Mke wa Jirani | Ep 01

0

Hii ni tamthilia inayomuhusu Anko NKANGA ambae anamuonea wivu sana mke wake  kwa yeye kujihisi kwamba huenda mpangaji wake anatembea na mke wake

Endelea kufatilia kisa hiki kujua nini hatma ya vita hii.
 
MAONI/USHAURI

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)