MAMA MWENYE NYUMBA (41)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA AROBAINI NA MOJA ILIPOISHIA... Baada ya kukaa sana pale bar Edgar ana Suzan wakainuka na kuelekea nyumbani kwao, safari hii gari aliendesha Edgar, awakuwa wamelewa sana SASA ENDELEA... Dakika chache walikuwa tayari wamejifungia chumbani kwao kama walivyo zaliwa, ndipo Suzan akakumbuka kuangalia simu yake, akakuta sms tatu, moja inatoka kwa Suzan, “ok nitakutafuta juma tatu, msalimie Edgar” yeye akajibu kwa kifupi, “poa” sms nyingine ilitoka kwa mzee Mashaka “mama umeiona hiyo fedha kidogo niliyo kutumia?” hapo Suzan akaifungua ile sms ya tatu ambayo alizan ndiyo ujumbe wa fedha aliyo sema mze Mashaka, nikweli ilikuwa n isms ya bank mobile, ikionyesha kwenye account yake kumetumwa million selathini, akamjibu araka sana mzee Mashaka, “nimeiona baba, nashukuru sana mpenzi wangu” Muda wote Edgar alikuwa anachezea simu yake, “Edgar samahani baba angu, kuna kitu naomba nikueleze, maana sita huru, kama huja juwa ukweli” alisema Suzan akijinu…