MAMA MWENYE NYUMBA (24)

Zephiline F Ezekiel
0
Mwandishi: Mbogo Edgar

SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE
Mida hii ilimkuta mzee Mashaka akiwa naegesha gar lake mbezi, kwenye bar moja anayo ipenda sana, Full dose pub, akashuka kwenye gari nakwenda ku kaa kwenye ile sehemu anayo ipendaga siku zote, yeye anaita mafichoni

SASA ENDELEA...
Kisha akaagiza kinywaji na chakula, hii ni baada ya kutoka kwa Suzan alipitiliza mjini kwenye bihashara zake, alipiga mishemishe zake kisha akaingia benk nakuifadhi pesa, kiasi cha Tsh 20 million, kuhusu fedha mzee Mashaka alikuwa ana miliki pesa ya maana, baada yakutoka benk akaelekea kimara akachaua bar moja na kutulia akipiga mtungi, kiukweli ile bar licha ya kukaa kwamda mrefu lakini haikumflahisha maana haikuwa na wahudumu wengi wakike, akaona bora aende zake full dose anawezakuokota chochote, muda wote aliwaza sana juu ya mke wake, jinsi alivyo mjibu kiukaudhu jana usiku, wakati anawaza hayo mala akamwona binti mmoja akija kwenye eneo lile, nakukaameza ya tatu kutoka pale alipo kuwa amekaa yeye, hapo akatabasamu kama samba lie onamawindo, mala akatoke muhudumu akaelekea kwenye meza ya yule binti mrembo, akaonekana yule binti akitoa maagizo yake, kisha yule muhudumu akaondoka, ilakabla hajafikambali mzee Mashaka akamwita yule mhudumu, “mwambie yule mrembo, naomba nimlipie vinywaji nakila atakacho kiagiza kwaleo” alongea mzee Mashaka kisha yule mhudumu akaondoka zake, kwenda kufwata vinywaji, wakati huo huo macho ya mzee Mashaka yaliona mrembo mwingine akiingia eneo lile nakumsimamisha yule mhudumu, japo hakumwona usoni lakini umbo lamrembo huyu lilimkumbusha, mkewake alipokuwa bado binti kipindi hicho wanahuusiano mchanga, “leo nikujichagulia tu!” yule mrembo wapili aliongea maneno machache na mhudumu huyo, kisha wakahachana, mhudumu akapotea na yule mrembo wapili akatafuta meza moja yapembeni na kukaa, kisubiri alicho kiagiza, hapo mzee Mashaka akapata nafasi ya kuiona sura ya yule binti mrembo alieingia mala yapili, macho yakamtoka kama amefumaniwa na mfanyakazi wa ndani, nikweli yule binti alikuwa amefanana na mkewake, tena kwa kilakitu, “Sophia”

Alinong’ona mzee Mashaka akificha sura yake hisionekane mbele ya mwanae Sophia, dakika chache yule muhudumu alirudi akiwa na tray lenye bia mbili na chupa mbili za mvinyo mwekundu, mzee Mashaka kwa macho yakuibia akisaidiwa nagiza lililo tanda mida ile, alimshuhudia yule mhudumu akianzia kwa mwanae Sophia, aliweka mezani chupa moja ya bia na zile chupa mbili za mvinyo mwekundu, mzee Mashaka alishuhudia mwanae akiifungua ile bia nakuanza kuigugumia, mzee Mashaka akatazama kwenye meza ya mrembo wa kwanza, wakagongana macho yule mrembo akaachia zinga la tabasamu kisha akapunga mkono, tayari alikuwa amesha hudumiwa, napengine alishapewa ujumbe na mhudumu, akiwa anajiuliza afanye nini, akamwona yule binti akiinuka na kuchukuwa bia yake nakimkoba chake kisha akaelekea pale alipo kaa yeye, hapo mzee Mashaka akomba mwanae hasije kutazama nakumwona pale alipo yeye, japo watu walikuwa wachache, lakini giza aliamini litamsaidia, akamtazama mwanae ambae sasa alikuwa anaweka chini chupa ya bia ikiwa tupu, akasimama nakukusanya chupa zake za mvinyo, nakuondoka zake akionekana mwenye araka sana, hapo mzee Mashaka akapumua kidogo nakumta zama yule mrembo, ambae alikuwa amsha karibia kwenye meza yake, “hooo! karibu mrembo” aliongea mzee Mashaka akimtazama usoni yule binti, “asante shemeji” aliitikia yule binti akikaa, kitendo cha kuitwa shemeji kilimshangaza mzee Mashaka, “hoooo samahani, kwani tunafahamiana?” aliuliza mzee Mashaka akimtazama vizuri yule dada, nikweli sura yake siyo ngeni kwake, “vibaya hivyo shemeji, mimi ni rafiki yake Queen,” bado hilo jina likawa geni kwake

“Queen.. Queen.. Queen.. Queen?, yupi huyo mbona sinakumbukumbu ya mtu kama huyo,” hapo yule binti aka onekana kukumbuka jambo flani, “hooo, nimechanganya majina, jana wewe ulikuwa na nani hapa?” aliuliza yule binti na mzee Mashaka akarudiwa nakumbukumbu, “hoooo wajana hivi leo yupo wapi?” kumb basi saa limoja lililopita Subira aliingia hapa bar akiwa na mwenzie binti wa jana, ambae jina lake ni queen, japo nalo siyo jina lake alisi, waka kaa counter kama kawaida yao wakisubiri mawindo yao, leo mwenzo Kidawa hakuwepo, alikuwa na midi nmtu flani hukooo, waliendele kupata bia huku macho mlangoni, wakitazama aingiane na atokae, mala akaja mtu mmoja nikijana wawastani, akatupa ndowano yake kwa binti wa jana, wakakubaliana mambo matatu, kwanza malipo yakitu wanachokwenda kukifanya pili nja watakayo tumia, maana bado njia yarami ilikuwa imechafuka simba walikuwa wanafanya mazoezi, inabdi wapiti kwajirani yake, tatu yule kijana aliomba waame ile bar, maana mke wake uwa anapenda sana kupitia pale, kupata chakula wakati akitoka kazini, ndipo binti wajana alipo kusanya kilakilcho chakwake kisha huyoooo, akaondoka na yule kijana, akimwacha Subira anaendelea kuwinda, ndipo baadae akamwona mzee Mashaka anaingia, licha yakumtambua kuwa ni shemeji yake, akainuka kwenda kumtega, maana aliamini atakuwa na ugwadu sana, akizingatia jana Queen alimwambia alishindwa kuduu na mzee huyu

Ile kukaa pembeni nikwamba, alikuwa ana mpimia kama alikuja na mtu au vipi, “ametoka leo, alienda tabata kwa shangazi” Subira kisha kimyakika tawala kila mmoja akiwaza njia ya kumnasa mwenzake, huku Sophia alieekea kwenye gari lake nakuingia ndani kisha akajifungia, akaziweka zile chupa za wine nyekundu kwenye kiti cha abiria, kisha akaupekuwa mkoba wake na kuibuka na kichupa kidogo chenye maji maji meupe, akaingiza tena mkono kwenye mkoba wake nakuibuka na bomba la kuchomea sindano, likiwa nani ya kimfuko chake likionyesha alijatumika, akalifungua kisha akaichomeka sindano kwenye bomba, akachoma kwenye kifuniko cha ilechupa, akavuta yale maji kisha akachoma kwenye kifuniko cha chupa moja ya mvinyo, akarudia tena kwenye chupa ile yapili, alipo lizika akatupa yale mabomba ya sindano, kisha akawasha gari akuondoka zake

Suzan alikuwa amesimama kwenye dirisha la jikoni kwake akitazama nje, ni baada ya kumpigia simu rafiki yake Selina ambae yupo Songea kwenye tawi la benki ya wananchi linaloitwa mfaranyaki, alisha mweleza juu yakwenda kupokea mzigo stendi kwenye kampuni ya mabasi ya Ngoni Trans, alafu atamjulisha kwakupeleka, nusu saa baada kuongea na Selina, Selina alipiga simu kuwa amesha pata mzigo, akimlaumu sana kutuma fedha nyingi kiasikile kwenye bus, wakati benk hipo, Suzan alijitetea kuwa alifanya vile kwasababu kwanza kabisa wazee alio watumia mzigo hawakuwa na acoount benk, pili hile simu hisingeweza kutumwa benk, pia Suzan akamwambia kuwa atampigia ilikumpa maelekezo ya wapi mzigo uende, lengo likiwa ni kumsubiri Edgar ili aelekeze mwenyewe, ni kweli baada ya kukaa pale dirishani huku vitu flan viki mtekenya, maana tukio la jana usiku lilizidi kumfanya aamini kuwa hakuwai kupewa dudu toka amevunja ungo, akiwa pale dirishani mala akamwona Edgar anaingia kwenye geti na begi lake begani, aka tamani amwite lakini akawaiwa “heee anko unapotea, au ndo kubanwa na masomo” alikuwa ni dada mke wampangaji mwake, alimwona yule dada mwenye msepu wamaana tena malazote upenda kuvaa kanga nakufungia kifuani, “nikweli nipo busy sana vip bro yupo” Suzan aliyasikiliza mongezi yao , “mida yake saa nneeee, tena jana usiku alikuja kukutazama akasema hukuwepo, alitaka kuulizia kama ulikutana na mama mwenye nyumba” nikweli alikuwa na jukumu la kuulizia hivyo, maana yeye ndie alie mpokea Edgar na kumjulisha Suzan, nampokeaji kabisa alikuwa huyu dada, “kweli sijamjulisha mwambie nimesha onana nae”

Hapo Suzan akamwona Edgar akiachana na yule dada nakuufata mlango wake, huku yule dada akielekea kwenye chumba chake, Suzan baada yakuona yule dada amepotea, akatoka na haraka na kuelekea nje, ambako moja kwa moja aliufwata mlango wa chumba cha Edgar, akaingia ndani moja kwa moja lakini hapakuwa na mtu, zaidi alisikia sauti ya maji bafuni, akapiga atua za kunyatia kufwatamlango wa bafu ambo haukuwa na kifungio yani mlango wenyewe, alipo ufikia Suzan alimwona Edgar akiwa anaoga lakini kitu cha kilicho mvutia dudu yake ilikuwa imesimama barabara, unajuwa ilikuwaje, Edgar alipoingia chumbani akaweka begi kitandani akavua nguo zake kwalengo kuwa akaoge haraka, kisha aende kwa mama mwenye nyumba iliwatoke wakapate chakula chajioni, wakati naanza kuoga ndipo kumbu kumbu ya tukio lililotokea nyumbani kwaSophia likamjia kichwani akalinganisha na jinsi alivyofaidi jana usiku kitumbua cha mama mwenye nyumba, hapo akajikuta analiamsha dude, akatamani kutafua kitumbua bila maji, lakini wakati anaendelea kuoga akastuka nakutazama mlangoni, moyo wake uka stuka sana kiasi cha Suzan naye kujuwa kama Edgar alistuka sana, kwa uwepo wake wa kimya kimya, “pole mume wangu, nimekustua sana?” aliongea Suzan kwasauti ya polepole, huku akiachia tabasamu moja la usiku wa manane, kisha akaanza kuvua gauni lake na kubaki uchi kabisa, Edgar alibaki ameduwaa, akamwona Suzan akimsogelea pale alipo simama huku maji yakimmwagikia, akamsogele kabisa nakugusana vifua, sasa wote maji yalikuwa yana wamwagikia, Suzan alipeleka mkono mmoja kwenye dudu ya Edgar iliyo simama vyema, nakuanza kuichezea huku akitazama chini kwa aibu yakike flani, Edgar alisha msoma Suzan kuwa nimtu wa ambae hajabobea sana kwenye huu mchezo, maana ametawaliwa na aibu sana, japo alijitaidi kumzowea yeye kwa haraka sana, hapo Edgar alimkamata kichwa kwmikono miwili nakuuinua uso wa Suzan kumtazama yeye, kisha akamsogezea mdomo Suzan akafumba macho hukua akilegeza midomo yake, Edgar nae akafumbamacho huku kiikutanisha midomo yake na yaSuzan, tayalikwa kulana denda,

Baada ya kuachana na Edgar Nancy na Joyce walielekea moja kwamoja waliko panga, njiani kila mmoja alikuwa akiwaza lakwake, tukinza na Nancy yeye aliwaza juu ya Edgar anamchukuliaje, baada ya tukio lasikuile pale bar alipo mwambia hamjuwi mbele ya mpenzi wake Elisha, maana licha yakuongea nae vizuri nakucheka nae pia alidiliki ata kumnunulia chakula cha ghalama sana, lakini hakuonyesha dalili ya kumtaka kimapenzi, pia akapata wazo lakuwa baadae amfwate mpenzi wake Elisha, maana Edgar alisema leo hasinge weza kuwanao usiku hule, kwa upande wa Joyce alishajuwa sababu ya Edgar kutokuwa nao usiku hule ni kwakuwa atakuwa na yule dada mwenye Toyota lav 4, na alisha waikumona nae pale bar jumapili mchana, hivyo akaona bola akaoge kisha achukuwe buku mbili, kati ya akiba yake ya elfu 30, aliyo nayo akakae bale bar kujaribu kama atamwona Edgar, je akimwona atafanya nini?

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)