
SEHEMU YA AROBAINI NA MOJA
Baada ya kukaa sana pale bar Edgar ana Suzan wakainuka na kuelekea nyumbani kwao, safari hii gari aliendesha Edgar, awakuwa wamelewa sanaSASA ENDELEA...
Dakika chache walikuwa tayari wamejifungia chumbani kwao kama walivyo zaliwa, ndipo Suzan akakumbuka kuangalia simu yake, akakuta sms tatu, moja inatoka kwa Suzan, “ok nitakutafuta juma tatu, msalimie Edgar” yeye akajibu kwa kifupi, “poa” sms nyingine ilitoka kwa mzee Mashaka “mama umeiona hiyo fedha kidogo niliyo kutumia?” hapo Suzan akaifungua ile sms ya tatu ambayo alizan ndiyo ujumbe wa fedha aliyo sema mze Mashaka, nikweli ilikuwa n isms ya bank mobile, ikionyesha kwenye account yake kumetumwa million selathini, akamjibu araka sana mzee Mashaka, “nimeiona baba, nashukuru sana mpenzi wangu”
Muda wote Edgar alikuwa anachezea simu yake, “Edgar samahani baba angu, kuna kitu naomba nikueleze, maana sita huru, kama huja juwa ukweli” alisema Suzan akijinuka na kukaa akijiegemeza kwenye kingo ya kitanda, japo Edgar alistuka sana lakini akajikaza kiume, “niambie tu mama, wala usiwe na wasi wasi” japo jibu hilo lilikuwa jepesi lakini, aikuwa kazi lahisi, “naomba uni akikishie kuwa hauto kasirika wala kuni chukia, sababu ni mambo ya zamani” hapo Edgar akastuka kabisa nakuimtazama Suzan, “mbona kama una nitisha sana, ebu niambie, wala husiwe na wasi wasi”
Muda ulikuwa umesha tembea sana usiku wa leo, mama Sophi alikuwa ameshajilaza kitandani, ilisha timia saa tano usiku, ndipo aliposikia muungurumo wa gari la mume wake nje ya nyumba yao, “mh! mzimu unakuja” kiukweli mama Sophia alijikuta akimchukia sana mume wake, asa siku za hivi karibuni, ata yeye hakujuwa ni kwanini, japo alijitaidi sana kuto kumwonyesha mume wake kama ana mchukia, dakika chache baadae akamwona mume wake akiingia chumbani kwao, akionyesha amelewa sana, akajifanya amelala na kujifunika gubi gubi, kumbe alikuwa akimchungulia mume wake, ambae alimwona akiitazama simu yake ambayo ilionyesha kuwa inaingia sms, akamwona akiisomaile sms uku akitabasamu nakuonga maneno ambayo akuelewa anamaana gani, “kwisha habari yako, kinachofwata ni kukukarisha chini”
Mzee Mashaka akiwa anajuwa kuwa mke wake amesha lala, aliisoma sms ambayo alikuwa anaisubiri kwa muda mrefu sana toka kwa Suzan, nibaada ya kumtumia Fedha kiasi cha million selathini, na kujaribu kumpigia bila mafanikio, akamtumia sms kuulizia kama ameiona ile fedha, nayo ilikaasana bila jibu na sasa ndio jibu likaingia, akafarijika sana alipoona Suzan amejibu, tena akionyesha kama amesha aanza kulegea, ndipo alipo jiapiza kumkalisha chini, akiwa na maana dawa ya Suzan iliasimzingue tena, ata kama ata mfumania kama hivi, ni kumtundika mimba mapema iwezekanavyo, mzee Mashaka aliweka simu kitandani kisha na yeye akaa juu ya kitanda nakuanza kuvua viatu na nguo, kisha akajibwagaa kitandani, azikupita dakika chache akaanza kukoroma, hapo mama Sophia akaichukuwa simu ya mumewe na kuifungua, nakwenda sehemu ya sms, kwa bahati mbaya ya mzee Mashaka, leo alisahau kifuta ile sms ya suzan
Ndipo mama Sophia akaiona sms ya kwanza kabisa yenye jina lililo andikwa ‘Arusha’ akimaanisha ni mfanya biasha toka Arusha, kwanza mama huyu akataka kuzarau, lakini akakumbuka jinsi yeye alivyo isave namba ya Edgar kenye simu yake ‘saloon’ akaona bola kwanza asome kilicho andikwa, akaifungu ile sms, alicho kiona kilimfanya amtazame mume wake kwa Hasira, “nimeiona baba, nashukuru sana mpenzi wangu” japo alisha zowea tabia ya mume wake maana kunasiku alikuja na uchafu kwenye dudu, lakini hakujali, ila leo alijikuta akiingiwa na hasira kari sana, ata yeye mwenyewe akashangaa, nitabia ambayo ameianza week kadhaa zilizo pita, mama Sophia aka chukuwa simu yake na kuingiza zile namba za simu, mpaka anamaliza kuingiza zile namba za simu jina la Suzan lilikuwa juu, ikionyesha huyu mwizi wa mali zake ni Suzan, mama Sophia akashusha pumzi kwanguvu, akiwa haamini alicho kiona
“Haaa! yani huyu mtoto.. haaa.. ata siamini.. ngoja” alisma mama Sophia kwa suti ya chini sana, akimtazama mume wake kwa hasira, mama Osophi akairudisha simu yamume wake pale alipo ikuta, kisha akatuma sms kwa mwanae Sophia, “kesho nakuja mapema sana, nina kitu nataka tuongee” kisha akaituma nakurudi kitandani, mpaka anapitiwa na singizi ile sms aikupata majibu
Suzan alimtazama Edgar, kisha aka vuta pumzi ndefu nakuishusha kama alivyo ivuta, kisha akajikooza kidogo, “Eddy mume wang kwanza samahani sana, nilipaswa nikuambie mapema sana, lakini tusinge ishi vizuri enda jambo hili ninge kuambia mapema,” hapo Suzan alitulia kidogo na kusikilizia jibu la Edgar ambae aliitikia kwa kichwa, kwambba yupo sambamba anamsikiliza, “kiukweli mpaka tunaanza kuwa wapenzi mimi nilikuwa nipo na mtu, tena huyo mtu ndie mtu wanga kwanza kufanya nae mapenzi na wewe ndiyo wapili,” hapo suzan akaweka tena kituo na kumwangalia Edgar jinsi anavyo msikiliza, akamwona yupo makini tena sasa alikuwa anamtazama usoni, “kiukweli niliingia kwenye mapenzi na mtu huyo kwa ushawishi wa fedha, naulaghai alio nifanyia, amekuwa msaada mkubwa sana kwangu na maisha yangu, licha ya kuwa nafanya kazi, lakini yeye amenisaidia sana, mtu mwenyewe ni mzee Mashaka na ndie baba yake Sophia”
Hapo Suzan alimshuhudia Edgar akistuja na kujiweka sawa zaidi, ili kusikiliza vizuri, “Suzan alimsimulia kuanzia mwanzo kipindi yupo chuo CBE, alipoanza mausiano na mzee Mashaka, adi alipo mnnulia nyumba ile nakumtafutia kazi benki ya wananchi, pia alimweleza di walipo anza mapenzi nayeye, ikiwa na kumfumania siku ile, pale Full dose, nakuchukua uamuzi wa kwenda kupima HIV. yani ukimwi, nakujikuta yupo salama “lakini jambo moja mume wangu, toka nimeanza kuwa na wewe sija wai kufanya mapenzi nan a yule mzee, nandie mtu wa pekee nilie kuwa nae toka nianze kumjua mwanaume, na wapili ni wewe,” aliongea Suzan kwa sauti ya utulivu sana, akijuwa kuwa amesha mtibua mpenzi wake, ambae muda wote alikuwa akisikiliza kwa umakini sana mkasa huu wakimapenzi
“Naomba ni samehe mume wangu, ila nakuaidi nita fanya kila mbinu niachane na mzee Mashaka, na hato wai kunigusa tena” aliongea suzan akianza kuvuta viji kamasi vyepesi vya machozi, akiamini kwa usikilizaji ule amesha mkosa mpenzi wake, lakini aka sahangaa mkono waEdgar akisogea usoni kwake nakuanza kumfuta vijimachozi vilivyo anza kutililika, najeje akajigeuza na kumkumbatia mpenzi wake, na Edgar akamkumbatia Suzan, “husijari mama, ni vyema kusameheana, maana ukisamhee una jipa nafasi ya kusamehewa” aliongea Edgar kwa sauti nzito na tulivu, “nashukuru mume wangu, nakuakikishia atoweza kuni gusa tena, na kwa kosa ili la leo, ndio naachana nae moja kwa moja” alisema Suzan, huku akiachia tabasamu na kujifutia machozi kwenye kufua cha Edgar, moyo wake ukiwa ume farijika na kujiona ameutuwa mzigo mkubwa sana, “ujanaipa leo usiku” aliongea Suzan akipeleka mkono wake kwenye dudu ya Edgarnakuiguza kiulaini kabisa maana walikuwa uchi wa mnyama, “niwewe tu mama kazi kwako, nilizani bado unajisikia vibaya,” aliongea Edgar huku akikamata nyonyo la mama mwenye nyumba na kubinya chuchu, “haaaa wapi? yani sijuwi kwanini ata nili tapika ghafla vile, maana sina ata dalili ya malaria”alisema Suzan akiachia dudu na kuivutia shuka pembeni yao, nakubaki watupu bila kinga yoyote
Dada yake Edgar yani mke wa bwana Kazole baada ya kutolewa hospitali husiku ule, alirudishwa nyumbani, kwa wazazi wake yani Luhila seko, kwakuwa muda ulikuwa umeenda sana Selina aliona aitakuwa vyema kumsumbua rafiki yake kumjulisha juu ya tukio lile, la kupigwa kwa wifi yake huyu na mumewake, akapanga amjulishe kesho baada ya kuja kuangalia maendeleo ya mgonjwa, mke wa bwana kazole usiku waleo, alikuwa amelala kwenye chumba ambacho alishawai kukitumia toka utoto wake mpaka ana olewa na bwana kazole, nakuenda kuishi nae kwake kwenye nyumba waliyo panga mfaranyaki, lakini leo chumbahiki kilikuwa tofauti na zamani, kilikuwa chumba kizuri sana mfano wa chumba cha hotel yenye hadhi ya VIP, kiukweli mpaka sasa hakuwa anafahamu ile jeuri ya fedha, wazazi waake aliokuwa anawanyanyasa wameitoa wapi, aliwaza sana tata muda alio pitiwa na usingizi akuujuwa, alistushwa na sauti ya dada wa kazi, “ shikamoo dada”
Hapo akafumbua macho na kumtanzama, “malahaba, he kwani sahangap saahizi, maana naona kama juwa ilimeanza kukomaa” aliuliza mke wa bwana kazole, akijiinua toka kitandani na kuchungulia dirishani, “saa tatu sasa, nimeambiwa nikuamshe ujiandae ukanywe chai” hapo dada yake Edgar aliona amesha andaliwa kila kitu, kuanzia kandambili tauro mswaki na dawa yake, pia mafuta na kitenge vyote hivyo vikiwa ni vipya, “mh kweli wanazo” aliwaza huku akiji funga taulo na kitenge, akavaa nadala na kuelekea bafuni, nusu saa baadae alikuwa mezani pamoja na wazazi wake akipata chai, tena siyo ile ya kubabaisha aliyo izowea zamani, ilikuwa ni chai ya nguvu yenye vikolombwezo mbali mbali vya kutafunia, mke wa bwana kazole akapiga hesabu ya haraka haraka, akapata jibu kuwa ghalama ya ile chai ujumla wake, ninusu ya deni la marejesho ya vikoba anavyo daiwa, week hii, na jumatatu kesho kutwa anatakiwa apelike, nyingine zaidi ya hapo wana vikoba wenzake wangeenda kukomba bahadhi ya vitu na kuvipiga mnada, pasipo kujali deni lilikuwa dogo kiasi gani, aliwaza hayo dada mkubwa Edgar baada ya kuwa salimia wazazi wake, nakujuliana hali
Muda mfupi baadae Selina akaingia pale nyumbani, akiwa na mazaga machache ya mgonjwa, akiwa kuta bado wana kunywa chai, “mimi ni mkulima jamani” alisema Selina akikaa upande wa makochi mwakubwa ya kisasa huku mzigo ukipokelewa na binti wakazi, “karibu mezani, mbona unakaa huko” aliongea mama Edgar huku dada yake Edgar akijiuliza juu ya Selina ni nani kwao, maana tokea jana alimwona pasipo kupata maelezo kamili, “amja weka mihogo siwezi kunywa chai” wote wakacheka, “wenzako mihogo tume ichoka wewe una ililia” aliongea mzee Haule wote wakacheka tena, hapo ukafwatia utambulisho, kwa Selina na dada yake Edgar, akianza kutambulishwa, mke wa bwana kazole kwa Selina, kisha akatambulishwa Selina kwa mke wa bwana Kazole, mtambulishaji akiwa ni mama Edgar, “huyu anaitwa Selina ni wifi yako,” hapo mke wa bwana kazole akastuka kidogo “wifi kwanani?” aliuliza hivyo maana yeye anakaka mmoja tu! na kaka mwenyewe ni Edgar
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

USIKOSE SEHEMU YA AROBAINI NA MBILI
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com