa mazingira yale ilibidi Gwakisa awe mpole.
Walishuka kisha Yule dada akasalimiana na wale jamaa wakamruhusu aingie kwenye kile kijumba kikuu kuu
Walipofika ndani waliingia kwenye kijisehemu ambacho kilikuwa kama stoo lakini cha ajabu kilichomshangaza Gwakisa kile kistoo kilianza kupotea kama vile kinadidimia.
Ghafla Gwakisa alijikuta akiwa kwenye sebule kubwa lililokuwa chini ya ardhi huku likiwa la vito vya thamani kubwa sana.

Sehemu hii ya chini ilikuwa na watu wachache ambao walionekana wanafanya shughuli za kawaida tu wakitoka na kuingia kwenye vyumba vilivyokuwa vimepakana na sebule hili.
Gwakisa alipigwa na butwaa kisha akaambiwa akae asubirie alichokitaka.
Alikaa kwenye kochi kisha akaja Baba mmoja akamsalimia kwa kumuita jina lake la Meja Gwakisa.
Gwakisa alishangaa sana lakini Yule Baba alimwambia kuwa nae amewahi kuwa mwanajeshi tena mwenye cheo cha Captain lakini akaamua kuacha.
Gwakisa aliendelea kustaajabu kisha katika hali ya bumbuwazi alimuona Princess akitoka kwenye chumba kimoja huku akiwa na afya njema kavaa nguo nzuri mno.
“Dadiiiiiii”
“Princeeeeeeessss”
Walikumbatiana kwa furaha mno kisha taratibu Gwakisa akawa anapoteza nguvu na kuona giza machoni. Alipoona anazidiwa alimuachia Princess kisha yeye akadondokea kwenye kochi asijue kinachoendelea tena!

Maumivu kwenye uume na mishipa yake yalikuwa makali mno, Gwakisa alikuwa akijivuta kitandani na kujisokota kwani uume ulikuwa unauma sana.
Hakuweza kuelewa kwanini inatokea vile, wakati akiwa anateseka pale kitandani Yule dada askari alikuwa anamtazama tu huku anacheka.
Wakati huohuo alikuwa anajichezesha kwa michezo ya kimahaba huku akizidi kumtamanisha Gwakisa.
Gwakisa kuna wakati alisikia mpaka tumbo linauma chini ya kitovu, alijinyonga na alikuwa akitamani mwanamke afanye nae mapenzi ili apooze uume wake lakini ndio kwanza Yule dada alikuwa anazidi kumpagawisha tu na kumtamanisha.

Kadri muda ulivyokuwa unasonga ndio Gwakisa alizidi kuumia na Yule dada wala hakujali…
Gwakisa aliamua kujikaza na kumuita Yule dada,
“…na..omba ma..ji ya Ba..r.idi u..ni..kande” gwakisa aliomba akandwe na maji ya baridi kwani alitamani ule uume wake utulie.
Uume ulikuwa umesimama kiasi kwamba ulikuwa unatikisika kama kichwa cha chatu aliyeona Mbwa.
Yule dada baada ya kumuona Gwakisa anamwaga chozi alitema mate mkononi akajipaka kwenye sehemu zake kisha akamuendea Gwakisa aliyekuwa kalala pale kitandani na kafungwa kamba mikononi na miguuni.
Alikamata ule mtarimbo wa GWAKISA akauminya minya, alisikia ukiwa wa moto huku ukijitutumua kwa kupumua kama mapigo ya moyo.

Taratibu alitanua miguu yake akawa amekiweka kiuno cha Gwakisa katikati ya miguu yake huku mguu mmoja ukiwa umekanyaga mashariki na mwingine magharibi.
Alichuchumaa taratibu mpaka akafika usawa wa uume wa Gwakisa kisha akawa kama anaukalia akiuelekeza kwenye ikulu yake, ulianza kuingia taratibu huku akiusikia ulivyo wa moto.
Ulivyofika tu katikati Gwakisa alijirusha juu haraka kuuruhusu uume wake uingie wote kitendo kilichomfanya Yule dada Askari aruke pembeni kwa maumivu kwani alisikia kama uume umegota kwenye Ini.
Gwakisa aliachia ukunga mkubwa kwa Yule dada kujiondoa kwake huku akiendelea kujinyonganyonga, Yule dada alijishika tumbo kwa maumivu huku akiwa kajiinamia, alivyoona maumivu yametulia akaurudia tena ule mtarimbo na kuukalia huku akiwa ameshikilia kiuno cha Gwakisa ili asije akafanya kama awali.

Gwakisa alijiona kama mtu aliyekuwa na kiu jangwani alafu akaletewa jagi la maji Baridi, alikifakamia kitumbua cha Yule dada huku dada Yule nae akijisikia raha sana, Gwakisa alikuwa akishambulia kwa nguvu kwa kupandisha kiuno chake juu huku anakutana na Yule binti anayeshambulia kwa chini hivyo kukutana katikati.
Gwakisa alikuwa anasikia raha sana kiasi kwamba alikuwa analalamika kama vile yeye ni mwanamke, haikuwa kwa Gwakisa tu, Yule dada nae alikuwa anashambuliwa kwa kiwango kilichomfanya aanze kuweweseka,
Ndani ya dakika chache alifikia hatua ya kutaja majina yote ya wazazi na wazee wake, alikuwa anafikia kilele cha mlima Kilimanjaro.

Aliachia ukulele mmoja wa nguvu kisha akatulia kama amezimia, alikuwa anaona mawingu mawingu kitendo kilichomfanya awe hatoi tena ushirikiano kwa Gwakisa.
Gwakisa kuona vile alitamani azikate zile Kamba ili amnyakue Yule mrembo lakini kamba zilikuwa ngumu sana.
Aliendelea vilevile huku kila dakika akizidisha kasi ya mashambulizi mpaka pale Yule binti aliporejea kwenye ufahamu wake na kuanza tena kumpa ushirikiano.
Kazi iliendelea mpaka wakati Gwakisa aliposhusha mzigo wake bandarini lakini hiyo haikumfanya asitishe zoezi, bado misuli ya uume wake ilikuwa imara na imekaza mno kiasi kwamba alitaka kuendeleza zoezi.

Yule dada alikuwa amevifikia vilele vingi tu na kwasasa kazi ilikuwa inamshinda, Gwakisa alikuwa anatamani afunguliwe ili ajinyakulie Yule dada ambaye alikuwa anaonekana kama anataka kumkacha lakini uwezo huo alikuwa hana.
Muda ulizidi kuyoyoma hadi ikafika wakati Yule dada akawa hana uwezo kabisa na kumuachia Gwakisa akiwa analalamika kwa hamu, Yule dada alienda kuchukua maji ya moto na mafuta ya mzeituni kisha akawa anamchua Gwakisa kwenye uume.
Alifanya hivyo kwa muda wa lisaa lizima hadi gwakisa aliposhusha mzigo mwingine na kumfanya atulie kama tahira.
“Hii niliyokuonyesha Mr Gwakisa ni kukufanya ujue kwamba sisi tuko juu yako na tunakumiliki kuanzia siku uliyoingia mkataba na sisi, sasa unaweza ukaenda kwako”
Gwakisa alifunguliwa Kamba ili aondoke lakini alipojaribu kunyanyuka tu alipepesuka na kuangukia tena kitandani na kupitiwa na usingizi mzito.
……………………………………
Sam alikuwa ameganda kama barafu akiwa hajui afanyeje. Kitendo cha kutumiwa meseji kuwa mama yake amefariki huku mkewe akiwa mfu pale kitandani kilikuwa kimemuweka njia panda.
Ahusike msiba upi na auache upi ikiwa yote ni yake? Aliganda huku machozi yakiendelea kummwagika mashavuni.
Hakumuona wa kumueleza chochote pale kwa ndugu na wakwe aliokuja nao isipokuwa madaktari ambao walikuwa pale. Ndugu wote walikuwa wanamlilia Rafiki na hivyo wasingekuwa msaada kwake
“nifanyeje mimi, mke wangu kafa, mama yangu kafa nimzike nani nimuache nani mimi….uwiiiiii”
Sam alipiga yowe kali kisha akaanguka chini huku akiwa ameshikilia kichwa chake maeneo ya utosini
“Kichwa change jamani mimi..kichwa changu”
Sam alikuwa anasikia maumivu makali sana ya kichwa kama vile kinapasuka ndio maana akawa amekishikilia, madaktari walilijua hilo.
Walimchukua wakampandisha kwenye kitanda kisha wakamchoma sindano ya usingizi, ndani ya dakika kadhaa aliangukia kwenye dimbwi la usingizi mzito sana.
……………………………………………
Gwakisa aliamka baadae sana na kuelekea kwake ikiwa tayari ni siku nyingine, aliwaza sana katika hali aliyomuacha nayo mkewe akilia asiondoke lakini kalala kabisa huko huko.
Alimhurumia sana mkewe akimuona kuwa atakuwa kwenye hali ya huzuni na upweke mwingi kwani kalala usiku kucha peke yake.
Kitu kingine ni kuhusu mtoto, akamwambie nini mkewe ikiwa amemuona mtoto lakini ameshindwa hata kuongea nae?
Akiwa anawaza simu yake iliita, alipoangalia akakuta mpigaji ni yuleyule dada, alipokea na kuitika
“Haloo”
“Sasa sikiliza,
“enh”
“ukifika kwako usimwambie chochote mkeo kwamba umemuona mtoto, ukisema tu atapotezwa usimuone hata wewe”

Simu ilikatwa hku Gwakisa akibaki na majonzi, aliendesha gari yake mpaka kwake kisha akakuta geti liko wazi.
Aliingiza gari ndani akashuka na kutembe kuingia ndani kwake. Kule alikuta mkewe amelala pale chini kama alivyomuacha jana yake na nguo zile zile.
Alishtuka sana akamsogelea na kumuita lakini hakuitika, aliinama akamtingisha kisha akanyanyua uso na kufumbua macho.
“Mbona umelala hapa chini mke wangu”

Gwakisa aliuliza lakini hakujibiwa “mbona umelala hapa chini mke wangu?”
Aliuliza tena lakini badala ya majibu Verity alionekana akidondosha tu machozi.
Gwakisa alichofanya alimnyanyua mkewe na kumuingiza chumbani, kule alimlaza kitandani kwani alikuwa hana nguvu kabisa hata za kusimama.

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)