MAUAJI YA KASISI (26)

Zephiline F Ezekiel
MAUAJI YA KASISI (26)
Jina: MAUAJI YA KASISI Mtunzi: Richard Mwambe SEHEMU YA ISHIRINI NA SITA ILIPOISHIA... “Ok, Una akili sana Kamanda, siwezi kupata mtu kama wewe tena katika ofisi yangu. Sikiliza, baadae nitakupigia simu tuonane.” Baada ya mazungumzo machache kati yao waliagana na kuondoka kila mtu na hamsini zake. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Ndani ya ofisi za AGI Int’, Gina alikuwa ameandaa bonge la keki na mvinyo wa kutosha kusherehekea kurudi salama kwa boss wake Kamanda Amata. Walipongezana wakiwa wawili tu, wakikata keki na kunywa mvinyo kwa fujo kiasi. Wakiwa katika hali hiyo ndipo simu ya Kamanda iliita kwa fujo, “Aaaaaaa nani tena huyo?” Gina aliuliza kwa sauti ya kilevi. “Madam S” Kamanda Amata akajibu na kuiweka ile simu sikioni. “Unikute hapa katika ofisini kwangu mara moja,” na ile simu ikakatika, Kamanda Amata akashusha ile simu na kuitia mfukoni, mara Gina akamvamia na kumkubatia kwa nguvu, “Kamanda, s…