NYUMBA ILIYOJAA DHAMBI (11)
Jina: NYUMBA ILIYOJAA DHAMBI Mtunzi: Nyemo Chilongani SEHEMU YA KUMI NA MOJA ILIPOISHIA... “Unataka baba mwenye nyumba aniibie! Ningekuwa nawe muda wote ule, yaani ningehakikisha hata nikienda chooni natangulizana na wewe. Haijati u mzuri mno, unajua kupendeza, ngozi yako inang’aa sana, huo uzuri, kweli wewe ni mwanamke wa Kizanzibari,” nilimwambia. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... “Asante sana!” aliniambia huku akisikia aibu. “Hivi kuna kitu gani mwanaume atakihitaji zaidi akiwa na wewe?” nilimuuliza. “Kwani mimi ndiyo kila kitu?” “Ndiyo! Ukiwa na njaa, mtu akikuangalia anashiba, mtu akichoka, anapata pumziko, Haijati, kama ningekuwa na nafasi ya kuwa nawe, nahisi ningekuwa na bahati zaidi ya mwanaume aliyefanikiwa kulala na wanawake wote warembo duniani,” nilimwamia. “Jamaniiiiiiii!” “Hebu angalia lipsi zako, zinaonekana laini sana, yaani ningekuwa mimi ndiyo Issa , nadhani muda mwingi ningekuwa nazilamba …