BALAA (12)
Jina: BALAA Mtunzi: Halfani Sudy SEHEMU YA KUMI NA MBILI ILIPOISHIA... Baada ya maelezo hayo kila mmoja aliingia ndani kupumzika. Six killers walikuwa wamechoka sana. Wote pombe zilikuwa zimewaisha vichwani mwao. Ama hakika Six killers walikuwa wamepatikana, na kupata pigo kubwa sana, baada ya wapiganaji wao wawili kukutana na mkono wa Dokta Yusha ! Wakati vijana wanne wa Six killers wakiwa wameenda kupumzika, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Don Genge yeye hakwenda kupumzika kabisa. Yeye ndiye alikuwa mkuu wa misheni hii. Na ilimpasa kupeleka ripoti kwa wakuu wake, na sio ripoti tu, wakuu walikuwa wanataka ripoti nzuri ya kueleweka toka kwa Don Genge. Don Genge atapumzika vipi wakati hakuwa na ripoti ya kueleweka hadi sasa? Don Genge yeye hakwenda kupumzika kabisa. Yeye ndiye alikuwa mkuu wa misheni hii. Na ilimpasa kupeleka ripoti kwa wakuu wake, na sio ripoti tu, wakuu walikuwa wanataka ripoti nzuri y…