MAMA MWENYE NYUMBA (40)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA AROBAINI ILIPOISHIA... Hapo kitendo bila kuchelewa, Sophia aliinuka na kuisogelea ile meza aliyo kuwepo binti wa jana, kisha haraka kama umeme, aliinua chupa ya bia iliyo kuwepo mezani na kumpiga nayo binti wa jana usoni, ika sikika sauti ya puuu! SASA ENDELEA... Chupa iki tawanyika vipande vipa na damu zika aanza kumwagika usoni kwa binti wajana, ambae aliachaia kilio chamaana, Sophia hakisubiri akashika njia yake na kuondoka zake, kuanzia mlio wa chupa na kelele za kilio cha binti wajana, zili mfikia mzee Mashaka ambae hakuwa amefika mbali ile kugeuka akamwona binti wajana akiinuka toka chini, mikono usoni huku analia, akuona kitu kingine zaidi ya watu waliokuwa wana sogelea pale alipo kuwepo binti wa jana, hapo mzee Mashaka akakumbuka uwepo wa begi lake la mamillloni pale mezani, akarudi haraka sana kulichukuwa, akimtazama binti wa jana ambae aliendelea kulia akivujwa na damu usoni Hapo kama hakuwa nae mzee Mashaka akajindoa tarati…