MREMBO MCHARUKO (18)
Jina: MREMBO MCHARUKO Mtunzi: Latifa SEHEMU YA KUMI NA NANE ILIPOISHIA... "Daktari Daktari amefumbua macho" Nilisikia sauti ya mwanamke ikisema ivyo sikuelewa anamaanisha nini. Mara nikamuona mwanaume amevaa koti kubwa akaja nakunisogelea. KAMA UNAISOMA SIMULIZI HII TOFAUTI NA KWENYE APP YA CnZ Media IPAKUE ILI KUPATA SIMULIZI KWA WAKATI SAHIHI 👉 GUSA INSTALL 👈 ENDELEA... "Vipi unaendeleaje upo salama?" Aliniuliza "Yani wewe unaacha kuuza nyama unanifata mimi unataka kunichinja eeeh si nakuuliza?" Nilinyanyuka mzima mzima nikamvuta shati uyo mwanaume nakumkunja nimpige. Yule mwanamke mwengine kuona ivyo akatoka mbio nje kuita watu waje kumsaidia. Muda huo huo wakaja Vitalis na wazazi wangu ambao walishangaa purukushani inayoendelea ikabidi wasaidiane kunituliza kulikuwa na machuma kwenye iko kitanda nikafungwa mikono na miguu nisisumbue baada ya apo nikachomwa sindano ya usingizi nipumzike. Kila alieniona alinihurumia na mimba yangu nilikuwa kichaa ambacho akikujulikana i…