KONSTEBO NGUZU (8)

Zephiline F Ezekiel
KONSTEBO NGUZU (8)
Jina: KONSTEBO NGUZU Mtunzi: George Iron Mosenya SEHEMU YA NANE ILIPOISHIA... Alihofia kulala kitanda kimoja na mume wake ambaye amemsaliti, aliogopa sana shetani mpenda kifo asije kumwingia kichwani na kumsababisha amdunge mume wake sindano ya sumu. Aliijua hasira yake hasahasa ambapo mumewe angejaribu kumwongopea zaidi. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Licha ya kujifaragua wakati yupo hospitali kwa Zubeda kuwa hana mapenzi ya dhati sana kwa mumewe, aliongopa na moyo wake ulilijua fika hilo. Daktari huyu hakuwa na mahali pengine pa kuzilaza hisia zake zaidi ya kifuani kwa Inspekta Kobo . Sasa angali anapambana mumewe asijafuliwe jina lake, tayari mambo yamekuwa kinyume. Akanyanyua simu yake na kumpigia yule muhariri Juma aliyemfuata na kumshirikisha juu ya habari ile na kumtaka wafanye biashara. Simu haikupokelewa. Akatuma ujumbe mfupi ulioambatana na kitisho kikubwa. Mmoja asiyekuwa na moja wala mbili alikuw…