MAMA MWENYE NYUMBA (43)

Zephiline F Ezekiel
MAMA MWENYE NYUMBA (43)
JINA: MAMA MWENYE NYUMBA Mwandishi: Mbogo Edgar SEHEMU YA AROBAINI NA TATU ILIPOISHIA... Sophia aliondoka nyumbani kwao huku njiani maswali mengi yaki mvuruga kichwa chake, maana mama yake ameonekana kustushwa na kitendo cha yeye kupewa mimba na Edgar SASA ENDELEA... “Ngoja tu! atatulia mwenyewe, maana niki mmiliki na kumtambulisha kuwa nimchumba wangu atokuwa na lakusema,” alisema Sophia akiendesha gari kurudi mbezi , huku nyuma mama yake baada ya kuingia ndani akamtuma binti wake wa kazi akamnunulie kipimo cha mimba, maana nikweli alikumbuka ni mwezi sasa ajaziona siku zake Saa tano na nusu Edgar na Suzan waliingia ruguluni park na kuku tana na mzee Mashaka, ambae alikuwa amesha zitwanga bia kadhaa, kiasi cha kuanza kuchangamka, ni baada y Suzan na Edgar kupeana utamu kule nyumbani, wakianzia jikoni nakufwatia sebuleni, kisha wakamalizia chumbani, hapo wakaingia bafuni kuoga nakujiandaa kuja luguruni park, Suzan na Edgar walisalimiana na mzee Mashaka, kisha Edgar akaenda kukaa kwenye meza n…