MAMA MWENYE NYUMBA (15) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumatano, 6 Mei 2020

MAMA MWENYE NYUMBA (15)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
πŸ“– KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
πŸ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
πŸ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Mbogo Edgar

SEHEMU YA KUMI NA TANO
Edgar hakuwa na wasi wasi, maana alikuwa anahisi yule mzee, nibosi wa mama mwenye nyumba, kitu cha hajabu kwaupande wa Suzan hakuwa amejisikia wivu, wowote juu ya mzee Mashaka, zaidi alibadilisha maongezi.

SASA ENDELEA...
“Hivi ule usiku, hukunifanya wewe?, maana nililala fofofo” angalau kidogo, sasa Edgar alianza kumzowea mpenzi wake, “kukufanya nini?” japo alikuwa ameelewa alicho maanisha Suzan lakini yeye akajitoa ufahamu kidogo, hapo Suzan alicheka sana, kiasi cha watu kugeuka na kumtazama, alipo maliza kicheko, akili zika rudi kwa mzee Mashaka, akimwonea huruma mke wake maanayeye alihapa kuto mpatia kitumbua chake tena, “hivi mama Sohy alikuacha wapi?” swali hilo lili mstua sana, Edgar lakini akatumia ujanja wa hali ya juu na umakini mkubwa, akaficha hali yake, akakumbuka alicho ambiwa na mama Sophy, “panaitwaaaaa, haaa sipale kwenye mabasi mengi” aliongea na kumfanya Suzan acheketena, “kwahi muda wote huu una kumbuka ubungo” “henheeeee, ubungo terminal” hapo nusu apaliwe na chakula kwakicheko

Mida hii mama Sohy alikuwa bafuni, anaoga mala yapili, baada yakuoga nyumbani peace village, ikiwa ni dakika kumi toka afike hapa nyumbani kwake, nakupitiliza chumbani kwake, kisha kuingia bafuni kuoga, kiukweli mama huyu alikuwa ame simama chini ya bomba lakuogea, tunaita bomba la mvua, huku akiji paka sabuni kila kona ya mwiliwake, nakufanya yale maji yanapo mwagikia yashuke nalile povu, wakati wote ilikuwa ina mjia picha ya tukio ambalo alikuwa ametoka kulifanya mda mfupi uliopita, na kijana Edgar, alikumbuka sana baada ya kushuhudia kijana ana shusha mzigo kwa mala yakwanza, wakati yeye amesha shusha muda mrfu, nawakatiuo mzuka umeshaanza kupanda upya lakini kijana akachoa dudu kwa nakumtazama yeye ambae bado alikuwa amelala nakuonyehs akuitaji dudu, Edgar alianza kumchezea kialaghe, huku akiminya chuchu zake, hapo alisikia utamu nakusababisha azungushe kiuno chake huku akipandisha kwajuu, kuonyesha anaitaji mkanda mizo, bialakutegemea akashangaa kuona dudu ya Edgar ikiwa ina ingizwa kenye kitumbua chake tena ikiwa imesimama imara, , na mziki ukaendelea kama wanaanza, pia alikumbuka style mbalimbali walizo tumia, mwazo hayo yaliendelea ata alipokuwa amemaliza kuoga, na baada ya kumaliza kupamba, kwamafuta akajilaza kitandani huku mawazo hayo yakitwala kichwani kwake, akatamani ange kuwa na namba yake ya simu ange mpigia, ili asikie sauti yake, “nimefanya ujinga kusahau namba yasimu,ebu ngoja nimpigie Suzan iliniongee na Edgar”alijisemea mama Suzan huku akiichukuwa simu yake, na kuanza kutafuta namba ya simu ya Suzan, wakatiwote amejlaza hapo kitandani alikuwa uchi kabisa,… alipoipata akaipiga, ikaanza kuita naye akatulia kusubiri ipokelewe, huku akiandaa maneno yakuoingea

Kumbe dakika chache zilizo pita, Suzan na Edgar walikuwa wamesha maliza kula, wakaagiza soda na kuanza kunywa taratibu, kumbe Suzan alitaka ajilizishe na ukweli juu ya mzee Mashaka na yule mwanamke, ambae anaonekana kuwa nikahaba kabisa, maana aliwaza mengi sana juu ya huusiano wa mzee Mashaka na yule mwanamke, akaaga anaenda chooni, akainuka akimwacha Edgar, anametulia akinywa soda, Suzan akwenda chooni, akapitiliza moja kwa moja kuelekea kule alikoelekea mzee Mashaka, alitembea taratibu huku akiombea hasikute kama anavyowaza, yaani alivyo ambiwa na Edgar, alipita mauwa malefu yaliyotenganisha upande ule walio kaa wao na sehemu moja nzuri sana iliotulia, huku akishuhudia watu wamekaa kwenye vimvuli vya miamvuli wakiwa wawili wawili au moja, hapo akasimama na kuangalia huku na huku, kama atamwona mzee Mashaka, alitembeza macho meza moja baada ya nyingine, huku akirudi nyuma kifwata maficho ya mauwa , kwasababu hakutegemea, kuibukia ghafla eneo lile, wakati akitembeza macho meza moja baada ya ningine ndipo alipo ikuta meza ambayo mzee Mashaka amekaa

Unajuwa nini madau?, kumbe mzee Mashaka alipoachana na Suzan, alienda sehemu aliyo kaa juzi usiku, siku aliyo nyonywa dudu na binti wajana, mala akaja muhudumu, akaagiza bia anayoipenda, kisha akampamaagizo akamwitie binti wajana, alimelekeza alipo kaa, na baada ya muda mfupi alifika, wakakaa pamoja na kuendelea na vinywaji, huku binti wajana akilala mika kuwa bado haja pata chakula chamchana, akiongeza na lawama za kwanini jana hakuja, kiliaizwa chakula, na maisha yaka endelea, baada ya muda mfupi chakula kililetwa, binti wajana alianza kula huku wakati mwingine akimlisha mzee Mashaka, huku miguu yake akiwa ameilaza kwenye mapaja ya mzee Mashaka

Suzan aliendelea kushuhudia, yule binti mwenye mwonekano wa kikahaba, akimrisha mzee Mashaka huku miguu yake ameilaza kwenye mapaja ya mzee huyu, kiukweli alihisi miguu ikikosa nguvu, na kuanza kuona kizunguzungu, akageukanyuma, alikotoka na kuanza kutembea kuelekea kwenye meza, waliyo kuwa wame kaa na Edgar, alifika na kukaa macho kwacho yote akimtazama Edgar, nikama mtu ambae amekwama, mfano CD mbovu kwenye deck, inavyo ganda ganda, macho yake yalishuhudia tabasamu lakiume kwampezi wakike, usoni kwa Edgar, naye akajikuta akitabasamu lakini akionyesha kabisa hayuko vizuri kabisa, “mama simu inaita mda mrefu kweli, kwani huisikii,”maneno hayo nikama hakuya sikia, maana kitu ambacho alikuwa anakiwaza hakilini mwake juu ya Edgar, kilimuumiza roho, asa akimwangalia Edgar anavyoonyesha kuwa anampenda, alafu leo hii kama itakuwa kama anavyo zani, haaaa, akashangaa akimwona Edgar anaingiza mkono kwenye mkoba wake wamkononi, nakutowa simu kisha akampa, alipoitazama, ilikuwa ina ita “mama Sophy” alinong’ona Suzan, akipokea simunakuweka sikioni

Mama Sophy aliona simu ikipokelewa, baada ya kupiga mala tatu, mwanzo alipatwa na wasi wasi akijuwa Suzan ame hacha kupokea simu yake, baada yakugundua kuwa, amepewa dudu na Edgar, lakini baada ya kuona Suzan amaepokea simu , moyo wake uka tulia, kabla ata Suzan haja ongea yeye akawai, “mwanagu nikazani umenichunia, vipi lakini kwema” Suzan akajibu “samahani mama nilikuwa msalani , yani nilitaka nikupigie sasa hivi, kukushukuru kwakumpa lifti, Edgar” aliongea Suzan, akijizuwia hasilopoke juu ya anayo ya shuhudia hapa Full dose pub, “husijari huyo niwakwetu wote, siunajuwa wewe umekuwa mmoja wafamilia yetu, hivyo ndugu yako ni ndugu yetu” hapo mama Suzan akasikia sauti ya Suzan akishusaha pumzi, akajuwa ameweza kumzuga kimafumbo, nakwamba SUZAN ameelewa alikuwa amamaanisha nini, kabla Suzan haja ongea lolote, akongeza neno ili kumpoteza maboya kabisa “bado hupo na Edgar kunakitu nataka nimuulize, maana tulipo kuwa kimara, kuna bango tulilisoma sijuwi alishika lile jina?” hapo akatulia kidogo kusikilizia, maana alitegemea kusikia Edgar akipewa simu, “nazani atakuwa darasani maana ameondoka mdamrefu sana hapa”

Suzan aliongea hayo akimtazama Edgar, kiasi kwamba Edgar alipata uakika kuwa mama mwenye nyumba alikuwa anaongea na nani, nandicho kitu alichokuwa anakihofia, maana aliona jinsi yule mama aliyo changanyikiwa na dudud, kwaku towa mpaka siri za ndani, sasa walipo kuwa wakitafuta bao la mwisho katika rund ya tatu, akakumbuka na kale kahaadi kake ka muamisha kwa Suzan, Edgar akashuhudia Suzan akikata simu, na kuiweka mkobani, “Edgar baba, wai chuo,” aliongea Suzan kisha akatulia kidogo, alfu akaongeza “tukutane kwenye ile bar niliyo kukuta jana, kwaajili ya chakula cha jioni” mh! hapo Edgar akajuwa mama Sophy amesha kolofisha mambo, akainuka taratibu huku akimwangalia Suzan kwamacho ya wasiwasi, kwa Suzan, alimwona Edgar akimwangalia kwa wasiwasi, akatazama chini kuficha machozi ambayo alikuwa anayatarajia muda wowowte, zaidi akimwonea huruma kijana mdogo Edgar, kitendo cha Suzan kutazama chini akibaki pale kwenye kiti, huku yeye akiondoka, tena amebadirika ghafla, akajuwaamesha yakologa

Hapo akatembea taratibu huku mwiliwake ukiwa umenyongea, akajilahumu sana kwakitendo alichokifanya na yule mama mtu mzima, akakumbuka jinsi Suzan alivyo mpatia million moja kuwapa wazazi wake, fedha ambayo aiyo kwamba hawaja wai kuipata, lakini kwambine sana, leo hii akuwa nakazi yoyote anwapatia fedha nyingi wazazi wake huku yeye akipewa kila kitu, pamoja na nyumba ya kulala, hachilia hivyo, na mapenzi makubwa akimtambulisha kama ndugu yake, Edgar mapaka ana panda daladala lakwenda kibamba, alikuwa bado akijutia mambo haliyo yafanya na mama Sophy, lakini akiwa ndani ya daladala akapata wazo, ni baada ya kuangalia kwenye begi lake ladaftari, akakuta kuna fedha, aliyopewa na mama Sophy, pia akakumbuka fedha aliyo pewa na mzee Mashaka, akaona bora apende kwanza chuo akachukue masomo waliyo soma wenzake mchana, kisha akaamishe vitu vyake kabla ya saa 12, maana Suzan atakuwa hajarudi, ilikukwepa ahibu, Edgar alidumu na wazo hilo mpaka anafika chuoni mida ya saa tisa jinni, akazama darasani kutafuta notes, alipo zipata akaanza kuzi copy, kwa speed, ili awai kuamisha vitu vyake kwa mama mwenye nyumba, masaa mawili baadae alikuwa amesha maliza, na sasa alikuwa anaongea na Dereva wa Kigali flani hivi, vijana wanaita kilikou, wakipatana bei

Kiukweli Edgar alipania kukimbia kwa mama mwenye nyumba, maana aliona jinsi Suzan, alivyo badirika ghafla, naalikuwa ana asilimia mia kuwa mama Sophy amemwambia walicho fanya, japo alikuwa amechukuwa uamuzi huo lakini kiukweli roho ilikuwa ina muuma sana, hapo ndipo alipojuwa kuwa kweli anampenda sana Suzan, “ongea mkubwa mashine hiihapa, atakama unaamia kibwegele au mloga nzila, hii inafika” alijinadi dereva wa kilikou, hapo kidogo jibu likawa gumu kwake, maana mpaka sasa akujuwa anahamia wapi, akawaza kidogo kisha akapata wazo, nikwamba katafute guest, achukuwe chumba, akaehapo wakati anatafuta chumba ambacho kitamsaidia miezi hii mitatu, kabla haja maliza chuo, “kuna guest gani hapa ya ka….” kabla hajamaliza kuulizia akastushwa na mlio wa simu yake, akaitowa mfukoni kwa pupa, nakutazama kwenye kioo cha simu, “mama mwenye nyumba” alinong’ona Edgar akitaka kurudisha simu mfukoni, brother pokea tu simu alafu tataongea, dah! hapo Edgar akagunduwa kuwa alikuwa anaangaliwa sana na Dereva wa kilikou, aksogea pembeni kidogo na kuipokea simu, huku mapigo yamoyo yakionekana jinsi yalivyokuwa yakimwenda mbio,

Kumbe basi Suzan baada ya kushuhudia Edgar akipotelea barabarani, alikaapale akiwaza jambo flani, baada ya dakika kama tano, kisha akainuka na kuelekea ofisini kwao, aliingia moja kwamoja kwa muhasibu mkuu, na kumwomba luksa, ya kuwa anaenda nyumbani maana kichwa kina muuma sana

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA KUMI NA SITA

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni