MAMA MWENYE NYUMBA (29)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (29)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA ISHIRINI NA TISA ILIPOISHIA... Dakika chache walikuwa wameshafika kwanza Edgar alisimama mlangoni akimwacha Joyce akiingia chumbani lakini akagunduwa kuwa Edgar amesimama mlangoni, “mbona uingiindani sasa” auliuliza Joyce akimtazama Edgar kwa macho ya aibu “huko ndani akuna vitu vilivyo kaa vibaya?” SASA ENDELEA... Aliuliza Edgar na wote wakacheka kidogo, maana ata Joyce alijuwa alicho maanisha Edgar “Ingia bwana mpaka watu wakuone” alisema Joyce akirudi na kumshika mkono Edgar na kumvutia ndani, kilikuwa chumba cha kike, kilicho pambwa kikike, pia macho ya Edgar ilikutana na vinguo vya ndani vya Joyce vikiwa vime tundikwa kwenye sehemu ya kutundikia nguo, “karibu kaa hapo mbona umesimama, mda wote una shangaa tu!” aliongea Joyce akijichekesha kwa aibu, akimwonyesha Edgar akae kitandani, “ vipi Joyce ulisha kula” hapo Joyce alikataa kwa kichwa, kwamba hajala, “ok! we nenda chuoni pia ukale, lakini lakini husi sahau kuja kuni amsha mch…