MAMA MWENYE NYUMBA (16) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Alhamisi, 7 Mei 2020

MAMA MWENYE NYUMBA (16)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
πŸ“– KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
πŸ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
πŸ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Mbogo Edgar

SEHEMU YA KUMI NA SITA
Kumbe basi Suzan baada ya kushuhudia Edgar akipotelea barabarani, alikaapale akiwaza jambo flani, baada ya dakika kama tano, kisha akainuka na kuelekea ofisini kwao, aliingia moja kwamoja kwa muhasibu mkuu, na kumwomba luksa, ya kuwa anaenda nyumbani maana kichwa kina muuma sana

SASA ENDELEA...
Muhasibu mkuu hakuwa na hiyana, akamluhusu awahi kupumzika, huku akimsisitiza kwenda hospital endapo kichwa kitazidi, pia asikose kupiga simu kuwajulisha maendeleo yake, nusu saa baadae Suzan alikuwa kwenye folen, yakuingia mahabara, yahospital, ya Doctor Stellah, bingwa wamagonjwa ya kina mama, aka shangazi, (soma mkasa wa shangazi atanataka) folen iliendelea mpaka zamu yake ikafika akaingia na kuacha damu yake, ikiwa pamoja na kupatiwa namba, akaenda kukaa kwenye bechi, akisubiri majibu ya vipimo maana alipewa dakika kumi natano, majibu yatakuwa tayari, hapo Suzan alikaa huku mawazo yakivuruga kichwa chake maana jinsi alivyomwona yule mwanamke, akaona hapakuwa na usalama kabisa pale, “hivi kama ninao nitafanyanini?” hiloswali lilimjia ghafla akasimama, nakuanza kuondoka zake, akielekea nje ya hospital

Wakati ana fika kwenye kingo za balaza la pale hospital, akasikia nambayak ikitajwa, kwamba aende akapokee majibu yake, alisimama ghafla kamaameshikwa shati kwa nyuma, akatazama nyuma kisha akageuka nakuzidi kutoka nje, lakini ile sauti yakuitiwa vipimo ilimsimamisha tena, pale ilipo itaja ile namba kwamala yapili, hapo kama alie simamiwa na MP askari jeshi, akageuka nakuingia, kwenye chumba ambacho aliingia kabala hajaingia mahabara, akamkuta mmama ambae aliongea nae mwanzo, “waooo, karibu tena” aliongea yule mama mtu mzima flani, “asante”aliongea Suzan huku sauti yake ikiambatana na upumuaji wamtu ambae ametoka kukimbia masafa marefu sana, kiasi cha kumshangaza atayule mama, “kuna mtu humekuja nae, ambae unataka ayajuwe majibu yako?” hapo Suzan akajuwa mh tayari, mpaka ushahidi tena “hapana, kwani vipi majibu …” alikatishwa husemi wake na yule mama, kwakicheko cha hali yajuu, alipo maliza kucheka akamwuliza

“Wewe utakuwa kuna sehemu umepita na tena kwa ngono uzembe,” Suzan aliitikia kwakichwa huku hofu ikimzidi sana “basi kuanzia leo huwe makini sana maana husitegemee kila siku kuna bahati nzuri,”aliongea yule mama akiinua karatasi mezani nakuligeuza, lilikuiwa limeandikwa maandishi mengi ya ki doctor pia liliwekwa muuli wenye neno NEGATIVE, “salama mrembo wangu jitaidi kuzinga tia kufanya mapenzi salama, tena vyema ukawa na mpenzi mmoja mwaminifu” Suzan aliinika na kutoka nje ya Hospital, baada ya kuihacha kidogo alipiga ukulele wa furaha, mpaka watu waka mshangaa, ila kama kwaida ya jiji hili, kila mtu akashika nazake, Suzan akaanza kutembea akifwata barabara ya morogoro akielekea kibamba, alipo fika mbezi kwa yusuph ndipo alipo stuka kuwa amesahau gari kazini kwake, akapata wazo la kupanda daladala kurudi mbezi mwisho, lakini akakumbuka fedha zipo kwenye mkoba na mkoba ameusahau kwa doctor wa ushauri na majibu, akanza kutembea kurudi hospital ndipo alifwate gari, kazini kwake, hakuwa nahujanja mwingine maana atasimu ilikuwa kwenye begi lake la mkononi

Kabla haja fika mbali, mala akona pikipiki ina pita akaamua kupanda pikipiki hiyo mpaka hospital, nikweli alikuta begi lake kwa doctor akatowafedha, nakumlipa yule boda boda ikiwa na kumpeleka kazinii kwake Benk ya wananchi, dakikachache baada alikuwa ndani yagari lake akaingia kwenye maduka macheche akinunua nguo zakiumw na mashati, kisha aknunua simu nzuri ya kisasa, vijana wanaita yakupangusa, akarudi kwenye gari akatazama muda ilikuwa saa 12 kasolo, akajuwa mida hii lazima Edgar atakuwa anatafuta chakula, maana darasani watakuwa wamesha toka, hivyo akachukuwa simu yake nakumpigia, akaisikia ikiita kwa muda mrefu kiasi cha kumtia wivu, karibia ina kata ndipo akasikia ikipokelewa

Cha kwanza kabisa baada ya kupokea simu, Edgar akasikia sauti ya Suzan akishusha pumzi kwanguvu kama ameshusha mzigo mzito, “utaniua mumewangu, mbona hupokei simu?”akiwa ametega sikio kwa tahadhari, maana alishaamua kuwa kama msala nimkubwa bola aende akachukuwe vitu muhimu tu alafu akimbie zake, “samahani…. mama ilikuwa mbali kidogo…” alijibu Edgar ambae alianza kuona kuna utofauti wa jambo flani, maana sauti ya Suzan ilikuwa kimahaba zaidi, ile kuitwa mume pia ilimsisimua “haya baba hupo wapi, lakini sipendi uanapoongea kiuoga, inamaana huja nizowea tu! mumewangu?” mpaka hapo Edgar aliachia tabasamu, anakuanza kutembea kuelekea chuoni, akapungia mkono yule dereva wa kilikou, ambae alikuwa anshangaa, huku akiachia tusi kimoyo moyo, “nipooo, chuoni najiandaa kwenda kula” alisema Edgar ukuakitembea kwa haraka kurudi chuoni, “ok! sasa niagizie nyama yakuchoma, na ndizi za kukaanga, nakuja nikukute hapo hapo unapo kulaga” kiukweli Sauti ya Suzan ilionyesha furaha ya hali yajuu sana, ambayo ilimpamoyo Edgar kuwa hakunakitu kibaya kilicho gundulika, “sawa utanikuta” alijibu Edgar akisimama, na kutaka kugeuka arudi barabarani, “kaa sehemu nzuri husikae pale tulipo kukuta jana”

Wakati huo taya ri ilikuwa saa 12 na lobo Nancy alisha zunguka sana kumtafuta Edgar, lakini hakumwona, akajaribu kuuliza wanafunzi wa mwaka watatu, nao wakamwambia kuwa hawamjiwi, maana jamaa alikuwa mgeni pale chuoni, hivyo akaona bola amtafute Elisha wake, akaelekea saloon, na kwa bahati akamkuta Elisha akiwa ametulia pembeni huku mwenzake akimnyoa mteja mmoja, hapo Elisha akaaga kwamwenzake, kisha wakaongozana na Nancy kuelekea barabarani kwenye ile bar, dakika chache baadae walifika na kutafuta sehemu nzuri hiliyo jificha na kukaa, ikiwa ni ushauri wa Nancy maana hakutaka aonekane mbele ya Edgar, ikitokea akafika pale bar, wakaagiza chipsi yai na soda, nakuanza kula huku akiangaza macho huku nakule kama atamwona Edgar, lakini hakumwona zaidi ya wanafunzi wenzake wengine waliokuwa wamekaa kwamakundi, wengine wakiwa wake kwa waume, na wangine jinsia moja, hapo akajilidhisha kuwa Edgar hayupo, kiukweli kumkosa Edgar kulimuumiza roho yake akajihisi kawavu kakimjia kwambali, waliendelea kula chips yai, huku wakiongea mawili matatu, mala wakasikia salamu “mambo vipi Nancy?” salamu hiyo ilimstua sana Nancy, akabaki ameganda kwa sekunde kadhaa, akiwa ameinamia sahani yake, hakishindwa kuitikia ile salamu, maana sauti ya msalimiaji alikuwa anaifahamu vyema kabisa, “niyule jamaa yako wajuzi, anakufahamu hen?” aliongea Elisha ambae alikuwa amemtazama msalimiaji, ambae alisalimia tu! nakupita zake “hachana naye, nimwanafunzi mwenzetu, ananishobokea sana,” aliongea Nancy akiinua usowake nakumtazama, akamwona Edgar akiifwata meza moja nakukaa, nimeza ya atatu toka walipo kaa wao, muda huo huo akamwona muhudumu mmoja anamfwata ilikumuhudumia

Mama Sophy alikuwa anajiinua kwenye kitanda baada yakupitiwa na usingizi, maana alipo maliza tu kuongea na Suzan, hakuchukuwa mda mrefu akapitiwa na usingizi na kulala, sasa aliamka akiwa amechoka mwili, asa sehemu za mbavu, akaingia bafuni nakujimwangia maji, hpo ndipo alipo gunduwa kuwa atakwenye kitumbua chake, kulikuwa kume choka, maana akila alipopitisha mikono kujisafisha aliona kuna aliflani ya kutumika, akajikuta anatabasamu peke yake, baada ya dakika chache alikuwa amesha maliza kuoga nakuvaa sasa alienda kuangalia kama binti yake wakazi amesha andaa chakula cha jioni, kwaajili ya wao wawili, maana mume wake hakuwa namuda wakula jioni wala mchana, zaidi ya asubuhi tu! tena ni supu,muda wote mama Sophy kichwa chake kilitawaliwa na mchezo aliokuwa ametoka kuucheza leo mchana, akajilahumu kuto kudai namba ya simu ya Edgar, pale alipoongea na Suzan mida ile, kabla hajalala, akapnga kupiga kesho akipanga sababu za kumwambia Suzan ilia toe namba, maana alikuwa anajuwa fika kuwa anapewa dudu na Edgar, nakwamziki hule lazima ztakuwa na wivu sana kwakijana yule, mala akapata jibu atamwambia kunakazi anataka akamsaidie, hapo Suzan hawezi kukataa kutoa namba za simu, na kisha ata mruhusu alaka sana kuja kwake

Muda huo mzee Mashaka alikuwa amekolea kilevi, lakini siyo sana, akiwa sambamba na binti wa jana, wanaendelea kunywa pombe, kwakutumia nafasi yagiza ambalo lilikuwa limeanza kuingia, bint wa jana akaanza kuchezea dudu ya mzee Mashaka, lakini leo alikuwa anaichezea ikiwa ndani ya suluali, huku mzee Mashaka akitamani kuona binti wa jana akiitoa na kuitupia mdomoni, lakini akajipamoyo kuwa, atakuwa ananza kumpandisha mzuka kisha atainyonya

Wakati Nancy akiwa na Elisha wana endelea kula chips yai, Nancy alimsisitiza mpenzi wake huyo, wamalize haraka ili yeye akajiandae kwenda darasani, kweli wakaongeza speed yakula, kumbe lengo la Nancy kuwa, wakisha toka pale pindi watakapo hachana, yeye arudi pale bar, kumfwata Edgar ambae mpaka sasa anamwona yupo peke yake, wakati wanajiandaa kunawa mala wakasikia minong’no ya chi chi, “duu! check check, daaa! kuna wanawake wazuri jamani,” maneno kamahayo namengine mengi, huku wengine wakijikooza, na wengine wakifanya kama wale wanao ita paka, Nancy naye akajiunga na umati wamle ndani kuangalia hicho kinacho sifiwa, kwamacho yake alimwona mdada wamaana akipita karibu yake, huku kila atuwa aliyo kanyaga, ilisababisha sehemu za mapaja a makalio yake yaliyo kaa vizuri kutikisika, akamtazama yule dada huku akijaribu kukumbuka alipo mwona, adi yule dada alipo fika kwa Edgar, ambae alikuwa ametulia, akiinamia simu yake ya tochi akicheza game la nyoka, Nancy akamwona yule mdada akimwinamia karibu nasikio, kisha akampiga kibusu kkidogo

Hapo Nancy alishuhudia Edgar akistuka, na kusimama nusu amsukume yule mdada, akawaona wana tabasamu, kisha yule mdada anamkubatia Edgar ambae anaonyesha kushangazwa na tukio lilile, kisha anamwona Edgar akiweka kiti vizuri, na yule mdada anakikalia, kisha akaona yule idada anatowa box kwenye mkoba wake na kumpatia Edgar, nisimu tena yakisasa, “hoya nawa twende basi, siunaenda kuji andaa, uende chuo?” Nancy alistuliwa na Elisha, naye akainuka huku akificha uso wake, hasiuone Elisha, maana tayali machozi yalisha anza kumlenga, akiwa ananawa akatupia macho kwenye meza haliyo kaa Edgar, akashuhudia muhu dumu akiwekamezani sahani kubwa la njama choma na ndizi za kukaanga, wakati huo akamwona yule mdada akipokea simu nakuiweka sikioni

Kumbe basi mzee Mshaka alisubiri sana, ule binti wajana aliamshe dude, lakini hakashangaa ndokwanza anahacha kabisa ata kuchezea “mbona unahacha, mimi mzuka umepanda bwana,” aliongea mzee Mashaka akikaa vizuri zaidi ili binti wajana aweze kuliamsha dudu

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA KUMI NA SABA

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni