MAMA MWENYE NYUMBA (14) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumatano, 6 Mei 2020

MAMA MWENYE NYUMBA (14)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
πŸ“– KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
πŸ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
πŸ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Mbogo Edgar

SEHEMU YA KUMI NA NNE
Kuna kitu nilisahau kuwaambia , siku yaleo ndiyo siku ambayo Edgar, ame kamata fedha nyingi, ambayo niyakwake pasipo kupangiwa matumizi, kwanza ile yakuwatumia wazazi

SASA ENDELEA...
“Kumpa nani ten a mpenzi, hinamaana unataka kwenda kumpa Suzan, tuta gombana”alisema yule mama Sophy huku bado Edgar akiwa haelewi maana ya tukio lile, “sasa hizi ele nipeleka wapi?” maana Edgar hakutaka kutumwa mbali, sababu alikuwa anataka amwai mpezi wake, mama mwenye nyumba, “zipeleke unapo taka, sababu nizakwako, lakini hasizione Suzan” Edgar alijihisi kama yupo ndotoni, aliganda kama sanamu huku kengere ya hatar ikigonga kichwani kwake, kuwa huyu mama hakuwa na utani juu ya kupewa utamu, alistushwa na mkono wa mama Suzan ambao uli mshika shingini nakumvuta kwake kisha akamlamba midomo, kitendo ambacho akukitalajia, baada ya sekende kadhaa akamwachia, “wai baba husimchukize mwenye mali, lakini nakutafutia nyumba uame kwa Suzan” apo ndipo Edgar akaona kuwa huyu mama hakuwa na utani kwa swala hili, akafunguwa mlango wagari nakushuka, ilikuwa imetimia saa nane kamili, akamwona mama Sophy akiondowa galilake na kuingia barabarani, akirudi alikotoka, wakati anampita alishusha kioo na kumpungia mkono huku akiachia zinga la tabasamu, naye Edgar ali punga mkono huku usowake ukiwa umejawa na furaha, wakatihuo ndipo alipo stuka kuwa simu yake ina ita

Mzee Mashaka akiwa bado ana piga gamebe pale ubungo maziwa ndani ya Soweto bar, aliangalia huku nahuku kama atamwona yule binti alie mnyonya dudu janayake, lakini ikawapatupu, akaona bora amtafute wajana maana naye alikuwa nasifa ya pekee, alikuwa anauwezo wa kuliamsha take a way, yani lile dude la papo kwa papo, akamalizia bia yake na kuondoka zake kuelekea kwenye gari lake, akaingia ndani ya gari nakuondoka zake, kuelekea barabara ya morogoro, akiwa njiani ilimjia kumbukumbu ya mkewake, asubuhi wakati ana taka kumwomba fedha, pia akakumbuka kuwa mke wake anadai dudu, akajikuta anakunja midomo kwa dharau, “haaaa! umechooookaaaa, alafu bado unataka kuni sumbua mambo yenywe ni yaleyale, aliongea mzee Mashaka, ambae amegundulia kamchezo ka kuwa dandia wanawake pale wanapo jilengesha, aliwaza hayo huku akikumbuka mambo mengi aliyo yafanya na wanawake, ndipo ilipo mjia kumbukumbu ya Suzan, “ngoja niki mkosa huyu nita enda kibamba” aliwaza mzee Mashaka akimaanisha akikosa windo lolote ataenda kwa Suzan

Kumbe Suzan baada ya kupiga simu ya Edgar ana kuto kupokelewa, aliamua kutulia kwamuda kidogo, huku akijiapiza kumwadabisha Edgar akiwa anadhani yupo na mwanamke mwingine, lakini ikawa ina jia wazo, kuwa edgar, dar nimgeni ametokea Ruvuma, “hawezi kuwa na mwanamke mjini” alijiambia yeye mwenyewe, huku anainuwa simu na kuichagua namba ya Edgar nakuipiga, safari hii haikuita sana ilipokelewa mapema, hapo Suzan aka shusha pumzi kwanguvu baada ya kisikia “jallow mama nimesha fika mbezi” aliongea Edgar nauzan akiwa mkono mmoja ameuweka tumboni, akilichzea tumbo kama wafanyavyo wazee wakiume wenye vitambi, “nani mama yako? sinimekuambie uchague jina lakuniita?” aliongea Suzan kwa sauti tulivu huku aki achia tabasamu la matumaini lejea” hapo Edra akiwa anajishuku kutokana nakitendo alichotoka kukifanya na mama Sophy, “samaani nilisahau” aliongea kwa sauti nzito na tulivu, iliyo mfanya Suzan asisimke na kukumbuka mambo ya juzi usiku, “haya niite jina ulilo chagua” aliongea Suzan, kwa sauti flani ya kilevi, au kama anamafua akiwa anapandisha mguu na kuukayaga kwenye meza, huku mkono ukiamia kwenye sehemu ambayo kitumbua kina kaa, nakufanya kama anaupitisha mkono kwakupangusa kituflani, “hapo Edgr alishajuwa anachotakiwa kusema kiukweli majina yote ya kimapenzi yalikuwa mageni kwake “Nichagulie wewe ambalo litakufaa, ilina wewe uwe uwe umechagua jina la kuniita” hapo suzan alicheka kile kicheko cha kulegea

Basi suzan alimwelekeza edgar sehemu ya kwenda kukaa ili wakale chakula cha mchana, akimtaka atangulie, palikuwa ni full dose pub, Edgar akafwata maelekezo na kuitafuta hiyo sehemu, dakika chache baadae aliipata, wakatia ana ingia pale akaliona gari la Suzan likiingia akasimama, kumsubiri ashuke waongozane, Suzan aliegesha gali vizuri kisha aka shuka na kumfwata Edgar ambae alikuwa amesha mwona, wakati Edgar anamwangalia Suzan alivyo pendeza sana na yale ma bastola aliyo fungasha kwenye ma paja, Suzan akagunduwa, maana wanaume wengi upenda kumsifia kuwa ana mapaja mazuri, ila edgar alisona kuna gari ina ingia, na kama alissha wai kuliona sehemu, akawa anawaza aliwai kuliona wapi, mpaka Suzan ana mfikia nakumshika mkono kuelekea ndani ya bar ambayo kwa mala ya kwanza aliletwa na mzee Mashaka, nakupenda chakula chao, ikawa sehemu yake ya kupata lunch, walitafuta sehemu moja nzuri na kukaa, lakini sasa wakati wana subiri muhudumu aje wamwagize, ndipo Edgar alipo pata jibu, akamgusa Suzanbega “unakumbuka sikuile uliniuliza nimechafka kwanini? suzan akaitikia kwakichwa ialakiukweli hakukumbuka siku hiyo ilikuwa, “ebu geuka alafu mwangalie hyo mzee anaye pita nyuma yako, ndie alie kuwa na lile gari” pasipo kujiuliza Suzan aligeuza shingo nakutazama nyuma, laaah macho kwamcho na mzee Mashaka, ambae alimwona akitabasamu baada ya kuona wame tazamana,

Kitendo cha haraka sana, Suzan akainuka, nakumfwata mzee Mashaka , ambae alikuwa anakuja usawa wake, alifanya hivyo makusudi, ili Edgar hasihisi kitu chochote kina cho endelea, kati yake na mzee mashaka, lakini licha ya kusimama mzee Mashaka nusu ampite Suzan, kana kwamba hakumwona kabisa

Kumbe baada ya kutoka ubungo na kuyakosa mawindo yake, nakuamua kwenda mbezi kwa binti wajana, alipofika tu akaingia ndani ya Full dose pub akiwa ana tazama huku nahuku, kama ataweza kumwona binti wajana, kbaada ya kutupamacho counter, akamwona binti wajana akiwaamevalia kigauni flani ambacho kilisababisha eneo kubwa la chini kuwa wazi kutokana na ufupi wake lakini leo alivaa tait nyeusi, hapo akatabasamu kwa ushindi alioupata, huku akitembea kumfwata binti wajana, ambae bado alikuwa hajamwona mzee Mashaka,alikuwa busy anakata kilaji huku anaongea na rafikizake wawili, wote wakike, wakiwa wame vaa kama yeye, lakini wakati anataka kupita meza moja, akashangaa akidakwa haraka, kutahamaki ni Suzan, ambae alisha tambua kuwa lile tabasamu halikuwa lakwake, inamaanisha, mzee Mashaka alikuja kwa ishu nyingine kabisa pale full dose, “hoo! hupo hapa, sikukuona kabisa”aliongea mzee Mashaka, huku akipepesa macho huku na huku kuangalia kama kuna kiti cha wazi, akae ili kupunguza uwezekano wa kuonekana na binti wa jana, ndipo alipoona meza yenye kijana mmoja mdogo na kuna mkoba wakike pembeni ya kiti kimoja kati ya vitatu ambavyo vilikuwa wazi, “samahani kijana una tuna weza kukaa hapa?” mzee Mashaka alimwambia Edgar, huku Suzan akitajiandaa kumwamisha meza wakakae mbali kidogo, lakini alisha chelewa, “haina tatizo mzee kaa tu” aliongea Edgar akimtazama Suzan usoni, naye akazuga kuwa haina tatizo, japo moyoni alijuwa kuwa yanaweza kuaribika muda wowote

Mzee Mashaka alivuta kiti na kukaa, akitazama upande aliotoka, akiipa mgongo counter, “umekuja kupata, lunch, mbona umechelewa sana?” aliongea mzee Mashaka, baada ya kuona mhudumu, wa chakula amesimama pembeni yao “nilikuwa namsubiri huyu, “ hapo mzee Mashaka akazinduka toka kwenye wenge lakumkuta Suzan hapa, “hivi mpo wote nimfanya kazi wenzako” aliuliza mzee Mashaka akimtazama yule kijana Edgar na kuyarudisha macho kwa Suzan, “ni mdogo wangu huyu, mtoto wa mama mdogo, ameamia chuo kile cha kibamba, satamimi nilikuwa sijuwi kamayupo hapa, hivyo leo asubuhi amenipigia simu kuwa anashida ya fedha ambayo imepelea kwenye malipo ya robo muhula,” licha ya Edgar kujiuliza maswali ambayo alijipa majibu yeye mwenyewe, juu ya utambulisho ule lakini bado alikuwa ana unganisha picha moja baada ya nyingine juu ya mzee Mashaka, “ok kijana karibu sana,” aliongea mzee Mashaka, akimpa mkono Edgar, “asante sana mzee” utambulisho uliishia pale kutokana na mzee Mashaka kuwa mwenye haraka yakuzidi

Alitowa shilingi laki tano, nakumkabidhi Edgar huku akimsisi tiza ajitaidi kwenye masomo, kisha akamwambia Suzan kwamba anamuai mtu mmoja ambae anamiadi nae pale bar, ni mambo ya kibiashara, hapo mzee Mashaka aliwaachia elfu 20 ya kulipia chakula, kisha akainuka, nakuondoka zake akipishana na muhudumu wa chakula, akiwa na tray la chakula walichoagiza, kisha akaelekea moja kwamoja akiyapita mauwa marefu na kuzunguka nyuma, kiukweli Suzan hakujuwa kama kule watu wanakaaga wakipata burudani, “una sema ulimjulia wapi huyu mzee?” aliuliza Suzan, akijiandaa kuanzakula, “si yule ambae alini mwagia maji machafu sikuile, usiku, lakini nimesha msamehe, daaa elazote hizi, hivi tunagawane hen?” aliongea Edgar kwasauti ya chini nakumfanya Suzan acheke, kisha Edgar naye akacheka pia, hku bado wana endelea kupata chakula, “ugawane nanani, siumepewa wewe, alafu hacha uongo, we ulimwonaje, wakati ilikuwa usiku?” aliuliza Suzan huku moyoni akikilikuwa, anachoongea Edgar niukweli mtupu, “ebu angalia pale wanapo uza pombe” aliongea Edgar akimwonyesha kule counter, Suzan akatazama “unamwona yule dada wakushoto kabisa,?” Suzan aliitikia kwakichwa huku mapigo ya moyo yakimwenda kasi, nakusababisha pumzi kuwa nyingi kifuani kwake, alichofikilia pengine Edgar anataka amwambie yule dada mzuri, au amependeza au kitu chocho ambacho kitaonysha Edgar amempenda maana akakumbuka, wakati wapo na mzee Mashaka alimwona akitazama sana kule counter

“Sasa sikuile niliyo kukanda mguu, sijuzi jumamosi?” Suzan akaitikia kwa kichwa huku macho yote usoni kwa Edgar, akiwa amesitisha kula, hapo Edgar alimsimulia kila kitu kilivyo kuwa alipo mwona mzee Mashaka akimchukuwa yule mwanamke na kumpandisha kwenye gari kisha wakasepa, hapo Suzan akakumbuka kuwa sikuile mzee Mashaka alionekana mwenye araka sana, nadiyo siku ambayo Sophy alimkuta baba yake akiwa na mwanamke bar, Suzan akamtazama tena yule mwanamke sasa alimwona akiongea na muhudumu, kisha akawaambia kitu rafikizakewote waka cheka kishangingi, alafu yule mwanamke akaondoka nakuelekea kule alipo kuwa ameeleka mzee Mashaka, Edgar hakuwa na wasi wasi, maana alikuwa anahisi yule mzee, nibosi wa mama mwenye nyumba, kitu cha hajabu kwaupande wa Suzan hakuwa amejisikia wivu, wowote juu ya mzee Mashaka, zaidi alibadilisha maongezi

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA KUMI NA TANO

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni