
SEHEMU YA ISHIRINI NA TISA
Dakika chache walikuwa wameshafika kwanza Edgar alisimama mlangoni akimwacha Joyce akiingia chumbani lakini akagunduwa kuwa Edgar amesimama mlangoni, “mbona uingiindani sasa” auliuliza Joyce akimtazama Edgar kwa macho ya aibu “huko ndani akuna vitu vilivyo kaa vibaya?”SASA ENDELEA...
Aliuliza Edgar na wote wakacheka kidogo, maana ata Joyce alijuwa alicho maanisha Edgar
“Ingia bwana mpaka watu wakuone” alisema Joyce akirudi na kumshika mkono Edgar na kumvutia ndani, kilikuwa chumba cha kike, kilicho pambwa kikike, pia macho ya Edgar ilikutana na vinguo vya ndani vya Joyce vikiwa vime tundikwa kwenye sehemu ya kutundikia nguo, “karibu kaa hapo mbona umesimama, mda wote una shangaa tu!” aliongea Joyce akijichekesha kwa aibu, akimwonyesha Edgar akae kitandani, “ vipi Joyce ulisha kula” hapo Joyce alikataa kwa kichwa, kwamba hajala, “ok! we nenda chuoni pia ukale, lakini lakini husi sahau kuja kuni amsha mchana nisije kupitiliza,”aliongea Edgar akimkabidhi Joyce elfu kumi ya noti, “sawa lakini naenda kula tu, nakuja sasa hivi nikuletee nini” aliongea Joyce akijiandaa kutoka nje, “chochote tu!” aliongea Edgar akiongoa ngoma juani, ili Joyce aondoke iliyeye apumzike, Joyce aliondoka na kufunga mlango kwa nje, sijuwi alikuwa na maana gani
Dakika chach baada ya kumaliza kupanga vitu yanke nakufanya usafi ndani kwake, akaenda kuoga kisha akajilaza akijifunika gubi gubi, aikichukuwa ata dakika kumi mzee Mashaka aliingian Nyumbani kwa Suzan akiwa na shehena ya mazaga zaga mbali mbali, alimkuta Suzan akiwa amelala, akamstua lakini halikuwa amelala, Suzan akajifanya amelala fofofo, kumbe alikuwa anamsikia sana mzee Mashaka, lakini aliuchuna makusudi adi alipo mwita mala tatu huku ana mtikisa taratibu, ndipo Suzan alipo jifanya kuamka, “hoo umeshakuja baba, za toka jana?” walisalimiana nakutakiana pole kisha wakaanza kupiga story
Wakati huo Sophia alikuwa anatoka kazini kwake kuelekea nyumbani ambako alipanga apumzike kidogo kisha aende kumwona Suzan ambae aliamini kuwa mpaka sasa atakuwa bado amelala, ilikuwa ni baada ya Sophia kufika kazini kwake na kumba luksa akidai bado hajapona vizuri
Selina alivutiwa sana na ucheshi wa wakwe zake Suzan kama alivyo fahamu, kiukweli hakulizika na madhingila aliyo yakuta kwa wazee wale wenye loho nzuri na moyo wa upendo, akiwa anawaza hayo alichukuwa simu yake nakumpigia Suzan
Wakati huo Suzan alikuwa amekaa kwenye kitanda jilani na mzee Mashaka, ndipo wote wawili walipo sikia simu ikiita, mzee Mashaka akaihukua simu toka kwenye meza na kumpatia Suzan, Suzan akaitazama simu yake ‘Selina’ kiukweli akahisi mambo yanaweza kuaribika, maana alijuwa kabisa kuwa Selina hakuwa na habari nyingine, zaidi ya wazee wa Edgar, akaipokea huku mapigo yake moyo yakienda mbio, “hallow Selina za huko,” hapo mzee Mashaka alimwona Suzan akiwa kimya akisikiliza simu hile, huku mala chache akiitikia na kuchangi, “ok!.. sawasawa.... nitajitaidi.. nikweli kabisa ... ok! sawa nikiwa tayari nitakujulisha.. asante sana best” alimaliza Suzan na kukata simu, “Selina ni yupi huyo, maana naona kama alikuwa anakupa taarifa muhimu sana?”aliuliza mzee Mashaka huku akiichukuwa simu toka kwa Suzan na kuirudisha mezani
“Huyu ni mwetu tulisoma nae chuo, kwa sasa yupo mkoani Ruvuma” hapo akaanza kuongopa Suzan, kuwa Selina alikuwa amempa taarifa ya baba yae mdogo ambae anaishi huko Songea, sasa nyumba yake ime bomoka na anaitaji msaada wa haraka sana, “namimi kwa sasa ndo sina pesa sijuwi itakuwaje,” alimalizia Suza akijifanya kuwa anamasikitiko makubwa juu ya hilo, “ok! usijari mama ngoja nifanye mahalifa tujuwe inakuwaje, nitakupigia simu baadae kukujulisha tuna fanyaje,” aliongea mzee Mashaka nakumfanya Suzan atabasamu kwa fulaha, “asante kwakuni jari mpenzi,” nikweli lazima aseme asante maana yeye ndie anaye mwezesha kumpatia fulaha yeye na mpenzi wake Edgar, kimoyo moyo Suzan aliwaza, “sina budi kufanya hivi, najuwa una nijari, lakini mwenzio ana nifanya nione thamani ya kuwa mwanamke”
Wakati huo huo simu ya Suzan ikaita tena mzee Mashaka akainchukua toka kwenye meza lakini safari hii aka itazama mpigaji, ‘Sophia’ “mh! anataka nini huyu mtoto” aliuliza mzee Mashaka akimkabidhi simu, Suzan, “hallow Sophi, niambie best” aliongea Suzan huku mze Mashaka akifwatilia kwa umakini kabisa maongezi ya Suzan na mwanae, “ndiyo hee! kwanza nashukuru kwakupitia kazini kwangu,....he! atamwenyewe nilishangaa,... kumbe ata wewe... ok! poa mimi nipo utanikuta” hapo Suzan alimaliza maongezi na kumgeukia mzee Mashaka “Sophia yupo njiani ana kuja kunitazama” kusikia hivyo nikama kitand a kilikuwa na upupu, mzee huyo alinyanyuka upesi na kuaga, akisisitiza kuwa atampigia baadae iliwajuwe wanafanyaje juu ya fedha ya kukalabati nyumba ya baba mdogo, kisha akaondioka zake
Dada yake Edgar mida hii alikuwa amefika nyumbani kwa wazazi wake, akakuta mlango umefungwa ikionyesha apakuwa na watu akausukuma mlango maana kutokana na ubovu wake aukuwa na uwezo wa kumzuwia mtu kuingia ndani, mle ndani dada yake Edgar aliingia stoo nakuanza kupekua pekua, akikusanya kila alicho kiona kina mfaa kwa matumizi ya nyumbani kwake, kuanzia mahindi mahalage ufuta kunde n.k, akafungasha vizuri kisha akaanza kutoka, lakini alipofika sebuleni alikuta box la simu akalitazama vizuri akaona nisimu ambazo uwa anawaonanazo watu wenye fedha zao “wataweuka hawa wazee, wameanza kuokota mabox ya simu sikuhizi” alijisemea huku akiondoka zake, nje alikodi boda boda nauanza safari ya kurudi kwake
Masoud baada ya kusikia maongezi ya Edgar na Joyce, pia kumwona Joyce akitoka chumbani akajuwa kuwa hakukuwa na jambo lolote linaloendelea kwa wawili hawa, zaidi ya urafiki wa kawaidatu! hivyo akashikanjia yake na kuondoka akipanga baadae kumtafuta Joyce ana kuongea nae, kiuweli ni kama alivyo sema Joyce baada ya kumaliza alinunua maji ya baridi na kurudi nyumbani aliko mwacha Edgar, alifika nakufungua mlango nakuingia ndani, ambako alimkuta Edgar amelala fofofo utazani usiku wa manane, akaanza kujifanyisha shuguli za ovyo ovyo ili kumwamsha Edgar, lakini wapi kijana alisha pitiwa na usingizi, hapo Joyce sijuwi aliwaza nini, maana alivua nguo zote n kujifunga kanga kisha akafunga mlango alafu akapanda kitandani na kujilaza pembeni ya Edgar,
Joyce pale kitandani siyo kwamba alikuwa na usingizi, aliamua tu kujilaza tena kiasara, kwaakili yake akidai anampa kampan mgeni wake, lakini haikumchukuwa dakika ata kumi aakapitiw na usingizi
Sophia alisha punguza wasiwasi juu ya alicho kifanya jana, maana alikuwa na wasi wasi pengine mchezo wake uligundulika kwa Suzan, lakini baada ya kuwasiliana naye akagunduwa kuwa Suzan haja stukia kitu, mida hii alikuwa anakata kona kuingia kibamba, akasimama kwenye ile bar kubwa nakushuka kidogo akaenda kununua ssoda ya baridi kwaajili ya kupunguza lock ambayo bado ilikuwa ina msumbua, aliponunua soda yake ya take away, akaanza kurudi nayo kweny gari lake, lakini kabla haja lifikia gari lake aliona gari la baba yake linakatiza, likitokea upande anao elekea yeye, akazai amelifananisha, akasoma namba za gari, akaona nilenyewe kabisa “mh! anatoka wapi saaizi huyu, au kwa Malaya wake,” aliwazaa Sophia kiukweli akuipenda tabia ya baba yake yakumnyanyasa mama yake kwa kutembea nje yandoa, akaingia kwenye gari lake na kuondoka zake kuelekea kwa Suzan
Huku Songea nako mzee haule na mkewake mama Edgar walizpo maliza kulipa deni la shamba, wakaondoka zao nakuanza kuzunguka madukani, ila basi licha ya kufulahi kutokan na kutumiwa fedha nyingi kiasi kile na kijana wao , lakini wazee awa kila mmoja alikuwa na swali lake moyoni, “Edgar hizi fedha amezitoa wapi?” pia hawakuelewa vizuri kauri ya Selina kuwa anawaita wakwe, ikabaki wakikaa kimya huku kila mmoja akiwaza moyoni mwake, mida ya saa sita mchana ndicho kipindi ambacho walikuwa wana ruudi nyumbani
Ok kuna kitu msomaji uja kifahamu ebe ni kudokeze ili twende sambamba, kipindi kile mzee Haule ana tafuta fedha kwaajili ya kumpeleka Edgar chuoni dar es salaam, alipata mkopo, uo mkopo ni wa laki nane kwa mwaka mmoja, kama angeshindwa basi mashamba yake kama ekali kumi hivi yange taifishwa, kitu ambacho uwezi amini shemeji yake yake, Edgar ambae amemuoa dada mkubwa wa Edgar ndie alie tangulia na kutoa mchongo huo wa wakopeshaji wakijuwa kuwa, atoweza kulipa nahivyo mashamba wamge gawana na pangine kuya uza kwa zaidi ya Tsh million zaidi ya nne, sasa leo shemeji huyu, akiwa ame tulia sebuleni kwake, akisubiri chakula ni baada ya mkewake kurudi toka luhuwila seko, alikoenda kukusanya chakula kwa wazazi wake
Mala akasikia simu yake ikiita, kwanza moyo wake ulilipuka akazani ni wale wanawake walio msaidia kutumia fedha za vikoba za mkewake, lakini alipo tazama mpigaji, alikuwa ni mzee Kalolo, huyu nimtu anaye fahamiana naye sana, licha ya kutoka mkoa mmoja wa Rukwa, pia ndie mtu alie saidia kuwa kopesha wazazi wa Edgar fedha “hallow Kazole, unajuwa msini fanye mimi mjinga” shemeji ambae leo tuna fahamu jina lake kuwa Kazole, alikutana na sauti ya kufoka ya mzee Kalolo, “moja kwa moja akili ika mrudisha kwenye deni ambalo alijatimiza ata mwezi, “kwani vipi mzee wangu, atasalamu hakuna” aliongea Kazole huku akimtazama mkewake ambae alikuwa busy akiandaa chakula, “salamu? yani salamu umeona ni inshu sana, kuliko fedha yangu uliyo nishawishi niwape wakwe zako,? hapo kidogo bwana Kazole au shemeji, aka duwaa
“Jamani si mpaka mwaka upite ndio una jichuulia chako, au maelewano yalikuwaje” aliongea Kazole kwa sauti ya msisitizo akiwa ana uakika na anachoongea, “ujuwi unacho kionge, mchongo ulikuwa ni kujipatia mashamba baada yamwaka, sasa leo ata mwezi bado, mkweo amelipa deni lote, kama lilivyo, kumbe ulini danganya bola ataungeniambia ukweli ninge weka riba” “hacha masihara mzee Kalolo,” aliongea shemeji uku akiwa ameduwaa kiasi cha mkewake kuona kitendo kile, dada yak e Edgar alistuka sana alipo mwona mume wake anashusha simu kiunyonge toka sikioni, “kuna nini, tena mume wangu?” aliuliza akimsogelea mumewake, “ni mambo tu ya kibiashara, ngoja kwanza nitaujuwa ukweli” aliongea bwana Kazoleakijiweka sawa juu ya kochi, “awa masikini wametoa wapi lakin nane mapema hivi, au mzee Kalolo anataka kunipiga changa”
Mama Sophia mida hii alikuwa anatoka kwake kuelekea mbezi kisha aende kibamba, maana siyo siri, aliona kabisa anaitaji dudu ya Edgar kuliko kitu kingine kwa siku hiyo, kiukweli alipanga kwenda kutega sehemu amsubiri Edgar mpaka amnase, maana ramani ya kibamba haimpigi chenga kabisa, ata chuo anacho soma Edgar anakijuwa kilipo ata nyumba ya Suzan pia anaijuwa ilipo, ivyo alikuwa na uakika wakutega mtego wake na kumnasa Edgar aka mkune, kiukweli leo mama huyu alijipamba akapambika, kila alie mwona alikubari kuwa mmama anazeeka na utamu wake, nusasaa baadae aalikuwa amesha kamata bara bara kuu ya morogoro, nakuelekea kibamba
Edgar akiwa ndo kwanza anastuka tka usingizini, akashangaa kama kuna mtu amewekea mguu tumboni kwake, aka utoa ule mguu na kumtazama alie mwekea, alikuwa ni mwenyeji wake Joyce, ambae alikuwa amesha pitiwa na usingizi huku atakile kikanga alicho jifunga kikishindwa kubaki mwilini na kujikuta kikiwa kime jiondoa kabisa na kumwacha mtupu nusu nzima ya mwili, Edgar akashangaa, “hivi huyu ana akili timamu, sasa ndo nini hivi” aliwaza Edgar huku ana jiinua toka kitandani, “mh umesha amka?” ilikuwa sauti ya Joyce ambae nae aliamka nakukaa huku akijifunga vizuri nguo yake, “yaa nimelala sana, vipi hukwenda tena chuo” aliongea Edgar akiinuka nausimama akijiandaa kuondoka maana alishahisi kuingia majaribuni, kweli Joyce ni binti mrembo tena mzuri sana mwenye umbo lakuvutia, “sijaenda, nilijisikia usingizi,” aliongea Joyce akisimama nakuifunga nguo yake vizuri, sasa wakati anaifunga ndipo aliruhusu bahadhi ya sehemu flani flani kuonekana, asa sehemu za mapaja yake mororo
Hapo dudu ya Edgar ika stuka kidogo, kiukweli Edgar akaona anaweza kuzama kwenye majaribu mazima, akajiweka sawa na kuanza kuvaa viatu, “vipi Edgar una takakuondoka?” aliuliza Joyce huku akikaa kitandani karibu na Edgar a,bae alikuwa anavaa viatu, “ndio naona kwa sasa nipo sawa” alisema Edgar huku akiitazama simu yake ambayo ilitoa mlio wa kuonyesha kuwa kuna sms imeingia, akaichukua na kuifungua, ianatoka kwa Sophia, “asante kwa jana, nime enjoy sana” kwakweli Edgar hakuelewa maana ya ile sms, maana kama mchana hawakufanya lolote sasa iweje aseme ame enjoy, akarudisha jibu, “kivipi, mbona sikuelewi?” hapo majibizano yakaanza “ina maana hukumbuki usiku ulivyo nifanya, ila hongera sana umejaliwa mashine yanguvu” “yaani unamaana jana usiku tulifanya mapenzi?” “usinitanie baba, inamaana mechi yote ile ulikuwa hujitambui?” “sikutanii, kama tulifanya na Suzan alikuwa wapi?”
Hapo walichaati kwa mda mrefu mwisho Sophia akaomba game ya marudiano, akiahidi zawadi nono kwa Edgar ambayo hakuitaja jina, hapo hapakuwa najibu toka kwa Edgar, “Joyce muda wote alikuwa anafwatilia ile charting ya Edgar, alibahatika kuona sms chache, “mh Eddy mpaka anakusifia hivyo, ulimfanyaje kwanza?” aliuliza Joyce aki mshika Edgar kichwani, “sijuwi nikujibuje, maana siwezi kuelezea, labda...” hapo Edgar alishindwa kumalizia, “labada nini... aua unataka kujaribu siumechoka sana” aliongea Joyce akipeleka mkono kwenye dudu ya Edgar, akakuta ime simama, “he! yani kuchat tu! imekuwa hivyo?”alistuka Joyce, huku akiutoa mkono wake kwenye dudu ya Edgar
“Hapana imesimama kwaajili yako” alisma Edgar huku akianza uchokozi kwa kupeleka mkono wake kiunoni kwa Joyce, ambae alitulia pasipo kipingamizi chochote, “mh! muongo, kwani mimi nimefanya nini?” alisema Joyce ambae bado alikuwa jilani na Edgar, “si unaona jinsi ulivyo na ulivyo vaa” hapo Joyce akapanda kitandani akalala chali na kutanua miguu akiikunja, huku kanga yake iki funuka kidogo sehemu ya mapaja ambapo aliongeza kwa kuziba na mkono wake “haya sasa njoo” alisema Joyce kwasauti ya chini iliyo jawa na kaaibu flani, Edgar alibaki amemshangaa binti huyu kama hajasikia alicho ambiwa, “njoo basi au utaki”
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

USIKOSE SEHEMU YA THELATHINI
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com