CHUZI NDIO HILO, HAKUNA KUONJA (6)

Zephiline F Ezekiel
CHUZI NDIO HILO, HAKUNA KUONJA (6)
Jina: CHUZI NDIO HILO, HAKUNA KUONJA Mtunzi: Global Publisher SEHEMU YA SITA ILIPOISHIA... “Hivi ni kwa nini umeng’ang’ania hilo suala?” “Nasema kwa sababu najua bwana, usinidanganye.” “Niamini kweli kabisa.” “Sikuamini hata kidogo, kwanza nimeshajua iko siku nitajikuta umeniambukiza virusi lakini mimi kama nitakufa itakuwa kwa ajili yako,” JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... alisema mama Shua . Mazungumzo hayo yalimfanya mama Musa kukosa hali ya kucheza mechi na kujikuta akipitisha madakika bila kumaliza kibarua chake. Mama Shua alianza kubadilika sauti huku akiendelea kuonga baada ya kuanza kufikia hatua ya mwisho wa mchezo ambapo aliweweseka. Musa naye, kuona mama Shua yuko kwenye kituo cha mwisho na yeye aliweweseka hadi akajikuta akitaka kupoteza fahamu. *** Siku za baba Shua kukaa Arusha zilibaki mbili, lakini akarudi nyumbani kwake Dar bila kuzimaliza. Alifika saa kumi na mbili na nusu jioni na kukuta mke…