MAMA MWENYE NYUMBA (23)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU ILIPOISHIA... Haikumshangaza Edgar maana ile simu, alipewa na baba yake wakati anaondoka Songea kuja dar es salaam , ilinunuliwa kwa mtu kwakutumia zile fedha za mkopo wa Tsh laki nane , waliowekea bondi shamba lao, hivyo hii namba wengi hawakuwanayo SASA ENDELEA... “Mimi Edgar, habari za huko shemeji” alijitambulisha Edgar, “hoo shem safi bwana, sasa nipo kwenye kikao kidogo, nitakupigia baadae” aliongea shemeji kisha Edgar akasikia batan zasimu zikitoamilio, ikiashilia inabonyezwa bonyezwa alafu ikatulia ukubado anasikia sauti za kelele zikiendelea, akajaribu kuita japo amwachie ujumbe haraka, lakini hakuna jibu, zaidi kwambali akasiki yamwana mke, nani huyo mpenzi unaemdanganya” mwanzo Edgar alizani kuwa ni dada yake, “ndio maana hakuisikia simu yangu” lakini wazohilo halikuwa sahii, aligunduwa hilo baada ya kusikia jibu la shemeji yake, “shemeji yangu mmoja hivi, yupo chuo, niomba omba mpaka inakela,” sauti ya shem…