MAMA MWENYE NYUMBA (17) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Alhamisi, 7 Mei 2020

MAMA MWENYE NYUMBA (17)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
πŸ“– KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
πŸ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
πŸ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Mbogo Edgar

SEHEMU YA KUMI NA SABA
Kumbe basi mzee Mshaka alisubiri sana, ule binti wajana aliamshe dude, lakini hakashangaa ndokwanza anahacha kabisa ata kuchezea “mbona unahacha, mimi mzuka umepanda bwana,” aliongea mzee Mashaka akikaa vizuri zaidi ili binti wajana aweze kuliamsha dudu

SASA ENDELEA...
Lakini chakushangaza wala hakuangaika nayo, “sikia baby, naogopa kukuchokoza alafu nika shindwa kukutuliza” aliongea binti wajana huku akiegemea kwenye mapaja ya mzee Mashaka, “kwanini hunasema hivyo, inamaana leo sipati kitu” aliuliza mzee Mashaka huku akichezea nywele za wajana, “ndiyo hatuwezi leo kampe mkeo”alisema binti wajana kwasauti ya utani akijidekeza, pale mapajani kwa mzee Mashaka, “huyo zilipendwa bwana, kwanini tushindwe” hapo mzee Mashaka akaona kuwa kuna dalili yakuto pata kitumbua siku hiyo, “leo naumwa, nipokwenye siku, kwani umebanwa sana?” aliuliza yule binti akicheka cheka, “sana yani nikichelewa naweza kujikojolea, umesema kwanini hatuwezi?” alihoji mzee Mashaka , akimaanisha bado alikuwa hajamwelewa binti wajana, hapo binti huyu akazidi kuficha uso wake kwenye mapaja ya mzee Mashaka, “nimekwambia nipokwenye siku zangu, kama umebawna ujaribu kwajilani yake” kusikia hivyo mzee Mashaka akaona picha imeungua, nahuyo jilani yake itakuwaje, au anamtega aone uaminifu wake, kwamba anaweza kutembea na rafiki yake, “haaa! umenza lini tena?” aliuliza mzee Mashaka huku akijaribu kuumiza kichwa aende wapi, baada yakuwaza kidogo alipata jibu moja tu! japo hakuwai lakini wacha akamshawishi Suzan amnyonye dudu, maana kiukweli alisha mwona zilipenda, lakini alikuwa anampenda sana, sababu alikuwa mwaminifu sana, naile kuwa mwaname wakwanza kumfanya, ilizidisha mapenzi kwake, “utakubali kuingia kwajilani?” aliongea wajana, lakini hakuwa na uakika kama mzee Mashaka anaelewa ancho maanisha, “hapana siwezi kukufanyia hivyo, yani kuwa hivyo tu! nitembee na rafiki yako, hapana siwezi” hapo wajana akajuwa lugha gongana, mzee Mashaka akainuka kwenda chooni, ambako alimpigia simu Suzan

Wakati huo Suzan alikuwa ndio anajiandaa kwa chakula, akatazama jina la mpigaji, “mzee Mashaka” hapo mapigo ya moyo yakaenda mbio kidogo, akajisemea kimoyo kuwa, kwajinsi alivyo pania dudu, sasa huyu mzee anataka nini, au amesha mpaka shombo yule dada kahaba, akamtazama Edgar, akaachia tabasamu ambalo liligoma kutoka vizuri, “samahani mpenzi naomba nipokee simu kidogo” hapo Edgar akataba samu kidogo, “kwanini husipokee?, weee pokea tu” alisema Edgar hukuakitabasamu nakumtazama Suzan, macho yao yalipo kutana wakatabasamu kwapamoja, Suzan akapokea simu nakuiweka sikioni, “hallow,” hapo maongezi yakaanza, “niambie mama, vipi hupo nyumbani? mbona kama kuna kele?” aliuliza mzee Mashaka nakusubiri jibu, “sipo nyumbani nipo hapa, kwenye geleji, gari langu lilipata pacha” alidanganya Suzan akimtazama Edgar, nakumkonyeza, kisha wote wakatabasamu, huku moyoni Suzan akijisemea wewe leo nataka unipe utamu, mpaka koo likauke “ok! nitakuja huko baadae, leo nataka nikufundishe kitu,

Suzan alistuka kidogo, akakunja sura huku akiwa anamtazama, Edgar usoni, “kitu gani tena, ebu nidokeze” aliongea Suzan akinyoosha mkono wake mmoja nakuulaza juu ya mkono wa Edgar, na akiupapasa kama anaupooza, “nataka leo uni nyonye mb..o” hapo Suzan alitowa simu yake sikioni nakuitazama, kama labda imekatika, au amepokea simu yamtu mwingine, “hooo! nimeipenda hiyo, lakini hapa namsubiri Sophy, na tuta chelewa kuachana,” hapo hakusikia tena sauti zaidi yaukimya, akaitazama simu ilisha katwa, hapo Suzan akatabasamu hukuakijisemea moyoni “husindwe, kama umenogewa naivyo, wewe endelea huko huko, nakahaba wako” aliongea Suzan akimtazama Edgar ambae alikuwa hajaanza kula anamngoja yeye, “hooo, pole kwakukuchelewesha baba, nilikuwa naongea na bosi wetu, eti kuna kazi, wakati nime wadanganya naumwa na kesho siendi kabisa” walina wanakuanza kula, wakiongea ilil nalile, huku kuna vimawazo flani vya kupendeza vikipita vichwani mwao, Edgar alikuwa akifurahi kumwona Suzan akiwa katika hali ya uchangamfu, na kumwonyesha kwamba anamjari sana, pia alipania sana kama atapata nafasi ya kupewa kitumbua, basi ajitaidi kufanya kama alivyo shuhudia kwenye video

Pia alikumbuka jinsi mama Suzan alivyo mnyonya dudu, akatamani kama Suzan nayeye angemnyonya, huku Suzan nayeye, aliwaza yakwake, aliwaza kama mzee Mashaka amekutana na yule kahaba, namepagawishwa kwa kunyonywa dudu, basin a yeye ampagawishe Edgar kwa kumnyonya dudu, akiamini kuwa endapo ataweza, basi kijana huyu atakuwa wakwake mazima, japo hakuai kujaribu atasiku moja hivyo akapania nywe kidogo mvinyo, wakumtoa uoga, iliakianza kazi ifanikiwe, wakati wakiwaza mambo yao hukuwakiendelea kula, mala wakagonganisha macho, wakajikuta wakitabasam, huku uso wa Suzan ukiwa ume tawaliwa na ahibu, akarudisha macho kwenye sahani na kuchukuwa kipande cha ndizi, akavyovya kwenye kachumbali, kisha akamlisha Edgar, naye akaidaka nakukimega, huku akiona ahibu kidogo maana mabo yale adharani duh!, “Edgar mwite muhudumu wa vinywaji, tuagize wine” aliongea Suzan huku akimalizia kile kipande chandizi kilichobakia baada ya Edgar kukimega, “hooo! siunasemaga uwezi kuendesha gari ukiwa umelewa?” aliuliza Edgar, naSuzan akajibu “wala husijari, tunakunywa wote kidogo, kisha tunaenda kumalizia nyumbani” hapo Edgar akaangalia huku na huku,kisha akamwona mhuhudumu wa upande vinywaji, akamwita nayule muhudumu akawasogelea

Mzee Mashaka akawaza na kuwa zuwa, maana alipania kupata kitumbua, na nilizama akile usiku hule, “sasa huyo jilani yake itakuwaje, simajaribu hayo?” aliwaza mzee Mashaka huku akirudi kwenye meza yake alipo mwacha binti wa jana, alimkuta anakata kilaji, walikaa wakiendelea kunywa pombe, mpaka saa nne usiku, ndipo mzee Mashaka akaamua awai kwa mkewe huku akijisemea “simba akizidiwa” yani mkewake amekuwa nyasi, wakainuka kwapamoja, wakiongozana mpaka pale counter alipo waacha wenza (binti wajana) kisha akampatia fedha kiasi cha elfu 50, kisha akaondoka zake huku mawazo yote namna ya atakavyo tafuna kitumbua cha mkewake, maana alisha kichoka kabisa, kilikuwa kimeoa kiasi kwamba alikuwa anaona uvivu ata kukitafuna, kitu ambacho halikuwa hakijuwi ni kwamba mkewake leo ame nyonya mpaka dudu ya kijana mdogo Edgar, akifanyia mazoezi ya mambo anayo yasikiaga kwa wenzake wakiwa saloon au kwenye maongezi mengine, uwa wana ongelea sana namna ya kumfurahisha mume, lakini mkewake hakupata nafasi hiyo, maanakila akitaka kuulamba mwiko, anakuta umesha tumika na shombo zimejaa, binti wajana aliungana na wenzake nakuendelea kunywa pombe, “vipitena shost, mbona boss anaondaka mapema leo” aliuliza mwenzake, naye akamjibu, “haaa! leo sikopoa kume chafuka” jibu hilo liliwashangaza wenzake, mmoja akasema “ulipo kuwa unaondoka siulisema utamkaribisha kwa jilani?” hapo wakacheka kidogo wakisubiri jibu la wajana, “nimejaribu kumwelewesha weee, wala hajanielewa, inaonyesha hajawai, mimi nikaona bola hawai kwa mkewake” wote wakacheka kwanguvu huku wakigongeana mikono, “hajawai kununua kisavu super market, wewe unge mwonjesha kwanguvu, angeenda kuomba atakwamkewake huyo” wakazidi kucheka huku wakiusifia ule mchezo wao haramu, “ wewe usinge mwambia, ilawakati wa kuingiza una jifanya umekosea, mbona ange kuahidi gari” mwingine akaongezea ushetani wake

Baada ya Nancy kuya shuhudia aliyo ya shuhudia kwa Edgar na Suzan,, alitoka akiongozana na Elisha mpaka saloon, ambapo alimwacha Elisha kisha yeye akaenda moja kwamoja kwenye nye nyumba aliyo panga, huku roho ikimkeleketa, utazani tumbo la vidonda vya tumbo, “kwanini siku chukuwa ata namba za simu?” alijilahumu Nancy, huku akipiga piga miguu, “ningekuwa nimesha mpigia simu mape sana, hasinge nifumania na huyu?” alijilaza pale kitandani ata wenzake walivyo mpitia kwenda chuo kwa masomo ya usiku, aliwaambia kuwa anaumwa, baada ya wenzake kuondoka yeye akapekua pekuwa kwenye kopo lake la dawa na kuibuka na vida wa vya mafua vinavyo sababisha usingizi, akavibugia viwili, haikumchukuwa mda mrefu akalegezwa na usingizi na kulala kabisa

Sophy naye tokea jana alikuwa anamawazo mengi sana, kwanza juu ya tabia ya baba yake, pili juu ya kugunduwa mpenzi wake anampenzi mwingine, tatu aliwaza namna ya kumnasa Edgar, akaona njia nzuri ni kwenda kimya kimya kibamba akamsake yule kijana bila Suzan kujuwa, kisha akamshawishi kwa pesa yoyote, ataikiwa nyingi kiasi gani, saa mbili na nusu alitoka kwenye ki grocer kimoja karibu na kwake ambapo alikuwa anapata bia, nakuelekea kibamba, nusu saa baadae alisimama kwenye bar moja kubwa, ambayo jana yake walimkuta Edgar pale, ile anaingia akaliona gali la Suzan linatoka pale bar, likiwa limepandishwa vioo mpaka juu, akaona bola akae pale akipata bia mbili tatu kisha aende kwa Suzan , maana akiwai atashindwa kumwona Edgar, nakutimiza lengo lake maana Suzan atakuwa bado yupo macho, kwa sasa atakuwa haja lala, kwakuwa ndio anaelekea kwake, hapo Sophy akatafuta mexa moja nzuri nakukaa, kisha akaagiza pombe, dakikachache aliletewa nakuanza kuinywa taratibu, kwani hakuitaji kulewa sana

Saa nne nanusu mzee Mashaka alikuwa anaingia nyumbani kwake, alifunguliwa mlango na binti wakazi, ambae alikuwa ame vaa kanga moja tu! akionyesha kuwa alikuwa amesha anza kupitiwa na usingizi, macho ya mzee Mashaka yakatuwa kwenye kifua cha binti huyu wakazi, ambae kutokana na udogo wamaziwa yake, kifuani pake palionekana kawaida, hapakukuwa na halama yoyote ya matiti wala tuchuchu, zaidi ya fundo la kanga, akaachana naye na kuelekea chumbani, ile anaingia tu macho yake yakatuwa kwenye kitanda, akashuhudia mke wake akiwa huchi kabisa kama alivyo zaliwa akiwa ame lala kifudi fudi, nakuuhacha msambwanda ukimsimanga mzee Mashaka, hapo mzee Mashaka akavua nguo huku kududu yake ikionekana kusimama, tayari kulishambulia kabumbu, akapanda kita ndani kwa fujo, lengo likiwa ni kumwamsha mkewake, pasipo kujuwa kuwa mkewake alikuwa macho kabisa, akimwangalia mumewake, anavyo vuwa nguo moja baada yanyingine, ataalipo maliza na kujirusha kitandani, kwafujo yeye akajikausha, ata mumewake alipo keukia upande wake na kumpandishia mguu kwajuu, huku dudu yake ikimgusa kwenye maeneo ya makalio ambayo alikuwa ame yaacha juu, hapo mama Sophy akajifanya anajigeuza kidogo, nakulala kiubavu, kwamba bado yupo usingizini, nakuufanya mguu wa mume wake utoke juu yake, mzee Msahaka akiwa anajuwa mke wake anakiu ya dudu akaendeleza visa ilitu mkewake adai mwenyewe dudu

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA KUMI NA NANE

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni