MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (36)

0

SEHEMU YA THERATHINI NA SITA
TULIPOISHIA...
Alikuwa ni mwanamke mrembo kweli ambaye alikuwa na ngozi nyeupe pee na laini hata kwa kuitazama tu.
Huyu hakuwa mwingine bali ni Yule Yule dada Askari, alimuangalia Gwakisa kwa macho ya kurembua lakini alikutana na uso wenye makunyanzi kweli kweli.

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

TUENDELEE...
Gwakisa alikuwa ni mwanaume mweusi ti titiii! Alikuwa na mwili mkubwa uliojengeka kimazoezi lakini pia sura yake ilikuwa ngumu kweli.
Kama ingekuwa ni mwanamke mwenye wasiwasi na mambo yake kwa kuiona tu ile sura ya Gwakisa angekuwa ameshaanza kutokwa jasho lakini haikuwa kwa bidada Yule.
“Karibu Gwakisa, lakini kuwa mpole tafadhali usije ukaumia”
“Unasemaje wewe msen..ge”
“Okey, kama mimi ni mseng..e sawa…lakini angalia vizuri usije ukawa wewe ndio msen..ge”
Kwa hasira Gwakisa aliruka kwa nguvu pale kitandani amkabe Yule dada lakini cha ajabu alikumbana na kitanda tu, kama umeme Yule dada alishajitoa pale na kusimama kando.

Gwakisa hakuridhika alimsogelea huku kakunja ngumi zake na wakati huo Yule dada alikuwa anamwangalia tu huku anamrembulia na tabasamu juu kama vile hakuna kinachoendelea.
Gwakisa alijikusanya vizuri kwa mara nyingine alirusha teke kali likiwa na lengo la kumchota Yule dada lakini ajabu ni kwamba teke lake lilipita kama upepo bila kugusa sehemu yeyote ye mwili wa Yule mrembo na mbaya zaidi liliishia kupiga kwenye tendegu la kitanda kitendo kilichomuumiza Gwakisa na kujikuta amekaa chini.
“Tulia mwanamume, utaumia bure, kama una swali uliza usaidiwe sio kuja tu na kurusha mateke bila mpangilio”

Aliongea Yule dada kwa dharau huku Gwakisa akiwa anaugulia maumivu pale chini.
Taratibu Yule dada alimfwata Gwakisa pale chini akamnyanyua na kumkalisha kitandani, alimuacha akafungua kabati lake akatoa dawa ya kupulizia ambayo hupunguza maumivu kisha akampulizia Gwakisa ambaye alikuwa aneanza kuvimba kwenye sehemu ya mguu wake.
Gwakisa akiwa anachuliwa mguu wake aliulizwa…
“Kwani tatizo ni nini mpenzi wangu?”
“We umenifanya nini mpaka siwezi kufanya mapenzi?”
“Unadhani nitakuwa nimekufanya nini?”
“Labda tu nikwambie ukweli, inawezekana hunijui mimi lakini ukweli ni kwamba kama nitaendelea kushindwa kufanya mapenzi nitakuua kwasababu najua wewe ndio sababu
“Hahaaaaa Gwakisa mpenzi wangu, huwezi kuniua mimi”
“Utaona sasa”
“Nakwambia huwezi ila mimi naweza kukuua wewe tena ujue kuwa maisha yako yote nimeyaweka kiganjani kwangu, yaani kazi yako, familia yako, mali zako, uhai wako na hata urijali wako”
“Una uhakika?”
“kipi usichokiamini, mara ngapi nimekuonyesha uwezo wa kukufanyia yote niliyoyasema kwa mafanikio tena kwa vikwazo vyepesi sana kutoka kwako”

Gwakisa ilibidi atulie kwani ukweni ni kwamba yote yaliyosemwa yalikuwa na uhalisia, alichokifanya ni kukaa kimya huku kainama chini kisha baadae akanyanyua kichwa na kumwambia Yule dada askari….
“Nomba tu unirudishie urijali wangu, nitaumbuka mimi…”
“Wala usijali wewe ni rijali”
Baada ya Gwakisa kujibiwa vile alibaki kamkodolea tu Yule dada macho, Yule dada nae alinyanyuka na kisha kumsimamisha na Gwakisa nae kisha akamkumbatia kwa kupitisha mikono nyuma ya shingo ya Gwakisa na kumfwata mdomoni ili wabadilishane mate.
Gwakisa hakuwa na ujasiri kabisa wa kufanya hilo tendo kwani alijua kile kilichomtokea kwa mkewe kitatokea tena lakini Yule dada alimng’ang’ania mdomoni na kisha wakaanza kubadilishana mate.

Zoezi hilo liliendelea na kilichomshitua Gwakisa ni kuona sehemu zake zikianza kutuna, alistaajabu sana na kwa jinsi zoezi lilivyoendelea ndio mashine yake ilikuwa imara kama chuma.
Nguo zake zilivuliwa na kuwekwa chini huku Yule dada nae akimalizia chup..i yake na sidilia kisha kuvibwaga chini na wote kuwa saresare.
Gwakisa alimvutia kitandani Yule dada na kumkumbatia kisha akaendelea kunyonya midomo huku akichezea chuchu zake, burudani ndani ya akili ya Gwakisa ilikuwa kubwa kwani alijua hataweza tena lakini kitendo cha kujikuta akiwa imara kabisa kilimfanya ari yake iwe juu kuliko wakati wowote.
Alichokifanya Gwakisa alimvuta Yule dada mpaka kwenye ncha ya kitanda kisha miguu ya Yule dada akaivisha mabegani kwake na kukifanya kitumbua cha dada wa watu kionekane wazi wazi kikiwa kimelenga juu.

Gwakisa aliukamata mpini wake ambao ulikuwa wa moto na kuuelekeza pale pale kunako na kuuingiza hatua kwa hatua huku dada wa watu akiwa anajivuta juu kuufwata,
Taratibu aliuzamisha wote kisha ‘shhhh…..haaaaa’ Yule dada wa watu akatoa sauti za mahaba.
Kazi iliyofanywa ndani ya nusu saa tu ilimuacha kila mtu hoi,
“Mpezni wangu Gwakisa nenda kaoge alafu uende ukampe mkeo dozi aliyoikosa”
Gwakisa alitoka akaenda kuoga kisha akarudi na kuvaa nguo zake, akiwa anaondoka alivutwa mkono na kuambiwa…
“Jua kuwa maisha yako tumeyashikiliana unapaswa kuishi kwa kuheshimu kile tunachokwambia…sio wewe tu hata RPC ambaye ni mkwe wako pia ni mtu wetu na tumemkamata kuliko hata wewe…”
…………………………………….
Sam alijikuta akijjihisi mwenye moyo dhaifu sana baada ya kumuona mwalim Josephine Karia, Mwalimu ambaye alimbadilishia taswira yake ya maisha na kumvika taswira nyingine amabyo ndio anaitumia mpaka leo.
Alimkimbilia na kumkumbatia kwa nguvu huku wote wakibubujikwa na machozi, Sam alijikuta akijisikia vibaya sana kwani toka aondoke hakuwahi kupata kumtafuta Yule Mwalimu ikiwa alikuwa ni mtu muhimu sana kwake.
“Sam nimefurahi sana kukuona”
“Nimefurahi sana kukutana na wewe kwa mara nyingine mwalim”
“Pole sana na msiba wa mama Sam, pole sana”
“Asante mwalimu, lakini naomba unisamehe sana Mwalimu wangu, sijakutafuta toka niondoke”
“Shhhhh…nyamaza wala usiseme hivyo, hata mimi sikukutafuta lakini najua mambo yalikuwa yanaenda vizuri, tumalize msiba mengine tutaongea”

Waliachiana na Sam akaendelea kusalimiana na wageni wengine kama Bibi yake ambaye ndie alikuwa anakaa kwake wakati anasoma, Babu yake yaani mme wa Bibi yake na kisha akakutana na mdogo wake pekee wakike ambaye alikuwa amechoka kwa kumuuguza mama yake na kulia.
Walipoonana kilitawala kilio tu kati yao huku wakiwa wamekumbatiana…
“Nimebaki mwenyewe kaka…mama ameniacha” aliongea mdogo wake Sam aliyeitwa ‘Glory’
“Hata mimi nimebaki mwenyewe, mama ameniacha lakini niko na wewe sasa bega kwa bega”
“Niko na wewe kaka bega kwa bega…tuko wote ” aliongea Sam
Waliendelea kufarijiana kwa namna nyingine mpaka walipoachiana na kisha Glory akampeleka Sam sehemu ulipowekwa mwili wa mama yao.
Sam alifunguliwa mwili ule akauangalia na kuona jinsi mama yake alivyoisha kwa Maradhi na kuwa mweusi tii.

Alilia huku akiwa kakumbatia jeneza la mama yake huku akiongea maneno ya kuomboleza na kuwaliza watu wengine hadi alipotolewa pale na kupelekwa sehemu akapumzike.
Kule alikaa yeye, mkewe na mdogo wake wakiongea mambo mengi huku mdogo wake akimueleza jinsi mambo yalivyoenenda hadi mama yake alipokutwa na umauti.
Taratibu zote za msiba zilifwatwa huku kwaya mbakimbali zikiwa zinaimba kuwafariji wafiwa na waombolezaji wote.
Walilala siku ile na hatimaye kesho yake ikawa ndio siku ya maziko ambayo mama yake sam alipumzishwa kwenye makazi yake ya kudumu.
Hapo vilio vilikuwa vingi mno kiasi kwamba Glory ambaye ni mdogo wake Sam alizimia kabisa na kuwa anapepewa, Sam alijikaza kiume na kiaskari na kuweza kumwaga mchanga kwa niaba ya watoto wa marehem.

Kila kitu kilipokamilika watu waliweka mashada na kumalizia ibada na hatimaye kurudi nyumbani na historia ya mama wa Sam na Glory ikawa imeishia pale kuwa alikufa akiwa na miaka arobaini na sita, akaacha watoto wawili wakike na wa kiume huku akiwa amekufa kwa ugonjwa wa UKIMWI japo kwenye historia ugonjwa haukusemwa.
Siku ile ile baadhi ya wageni waliondoka na hatimaye wakabaki wana familia pekee na majirani wachache.
Baada ya siku moja hata majirani waliondoka wakabaki familia ikiwa ni pamoja na RPC na familia yake.
Hatimaye siku ya kurudi kazini iliwadia wiki moja baadae na hivyo ikawa ni maandalizi ya safari, lakini kabla ya Kuondoka Sam alipita kwa marafiki zake wote na ndugu zake wa karibu na kuwatambulisha mkewe huku wakipeana habari za siku nyingi.

Sehemu ya mwisho kufika ni kwa Mwalimu wake aliyemtia moyo na kuwa nae bega kwa bega alipofikia hatua ya kutaka kuacha shule… huyu ni Mwalimu Josephine Karia.
Hapa sam alileta zawadi za Vitenge pamoja na mashuka kadhaa ya bei mbaya ambayo alimkabidhi Mwalimu wake.
Mwalimu alifurahi mno huku akimshukuru sana…
“Sam katika maono yangu kwako najua hayajatimia yote, ndio kwanza yameanza tu…amini kuwa Mungu ana mpango mkubwa sana kwako”
Sam alikuwa anamsikiliza kwa umakini sana Mwalimu wake huyu ambaye kwake alikuwa ni kama nabii.
“Nakuomba usije ukabweteka kwa hapo ulipofikia, endelea kwani najua utakuwa mtu mkubwa zaidi ya hapo”

Waliongea mengi kisha wakaagana baadae huku mwalim akidondosha chozi wakati wanaagana kitendo kilichomfanya Sam nae ashindwe kujizuia na kutoa chozi mbele ya mkewe ambaye alibaini mapenzi mazito kati ya Sam na huyu Mwalimu wake.
Waliachana wakaondoka zao ambapo Glory nae alikuwa anaenda kuishi na kaka yake kwani mama yao hakuwepo tena na isingewezekana kubaki pale.
Safari ilianza kesho yake ambapo kwenye gari ya RPC safari hii aliongezeka Glory…
Hatimaye waliingia Mbeya ikiwa ni usiku kisha wakaachana kwani Sam, Rafiki na Glory walienda kwao huku RPC na mkewe wakienda kwao.
Walipofika walioga wakalala huku Glory akilala chumba ambacho kilikuwa maalum kwa wageni.
Hatimaye Sam alianza maisha mapya ambayo alitaka ayabadilishe kwani alitaka aishi ndoto zake na za watu wanaomwamini kama Mwalimu wake.

Vile vile alimtazama mdogo wake pale nyumbani ambaye sasa anamtegemea na kujikuta akiamini kuwa anapaswa sasa kuwa makini kwani kuna watu nyuma yake.
Sam sasa alibadilika sana, ilikuwa akitoka kazini anaelekea nyumbani kwake huku kabeba zawadi kama matunda, na vitu vidogovidogo ambavyo alikuwa anawaletea mdogo wake na mkewe.
Maisha ndani ya nyumba yalikuwa mazuri kwani nyumba ilijaa vicheko vilivyoongezwa na Glory ambaye alikuwa ni msichana mrembo na mzuri na mchangamfu.
Alimsaidia sana wifi yake kazi ambazo alikuwa hasubiri kutumwa, ilikuwa kila wifi yake alipoamka alimkuta Glory keshaamka, akienda kazini akirudi alikuta kazi zote zimefanywa, hapo ndipo aliamini kuwa Glory na Sam walikuwa wanafanana sana uchapaji kazi.
…………………………….
Ikiwa imepita wiki moja baada ya kutoka msibani Sam walipata wageni pale nyumbani, wageni hawa hawakuwa wengine bali ni Gwakisa na Mkewe Verity ambao walikuja kwa ajili ya kutoa Pole ya msiba ambao wao hawakwenda.

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)