MAMA MWENYE NYUMBA (28)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE ILIPOISHIA... Hivyo akaingia kwenye ofisi ya manage, ambae anamfahamu vizuri sana Sophia kwanza baba yake ni maalufu sana na nimteja wao mkubwa kwenye tawi hili, pia Sophia ni rafiki mkubwa sana wa Suzan ambapo uja mala kwa mala kumtembelea SASA ENDELEA... Sophia alikutana na manage na kutoa taifa ya kuumwa kwa Suzan, na kwamba ata leo asingeweza kuja kazini, Sophia alimwacha manage akifanya utaratibu w kupiga simu kwa Suzan ili amjulie hali mfanya kazi wake huyo mwadilifu Pole sana Suzan, tumepokea taarifa yako toka kwa rafiki yako Sophia kuwa bado unamwa sana, vipi unaendeleaje na homa?” aliongea boss wa Suzan kwa auti nzito ya utulivu, huku Suzan mwenyewe akishusha pumzi ya auweni, “bado najisikia homa nime sha pata dawa naendelea kunywa” alionge Suzan kwa sauti ya utulivu kama mgonjwa kweli, “ok! we endelea kupumzika, jitahidi kutujulsha hali yako mal kwamala” alimalizia boss kisha wakagana na kukata simu, hapo Su…