
SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE
Hivyo akaingia kwenye ofisi ya manage, ambae anamfahamu vizuri sana Sophia kwanza baba yake ni maalufu sana na nimteja wao mkubwa kwenye tawi hili, pia Sophia ni rafiki mkubwa sana wa Suzan ambapo uja mala kwa mala kumtembeleaSASA ENDELEA...
Sophia alikutana na manage na kutoa taifa ya kuumwa kwa Suzan, na kwamba ata leo asingeweza kuja kazini, Sophia alimwacha manage akifanya utaratibu w kupiga simu kwa Suzan ili amjulie hali mfanya kazi wake huyo mwadilifu
Pole sana Suzan, tumepokea taarifa yako toka kwa rafiki yako Sophia kuwa bado unamwa sana, vipi unaendeleaje na homa?” aliongea boss wa Suzan kwa auti nzito ya utulivu, huku Suzan mwenyewe akishusha pumzi ya auweni, “bado najisikia homa nime sha pata dawa naendelea kunywa” alionge Suzan kwa sauti ya utulivu kama mgonjwa kweli, “ok! we endelea kupumzika, jitahidi kutujulsha hali yako mal kwamala” alimalizia boss kisha wakagana na kukata simu, hapo Suzan aka tabasamu huku anamwangalia Edgar ambae bado alikuwa hajitambui kabisa kwa usingizi, akaitazama ya Edgar akakumbuka maneno makali ya dada yake Edgar, akamtazama tena mpenzi wake usoni, akavuta picha ya maisha yao huko nyumbani kwao Songea
“Mh hivi mbona hawa wifi zangu wanaonekana wana loho za hajabu” kiukweli ilikuwa lazima shangae sana, maana kwao yeye na ndugu zake walionyesha kujaliana sana, kaka zake ni walimu wa shule za sekondari, palepale Iringa, wote usaidiana wanapo kwama pia uwasaidia wazazi wao, kwa kila kitu, licha ya kuwajengea nyumba nzuri na kuwawekea kila kitu ndani pia waliwasaidia kwa kilimo, sasa alishangaa mtu anapig simu tena bila ata salamu anapolomosha matusi, akajikuta anamwonea huruma mpenzi wake kwa manyanyaso ya dada zake, akamtazama usoni mpenzi wake kwa dakika kadhaa, huku anapitisha kidole chake kwenye nyusi za mpenzi wake huyu, akamfunua shuka akakuta amelala na suluali aka jitazama na yeye alilala na gauni, hapo akakumbuka jambo aka
“Hivi Sophia aliondoka sangapi?” aliwaza Suzan “mh ina maana jana tulilewa sana?” kiukweli kumbukumbu ya matukio ya jana ilikuwa fupi kwake, asa mala baada ya kuanza kunywa mvinyo alioletewa na Sophia, hakukumbuka ata alivyoingia chumbani na kulala, kiukweli ilimshangaza sana sababu mvinyo ule uwa anaunywa mala nyingi sana lakini haumchukui kiasi cha kuto kujitambua, “ok siku azifanani” alipotezea Suzan huku akiinuka nakuingia bafuni kukojoa, nakupiga mswaki kisha akanza kuoga, wakati anaanza kuoga akahisi mikono ina mgusa tokea nyuma, akageuka “hooo, Eddy umeamka” alikuwa Edgar nayeye alisha vua nguo zote, “daa! sijuwi kwanini nimelala hivi alafu kichwa kina niuma sana”aliongea Edgar kwasauti ya kukwaluza flani, wakiungana kuoga kwapamoja, baada ya Edgar kupiga mswaki na kukojoa
“Mh! kumbe atawewe, mimi nilizani peke yangu” walioga kwapamoja kwaki suguana sehemu mbali mbali zamiili huku wakipakana sabuni nakumwagiana maji, Suzan alipaka sabuni dodoki na kuana kimsafisha mpenzi wake kwenye muhogo, aikukuchukuwa sekunde nyingi alishuhudia dudu limeamka akamtazama Edgar usoni, “inataka cha asubuhi” aliongea Sazan akiendelea kuichezea dudu na lile dodoki, kabla aja liweka pembeni na kuimwagia maji dudu kisha akamsogelea zaidi mpenzi wake, akanyanyua mguu mmoja edgar akaudaka, hapo Suzan huku akijishikilia kwenye mabega ya Edgar namkono mmoja, mkono mwingine hukiikamata dudu nakuilengesha kwenye kitumbua chake, kisha kuizamisha ndani, kitendo kilicho wafanya wote wasisi mkwe na mwili “hooo! cha asubuhi kinanoga” alinong’ona Suzan akisogeza midomo yake kwenye midomo ya Edgar, nakuamza kulana denda huku dudu ikiwandani ikisaidiwa na viuno wima vya wapenzi awa, “husiniache Edgar mume wangu, mwenzio sijaona kama wewe” ilikuwa vigumu kwa midomo ya Suzan kufunga, ikianzia miguno ya utamu na maneno mengi yenye maombi na ahadi, waliendelea kufanya yao na hakuna mu alie sikia mlio wa simu zote mbili ya Edgar wala ya Suzan mwenyewe
Mzee Mashaka aliamka mapema kidogo akajiweka sawa tayari kwenda kwenye miangaiko yake akipanga ampitie kwa Suzan akajuwe hali yake, alipo toka tu nyumbani kwake mbezi msakuzi akaanza kupiga simu kwa suzan ilikumjulisha kuwa anaenda, lakini haikupokelewa, licha ya kurudia zaidi ya ala tano lakini wapi, ikabidi aingie kwanza kwenye bar moja iliapate supu huku akiendelea kumtafuta Suzan aliofia wasije kupisha, pengine akaenda kazini au hospital, akaingi kwenye bar ndogo pembeni ya barabara iendayo kwao msakuzi, akaagiza supu ya kuku na soda ya baridi, wakati anaendelea kuifakamia ndipo akasikia simu yake inaita, alipo itazama alikuwa ni Suzan
Maana bada ya kumaliza walichokuwa wana kifanya kule bafuni Suzan na Edgar walitoka bafuni nakujiandaa wakipanga waende wote wakapate supu kisha warudi kupumzika, maana Edgar alikuwa anajisikia kichwa kizito sana, lakini wakati wanatoka wakiwa nadani ya Toyota lav 4, ndipo walipo tazama simu zao, zote zilikuwa na missed call ya Edgar ilikuwa na messeji pia, akaifungua ile messeji, ilikuwa inatoka kwa dada yake mkubwa, “una jifanya jeuri siyo?” mwanzo Edgar alihisi ni kwakuto kupokea simu, lakini alipoisoma zaidi, akagunduwa kuwa shemeji yake ameongea uongo kwa dada yake, kuwa ametumia fedha, edgar aakacheka pekeyake, “unacheka nini ebu na mimi nisome” alinyang’anya simu Suzan anakuisoma ile sms, “mh huyu dada yako kiboko, nimekutana na matui leo sinilipoke simu yako” wote wakacheka uku wakielezana jinsi shemeji yake alivyo mpiga dada mtu changa lamacho, wakajadiliana kwamuda mfupi hawakupata jibu shemeji alikuwa na maana gani, Suzan akamwomba Edgar akae kimya anataka kuongea na boss wake, kisha akapiga simu kwa mzee Mashaka
Huku Songea nako baba na mama Edgar nao mida hii walikuwa njiani kueleka mjini wakalipe pesa za watu, kwanza kabisa walishuka kituo cha dala dala cha soko kuu, wakiwa na mafurushi mawili yaliyo jaa matunda ya aina mbali mbali, wakabeba kila mmoja lakwake na kuelekea kwenye jingo la benk ya wananchi lililopo atua chache toka pale kituoni, walisimama nje ya jingo hilo ambalo pilika za watu zilikua nyingi sana kutokana na eneo hilo kupakana na soko kuu, mzee Haule akatowa simu yakekisha aka saidiana na mke wake kuitafuta namba ya Selina, walipo ipata wakaipiga, wakimweleza waponje wame mletea mizigo yake, dakika chache baadae Selina alitoka na kusalimiana na wazee awa ambao aliona ni watu wema kwake huku wakitawaliwa na ucheshi na ukarimu mda wote, hawakukaa sana akapokea mizigo yake na kuiweka kwenye gari lake, kisha wakaagana akiaidi kuwatembelea mala kwamala, pia akapanga kumpigia Suzan kumweleza juu ya ujio wa wakwe zake kama alivyo mtambulisha, pia alipanga kuweleza baadhi ya vitu ambavyo alipanga kumweleza toka jana
Chuoni nako Joyce alihisi kukosa kitu flani maana toka asubuhi aingie hapa chuoni hakumwona Edgar mpaka wanaingia darasani hakwa ame wmona, alitamani amwulize Nancy lakini akakumbuka maneno yake ya jana usiku, akabaki ametulia akitazama nje kupitia dilishani pengine angemwona kijana huyu ambae alishaanza kuutea moyo wake, ilikuwa inaelekea saanne ndipo alipo mwona Edgar akiingia maeneo ya chuo, lakini hakuwa na mkoba wake wa daftari zaidi alishika chupa ya maji mkononi, hapo hapo kwa haraka sana akaomba luksa ya kwenda kujisaidia ili amwai Edgar japo akamsalimie
Kumbe basi baada ya Suzan kuongea na mzee Mashaka huku Edgar akijuwa anaongea na boss wake, Suzan akamwambia Edgar kwamba wakisha maliza kupata supu yeye aende kwanza chuo, maana nyumbani kuna wageni toka kazini pamoja na boss wake wanamtembelea, kisha atampigia simu wakiondoka hili wake wapumzike, ndiyo maana baada ya kupata supu kwa pamoja mwisho wake Suzan akarudi nyumbani kuwai kuweka mazingila vizuri, huku Edgar akielekea chuoni huku kichwa chake kikianza kutulia lakini aliitaji kupumzika, lakini hakujuwa atapata wapi sehemu ambayo anaweza kujipumzisha kwa muda, akaelekea upande wenye maduka akaenda moja kwamoja kwenye viti vilivyopo nje ya saloon ya kina Elisha na kukaa, kiukweli asingeweza kuingia darasani , ukia kiachilia uchovu pia hakuwa na kituchochote cha kumsaidia kusoma, wakati ame tulia pale kwenye viti nje ya saloon, ndipo alipomwona Joyce akimjia kwa speed, huku uso wake ume tawaliwa na tabasamu mwanana
“Mambo Eddy leo umechelewa” alisalimia Joyce mala tu! alipo mfikia Edgar, “daa! yani leo nimepitiwa nausingizi mpaka najishangaa,” alijibu Edgar akionyesha kuwa hakuwa sawa, “vipi Eddy, mbona kama umechoka choka, ulikuwa una fanya nini/” aliuliza Joyce akikaa kwenye kiti pembeni ya Edgar, “daaa yani hapa natamani kulala, ningepata sehemu ninge pumzika kidogo” aliongea Edgar akionyesha kweli kuitaji kupumzika, hapo Joyce alitazama kushoto na kulia kisha akamtazama Edgar, ambae likuwa ameinamia chini akijiegemeza kichwa chake kwenye mikono yake juu ya mapaja yake, kisha akamnon’goneza “mimi chumba changu nakaa peke yangu” hapo Edgar akainua kichwa akamtazama Joyce, huku akichambua wazo la kwenda kupumzika kwa Joyce
“Ningepajuwa ungenipa funguo nika pumzike” aliongea Edgar huku akiinamisha tena kichwa chake, “kwani si nitakupeleka” kiukweli Edgar pasipo kujuwa kuwa mwenzie Joyce anatamani japo apate nafasi ya kuwa nae chumbani, aliona hii ndio nafasi ya yeye kijipumzisha, “ok! poa twende zetu” alisema Edgar na wote wakainuka nakuanza kuonozana kuelekea kwenye nyumba waliyopanga wakina Joyce, wakigawana vyumba na kina Nancy wenzao, njiani Joyce alijisikia kuwa mwenye bahhati kwa siku hiyo, kumbe hakuwajuwa kama kuna mtu anawafwata, kwa nyuma ambae alikuwa Masoud Kasanzu, ambae alianza kumfwatilia Joyce toka anatoka darasani, nia ikiwa ni kwenda kumwomba msamaa, lakini alistuka baada ya kumwona ana mfwata Edgar, na kunza kuongea atimae akawaona wana elekea sehemu ambayo aliitambua maana ata yeye alishawai kwenda kule na kutafuta kitumbua cha Joyce,
Masoud alihisi hii safari ya Joyce nan a yule mwanafunzi mgeni ni nyumbani kwa Joyce, swali je wanaenda kufanya nini?, akazidi kua fwatilia huku akiwaona wana wanaongea hukuwakicheka , asa Joyce alie onekana akicheka kiaibu ahibu tana mala kwa mala, wakiwa hawajuwi ili wala lile Yoyce na Edgar walitembea wakiongea kwakujiachia, dakika chache walikuwa wameshafika kwanza Edgar alisimama mlangoni akimwacha Joyce akiingia chumbani lakini akagunduwa kuwa Edgar amesimama mlangoni, “mbona uingiindani sasa” auliuliza Joyce akimtazama Edgar kwa macho ya aibu “huko ndani akuna vitu vilivyo kaa vibaya?”
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

USIKOSE SEHEMU YA ISHIRINI NA TISA
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com