NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI NITAJIRIKE (6)

Zephiline F Ezekiel
NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI NITAJIRIKE (6)
Jina: NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI NITAJIRIKE Mtunzi: Nyemo Chilongani SEHEMU YA SITA TULIPOISHIA... Mara mguso wa mtu huyo ukahama kutoka begani mwangu na kuanza kuelekea chini, nilizidi kutetemeka mno, mikono yake ikahamia katika mgongo wangu na kuanza kuushikashika, baadaye akahamia katika kiuno changu, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... nikabaki nikianza kulegea mwili wangu. “Ni kipindi kirefu kimepita, miaka kumi pasipo kumgusa mwanamke yeyote yule, upo tayari mpenzi wangu?” aliniuliza. Sikumjibu, nilibaki kimya, wakati nikiwa nimesimama vilevile, ghafla nikaanza kuona mazingira ya mahali pale yakianza kuondoka na mazingira mengine kuingia. Mbele yangu kukaonekana kuwa na kitanda kikubwa, ndani ya chumba kikubwa, alichonifanya ni kunisukumia kitandani, niliona kweli nimeangukia kitandani, ila ukweli ni kwamba niliangukia ndani ya kaburi lake, kitanda, lilikuwa jeneza lake, alichokifanya, na…