
SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU
Haikumshangaza Edgar maana ile simu, alipewa na baba yake wakati anaondoka Songea kuja dar es salaam, ilinunuliwa kwa mtu kwakutumia zile fedha za mkopo wa Tsh laki nane, waliowekea bondi shamba lao, hivyo hii namba wengi hawakuwanayoSASA ENDELEA...
“Mimi Edgar, habari za huko shemeji” alijitambulisha Edgar, “hoo shem safi bwana, sasa nipo kwenye kikao kidogo, nitakupigia baadae” aliongea shemeji kisha Edgar akasikia batan zasimu zikitoamilio, ikiashilia inabonyezwa bonyezwa alafu ikatulia ukubado anasikia sauti za kelele zikiendelea, akajaribu kuita japo amwachie ujumbe haraka, lakini hakuna jibu, zaidi kwambali akasiki yamwana mke, nani huyo mpenzi unaemdanganya” mwanzo Edgar alizani kuwa ni dada yake, “ndio maana hakuisikia simu yangu” lakini wazohilo halikuwa sahii, aligunduwa hilo baada ya kusikia jibu la shemeji yake, “shemeji yangu mmoja hivi, yupo chuo, niomba omba mpaka inakela,” sauti ya shemeji yake iliyo jaa dharau ilifwatiwa na kicheko cha kejeri toka kwayule mwanamke, “hahahahaaaa ukome kuoa familia masikini” kiukweli kuri hiyo ilimuumiza sana Edgar, ktk kumbukumbu zake huyu semeji yake, hakukuwai kumpa atashiringi, leo anamwita omba omba, tena kaoa familia masikini, wakati malanyingi uwa wanaenda kugongea maindi au mpunga kwa mzee Haule, kitu ambacho wanashindwa ata kuchangi fedha za mbolea nakulimia, kiukweli Edgar alitokwa namachozi, “hoya broo msho wa gari hapa” alistuliwa na sauti ya kondactor, akakurupuka nakutoa nauli kisha akashuka, alipo tazama sehemu alipo kiukweli madhingila yalikuw ni mageni kabisa machoni kwake, akarudi kwa konda, “et broo samahani, hivi hapa ni wapi?” yule konda alicheka kidogo kisha akamjibu kiufupi, “kibamba shule” kisha yule konda akadandia gari lililokuwa linaondoka, hapo Edgar akazidi kuchnganyikiwa, akapata wazo lakumpigia simu Suzan
Suzan lifuta mikon yake ambayo ilikuwa namaji, kisha akapokea simu, “hupo wapi mpenzi wangu, mbona ulizima simu, utaniua mwenzio” maswali yalikuwa mengi sana mfululizo, lakini jubu lilikuwa fupi “nimepotea” Suzan aliisikia sauti ya Edgar ambayo ilikuwa turivu na yakinyonge, Suzan alistuka sana kusikia hivyo, “ inamaana huyu Sophi ameshindwa kuja kukupokea?” alifoka Suzan kabla Edgar haja ongea, Suzan akaongeza, “niambie mpenzi wangu hupo wapi niku fwatwe,” hapo Suzan liongea huku akikimbilia chumbani kwake, nakuchukuwa funguo za gari lake, akavuta kanga nakujfung kiunoni simu sikioni, “eti! unasema?” Suzan alisimama ghafla, baada yakusikia jibu la Edgar, “wanapaita, kibamba shule” kiukweli Suzan alishindwa kuvumilia, aliangua kichekeko, kilicho mshangaza Edgar, “ok! ok!ok! simama hapo hapo stend nakuja”
Edgar baad ya kuwasiliana na Suzan alifarijika kidogo, huku akishangaa kwanini Suzan amecheka sana, Edgar alitfuta sehemu nakukaa akitegemea kumsubiri Suzan kwamuda mrefu sana, lakini dakika tano baadae simu yake iliita, alipo itazama mpigaji alikuwa Suzie, u mama mwenye nyumba kama alivyo isevu, akaipokea “hallow hupo wapi mbona sikuoni?” aluliza Suzan “mh! inamaana umeshafika?” aliuliza Edgar kwasauti ya chini ilyo jaa mshango, “ndiyo, ebu angalia mwisho wastendi” Edgar aliinua mcho yake, kutazama alikoelekezwa, alishangaa kuliona gari la Suzan, kitu ambacho hakukijuwa ni kwamba kutoka pale alipo mpaka kibamba ccm, ni mta mia tano tu, Edgar alicheka sana, maana ukiwa pale kibamba shule unapaona vizuri kabisa kibamba ccm, wakiwa njiani kuelekea kibamba ccm, kisha huoni akamalizie kazi za chuo, Edgar alimsimulia kuhusu kugailishw kwasafari ya shamba, pia alimsimulia kitu kilicho sababisha apitilize kituo, akimsimulia dada yake alivyo kata kupokea simu nakuizima, piamaneno machafu ya shemeji yake, hapo kwa mala yakwanza Suzan anaelewa mfumo wamisha na tabia za dadazake Edgar, “mh! hao mawifi zangu nitatizo” alitania Suzan wakiwa wanasimama nje ya majengo ya chuo, ilikuwa saa kumi nanusu, mida ambayo wanafunzi walikuwa wanaingia pale chuoni, kujisomea kama kawaida yao kilasiku, Suzan ali mtazama Edgar kishaakambusu, wakitegemea vioo vyenye tinted “ila husijari mume wangu, kuna rafiki yangu yupo tawi la benk yetu Songea, nita mpigia akapokee mzigo kisha utamwelekeza nyumbani” hapo Edgar alituliza akili, wakakubariana baada ya kumaliza kujisomea, wakutane kwenye hile bar wakapate chakula
Kumbe tokea gari la mama mwenye nyumba linaingia nakusimama pale chuo, Joyce alikuwa anashuhudia, pia alishuhudia busu mwanana la Suzan kwa Edgar, akjisikia wivu, japo siyo sana, Joyce aliwatazama mpaka alipo mwona Edgar akishuka toka kwenye gari nakuelekea darasani, huku gari likiondoka, hapo Joy alimfwata Edgar ambae alielekea darasani kwake, Joy aliingia darasa lakina Edgar, akamwona akiomba notes kwawenzake wakampati vitini, kisha akaenda kukaa kwenye meza yake akipekuwa begi lake, kisha akaanza kupitia vile vitini, muda wote Joyce alikuwa amesimama mlangoni, akimtazama Edgar, baada ya dakika chache akaanza kutembea kumfwata Edgar pale alipo kaa, pasipo kujuwa anachoenda kukifanya
Joyce alitembe taratibu mpaka alipo kaa Edgar, ambae alikua ameinamishakisha kichwachini macho kwenye kitini, akipitia masomo waliyo yasoma wenzake wakati hayupo, Joyce akiwa nyuma ya Edgar alimgusa bega “mambo Eddy?” alisalimia Joyce huku akiinama kidogo, akitazama kile kitini huku machuchu yake yakimgusa mgongoni Edgar, “hooo! niwewe, poa tu!” alongea Edgar aliongea baada ya kumtazama Joy ikonyesha bado amjuwi jina, “me nipo, vipi ndo umerudi?” aliuliza Joyce huku akijitoa kwa Edgar nakwenda kukaa kwenye kiti chapembeni ya Edgar, “yah! ndio nimeingia, vipi ndo umekuja kujisomea?” aliuliza Edgar huku akirudisha macho kwenye kitini chake, “mh mh!, ndiyo nimekuja kujisomea” aliongea Joy kwasauti regevu huku akilaza mkono wake kwenye meza nakufwatia kichwa juu ya mkono wake, kiukweli Joyce ni mzuri wa sura na mwili, “Edgar nikikuuliza kitu utanijibu?” ongea Joyce akimtazama Edgar kwa macho ya bashasha, “kwanini nisikujibu, we uliza tu!” aliongea Edgar akigeuza usowake nakumtazama Joyce, macho yao yakakutana, Joyce akaziba usowake kwa kiganja chamkono wake, huku akicheka kicheko flani chakivivu, chenye kuliamsha dude, “usinitazame bwana, nitaona aibu” kauli hiyo ya Joyce ilimstua na kumsisimua Edgar, maana aliona dalili zawazi kabisa za Joyce kuitaji kitu kutoka kwake, “ok! poa mimi nasoma we! niulize,” aliongea Edgar huku akigeuza uso wake nakutazama kitini chake, hapo Joyce akatulia kidogo, kisha akajikooza kama mtu anayetaka kuimba, “he! kumbe mpo hapa!” walistuliwa na sauti ya Nancy wote waka geuka na kumtazama, “hooo Nancy, ulikuwa wapi?, niligonga sana kwenye chumba chako, lakini nikaona kimya” aliongea Joyce kwa maneno mfurulizo, huku moyoni akimlahumu kwa kuja kwake pale “nili kuwa model room, mime kutafuta sana, yani hapa emeniambia Masoud kuwa hupo humu” Nancy alikuwa anaelewa story yote ya mausiano ya Masoud na Joyce, Edgar kiukweli alikuwa ametulia akiendelea kutazama kitini, japo hakuweza kusoma chochote, kutokana na maongezi ya wanawake hawa, kitu kingine alishindwa kuelewa lengo la urafiki wa mabinti hawa kwake, wakati akiwaza hayo mala simu ikaita akaitazama, ilikuwa imeandikwa Sophia mapigo ya moyo yakaongeza kasi, maana alona hatari ya mchezo anaoutaka kuufanya Sophia, ni wazi unaweza kumwingiza matatani, nakuvuruga huusiano wake na mama mwenye nyumba yaani Suzan, kitu ambacho hakuitaji kitokee
Kumbe kule nyumbani kwa Sophia, Sophia na mam yake waliongea mengi huku wakinywa Juice iliyo kuwa pale mezani, huku kilammoja akiwaza lakwake, mama Sophi akiwaza juu yamchezo uliotokea, leo kuhusu mwanae Sophia na Edgar, akitamani kumwuliza mwanae juu yaujio wa kijana huyu, lakini hakujuwa aanzie wapi, huku Sophia naye alikuwa ana mlahumu mama yake kwakuharibia mechi yake, kiukweli hakuwa tayari kupoteza mechi hii kwa siku ya leo, akapatawazo akatasamu kidogo, kisha akainuka nakutoka nje, akimwacha mama yake ambae akuutambua ujio wake unalengo gani, akazunguka nyumba kisha akapiga simu kwa Edgar, iliita sana bila kupokelewa huku akiwa kama Edgar atapokea simu mbele ya Suzan azuge vipi, kiukwli simu haikupokelewa, “ata kama lazima unitomb.. leo, mimi ndo Sophia siyo kwa utamu ule wajana” alijisemea Sophia huku akirudi ndani, alikuta mama yake akiwa ametulia macho kwenye TV grass ya juice mkononi
Ilisha timia saa kumi nambili narobo ndio muda ambao wanfunzi wachuo hiki cha waandishi wa habari na Sanaa, walianza kutoka nje ya madarasa nakuelekea sehemu mbalimbali wanapo ishi, kwenda kujiandaa kwa chakula na masomo yausiku, Masoud alikuwa ame jibanza kwenye kona moja akitazama mlango wadarasa la kina Edgar alipo waona akiingia mpenzi wake Joyce, akiamini kuwa alikuwa anamfwata yule mwanafunzi mpya masaa kadhaa yaliyopita, kiukweli ukaribu wa Joyce na huyu jamaa ulimkela sana, japo sikuzote akuonyesha kujari kuusu mpenzi wake huyo, naalijisikia fahari sana alipo mwona Joyce akinyongea juu yake, nakuwaambia rafiki zake kuwa, Joyce hakuwa na ujanja wowote kwake, na alikuwa nauwezo wakumnyanyasa apendavyo, lakini ghafla Joyce amebadilika haonyeshi tena kumnyenyekea, na mbaya zaidi alionyesha kuto kuwa nampango nae kabisa, Masoud aliona wanafunzi wakitoka kwenye lile darasa, aliwatazama mmoja baada ya mwingine, adi alipowana Nancy, Joyce na Edgar wakitoka huku wakipiga story nakucheka kwafuraha, tofauti na alivyozowea kumwona Joyce, ndani ya hizi wiki mbili thtu zilizo pita, muda wote alionekan kuwamnyonge namwenye mawazo mengi sana, Masoud alitamani mfwate pale alipo lakini akaona hisingekuwa vyema endapo ata mtosa pale itakuwa aibu kwake na wenzie watamwona nizaifu, akapata wazo lakuwa amfwate baadae nyumbani kule aliko panga na wakina Nancy, nikweli Edgar na wale wanawake wawili waliongea mengi ya kuchekesha nakuburudisha huku wana tembea zao kuelekea upande wa barabara kuu, ambako ndiko kuna njia ya kwenda kwao waliko panga, japo walionyesha kuongea kwa furaha, lakini kila mmoja moyoni mwake aliwaza yake, Nancy aliwaza kumwambia Edgar kuwa anampenda, nakwamba anaitaji mechi, lakini kila alipo kumuka siku aliyo msemea vibaya akiwa na Elisha pale bar alivunjika moyo kabisa, huku Joyce na yeye aliwaza namna yakumshawishi Edgar amtamkie kuwa anampenda, licha ya kushuhudia akibusiana na yule mdada kwenye gari, lakini yeye haikumuumiza kichwa
Mida hii ilimkuta mzee Mashaka akiwa naegesha gar lake mbezi, kwenye bar moja anayo ipenda sana, Full dose pub, akashuka kwenye gari nakwenda ku kaa kwenye ile sehemu anayo ipendaga siku zote, yeye anaita mafichoni
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

USIKOSE SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com