Notifications
  • THE NIGHTMARE (8)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA NANEILIPOISHIA...Walipofika feri, walipewa nahodha mwingine tofauti na yule aliyemuota na boti ilikuwa ndogo tu ya kawaida tofauti na ile aliyoiota.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Sharji alijikuta anapiga makelele baada ya kumuona Balqis akiwa amejaa damu mdomoni huku ametoa makucha yake akimfata kwa nia ya kumdhuru.“AAAAAAAAAAAGH”Sharji alipiga kelele na kukurupuka.…
  • THE NIGHTMARE (7)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA SABAILIPOISHIA...“kha!!!!”Ulikua mshangao mkubwa kwa watu karibu wote baada ya kumuona Sharji akiwa na taulo akitoka chumbani kwa Balqis.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Wengine walicheka na kaka yake alionekana kutoifurahia hali ile.“sasa wewe unatutia wasi wasi bure, si ungesema tu kama unaenda kulala kwa huyu dada?” aliongea kaka yake na kukirudia kile chumba alichompangia…
  • THE NIGHTMARE (6)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA SITAILIPOISHIA...“toa loud speaker bwana.”Aliongea Balqis baada ya Sharji kubonyeza kitufe cha kupaza sauti.“kwanini hutaki nisikie maongezi yenu?” aliongea Karimu kwa sauti ya ukali kidogo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“kwani kuna ubaya mimi nikiongea private na mdogo wako?” alijibu Balqis baada ya kuisikia sauti ya Karimu.“hakuna ubaya.” Alijibu Karim kwa sauti ya…
  • THE NIGHTMARE (5)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TANOILIPOISHIA...Alijikuta outomatic akijisemea kwa mshangao baada ya kumuona dada mmoja mrembo mwenye asili ya kiarabu akiingia mule ndani. Hakuvaa ushungi kama alivyowazoea kuwaona waarabu wengi ambao alikutana nao. Huyu alivaa suruali ya jeanz nyeusi na juu akiwa na kikoti chake cheusi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Kati kati kulikua na nguo Fulani nyeupe iliyonakshiwa…
  • THE NIGHTMARE (4)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA NNEILIPOISHIA...Aliongea Khalidi na kuufungua mkanda wa suruali yake na kuanza kumtandika Karim.“unanipiga mimi?...utaona!”IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Aliongea Karim na kuondoka huku analia.*****************************Zilipita wiki mbili bila ya Karim kuonekana nyumbani kwao. Sabra alisikitika kidogo kutokana na kuwapenda sana watoto wake japokuwa huyo mtoto mkubwa hakuwa…
  • THE NIGHTMARE (3)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TATUILIPOISHIA...Akiwa hewani akikata mawingu kurudi Tanzania, kichwa chake kilikua na mawazo mengi sana juu ya mume wake. Aliikumbuka siku waliyofunga ndoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Pia alijua kwanini mume wake alipendelea kufanya kazi uingereza na yeye kumfungulia ofisi huku huku Tanzania. Hakujua kuwa kazi anayoifanya mumewe ni ile ya kutembea na tajiri mkubwa…
  • THE NIGHTMARE (2)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA PILIILIPOISHIA...Khalidi alishangaa kuitwa na mtu asiyemfahamu. Alitoka na kwenda kumuangalia huyo mtu maana kiukweli hakua na ndugu aishie hapa Dar hata mmoja anayemfahamu..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Alipigwa na butwaa baada ya kumuona Sabra pale.“ahsante mungu.” Aliongea Khalidi baada ya kumuona tu yule binti pale.“pole sasa kaka yangu, nisamahe mie.” Aliongea Sabra kwa…
  • THE NIGHTMARE (1)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA KWANZANi kipindi cha mvua za masika. Upepo mkali, na mvua kubwa iliendelea kunyesha kwa kasi kila kona ya nchi ya Tanzania.Ipo mikoa iliyofurahia mvua hizo kwa kuwa walikua wanaisubiria kwa hamu kwa ajili ya kilimo. Lakini ipo mikoa iliyokua inapata shida kwa uharabifu wa mazingira na mengineyo mengi.Moja ya miko hiyo ni Dar-es-salaam. Watu wanaoishi katika mkoa huo walichukia mvua mfululizo kutokana na sababu mbalimbali. Biashara nyingi…
  • MY DIARY (50)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA HAMSINITULIPOISHIA...Nilimnongo’oneza kuwa atumie kinga ili nisimwambukize ukimwi akanijibu kwa sauti ya mahaba nisiwe na hofu yeye yupo tayari kufa kwa ajili ya penzi langu hivyo hawezi kutumia kinga kwa mke wake aliyemoa tena siku muhimu kama hiyo.Sikutaka kumbishia yeye ndo muaamuzi wa mwisho kuhusu afya yake hivyo nilimuacha aendelee kufanya yake.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kumbe na…
  • MY DIARY (49)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA AROBAINI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya maneno ya kusilimu ambayo waliambiwa wayatamke kiongozi huyo alisema neno ya mwisho kabla hajashuka.” Kila alie na akili timamu, mwenye busara naa anaetaka haki, na kusimama pamoja na haki, basi akiangalia dunia ilivyo na jinsi inavyokwenda basi lazima kutakuwa na nguvu kuuu nayo ni mwenyezi mungu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kuna vitu vingi sana…

MZOA TAKA (6)


JINA: MZOA TAKA
Mwandishi: Hafidhi J Ikram

SEHEMU YA SITA
“Binafsi mi nakufa naomba unisamehe kwa mabaya yote niliyo kutendea nakufa kifo cha mateso sana laiti kama ningesikiliza ushauli alio nipa Madebe wa kuwa nawe daima kwenye shida na raha leo hii nisinge teseka na gonjwa hili hatali nakufa mie juu ya ukaidi wangu wa kuitaji vitu vizuri maisha ya kifahali"

SASA ENDELEA...
“Hapana usiseme hivyo baby haufi mi nipo nitakusaidia
“Salumu usilie swala la kunisaidia mie ushachelewa nakufaa!!!
baada Mwanaidi kutamka vile akaanza kutapa tapa mwisho akatulia kimyaa
nikabaki kumtikisa huku nikimwita
kwa nguvu “Mwanaidiiiiiiiiiii....
mama yake huku nae akiwa analia akaja mbio akiwa na majilani vilio vikaongezeka basi tukaenda kumzika kipenzi changu aliye niingiza kwenye ulimwengu wa

mapenzi
yani kama bikra tulitoana wote tukamuombea alazwe mahala pema peponi katika makaburi ya keko mwanga
ndio tulipo mlaza baada kutimia kama wiki moja hivi kidume nipo mzigoni na Benz langu jipya nazoa takataka
nikiwa sina hili wala lile gafla bin vuu nikajikuta nalowana mwili mzima baada gari moja hivi kupita kwa kasi eneo lile kulikuwa na dimbwi la maji machafu ya

vua yaliyo chanyika na yachooni dereva hakuwa muungwana hata kidogo nilizani atasimamisha gari kuniomba samahani lakini hakufanya hivyo
baazi ya watu wakakilaani kitendo
kile nikatoka
na mkokoteni
wangu kwa ajili ya kusonga
mbele zaidi siku hiyo nilipiga
kazi yani najaza rumbesa nikienda
dampo nazimwaga kisha nakuja kujaza tena ilikuwa siku ya neema kwa sababu wazoa takataka manispaa ya temeke wameweka mgomo kisa mshahara mdogo
mie nalipwa na yule nitakaye beba takataka zake iwe mia tano au zaidi basi nashukuru tu nikajisemea waweke mgomo daima kwa hali hii sitokufa njaa kamwe nikiwa bado katika kuchakalika si nikamuona yule boya
aliye kuwa anatembea na marehemu
Mwanaidi akiwa kaongozana na kisichana flani hivi kikiwa ndani ya sale za shule kwa jinsi walivyo shikana bila shaka ni wapenzi nikasikitika sana ila nikaitaji

kwenda kumuokoa
yule binti ila nikajiuliza inawezekana washafanya ngono si zaidi ya mara moja hata nikienda kumtonya nitakuwa nishachelewa
basi nikapiga moyo konde itakavyo kuwa wacha iwe “oyaa mangi babu,
“yeah niambie mzoa takataka,
“naomba uniangalizie mkokoteni wangu huu kuna sehemu naenda mara moja, “poa hamna shida,
basi nikatoka zangu kuwafatilia nyuma nyuma mpaka nikawaona kwenye kichochoro kimoja wapo hivi wamesimama yule binti akatoa kanga kwenye begi lake

na kujitanda yani aonekane kama mmama flani hivi ila nikawafata pale pale yule jamaa baada kuniona akastuka ila alijikaza tu nikamuuliza “hivi wewe ni zaidi

ya gaidi ehee!!! mpaka sasa ushauwa wangapi umeambukiza wangapi yani
mpaka kabinti haka kadogo unataka
kwenda kukauwa duhuu"......

“wee boya tu sema shida yako usepe kama takataka hapa hakuna, ndivyo alivyo nijibu yule jamaa si akanyanyua mkono wake kunipiga kofi kwa kitendo cha

haraka nikamdaka na kuubamiza ule mkono ukutani akapiga yowe la uchungu tu nikamgeukia yule binti na kumwambia “mapenzi....na....shule haviendaniiii

ukiwa shuleni!! tulia darasani...embu msikilize mwalimu anafundisha nini kuwa makini ukitoka shuleni usipite vichochoroni nenda moja kwa moja mpaka

nyumbaniii
wakati namwambia hivyo binti yule mchozi ukamtoka baada kugundua kumbe basha wake ni muasilika kwa sauti ya kilio akaniambia “sijui nikushukuru vipi

kaka yangu kwa kuniokoa na janga hili maana ndio nilikuwa naenda nae guest
ndio maana nilipo mwambia anunue condom alikataa kwa kisingizio utamu wa pipi ule bila ganda,
nikamwambia binti
“siku zote tamaa ni hatal!!! kwa kupenda vitu vizuliii ndio maana mnafer
sikutaka kuongea sana nikaseba kuwai Benz langu mie kama msaada
nishatoa,!

Binafsi nilijisikia faraja sana kwa kuweza kumuokoa yule binti katika mdomo wa mamba. Nikarudi moja kwa moja nilipoupaki mkokoteni wangu.

“oyaa mangi mi ndio nawasha mchuma huu!!! ni maneno niliyo mwambia mangi baada kufika pale
dukani kwake, nae akanijibu kwa kusema

“sawa kaka hamna shida!"
basi nikau sukumiza mkokoteni wangu mpaka ninapo ishi
lakini hofu ikanishika ghafla baada kumuona mzee mmoja hivi akifoka kwa maneno ya ajabu ajabu.

“habari za kusema kesho au mwakani sitaki ninacho taka ni pesa yangu tu pumbavu zenu hii nyumba sio ya baba zenu!!! hakuna cha bure hapa"....
Nikawa natetemeka huku nikijiuliza iwapo mkataba wa Madebe ukiwa umeisha itakuwaje na ndani
nina shillingi elfu kumi na tano tu!
basi nikampita bila kumpa salamu maana nilimuhofia nikiwa najiandaa kufungua mlango ghafla nikaguswa begani kwa kupigwa pigwa.

“wee kijana!!!
alikuwa yule mzee huku macho yakiwa mekundu akanikazia na kuniulia “hivi ulivyo pita pale uliona gogo au?"
nikashindwa cha kumjibu akaniuliza tena kwa sauti ya ukali zaidi
“nakuuliza wewe ulivyo pita pale uliniona gogo au jiwe!!!
huku nikibabaika nikamjibu.

“nisamehe mzee wangu unajuwa tena muda mwingine kazi zetu hizi zinatupa mawazo chungu nzima"
Akaniambia

“haya tuyaache hayo hiki chumba mpaka sasa kina miezi sita hakijalipiwa kodi kwa hiyo ninacho taka ni pesa yangu lasivyo uhame!!!
nikamjibu “kwa leo mzee wangu sina kitu nivumilie mpaka wiki ijayo nitakupatia pesa yako,
Akawaka kwa hasira
“wee!!! kijana yani nimetoka kijijini huko kibada kuja hapa kufata pesa yangu alafu nirudi mikono mitupu hapa nilipo sina hata sentano ya nauli. Nitarudi kwa

miguu au utanipakiza kwenye mkokoteni wako?"
nikamjibu “kuhusu nauli nitakupa baba!
“haya nipe hiyo nauli ukumbuke na ya soda njiani maana kibada nimbali basi nikaingia chumbani na kutoka na ile pesa shilling...elfu kumi na tano
nikampa ila nikashangaa alivyo zipokea haraka na kuondoka zake ila sikutaka kujali sana zaidi ya kuingia zangu ndani nifanye mambo mengine
zikiwa zimepita siku kama mbili hivi
siku hiyo nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe nikastushwa na sauti ya makelele “yeyooo!!!
kucheki ni Madebe akiwa na mabegi yani kwa jinsi alivyo kuwa kama vile katoka America basi nikaenda mbio kumpokea tuka kumbatiana kwa furaha nikabeba

mabegi na
kuingia nayo ndani “vipi kaka mbona ulinikimbia?"
“hapana ndugu sijakukimbia ila kuna zali lilitokea ghafla. Yani hata muda wa kuja kukutonya haukuwepo basi nikakwea pipa na kwenda kwa madibaa!!!

“kwa madiba, ndio wapi kaka?"

“kumbe kwa madiba hupajui ndugu?"

“ndio sipajui ila nasikia sikia tu vijana wakipataja,

“ni South africa hiyo!

“ahaa kumbe South,
nafikaga ndotoni tu, “ha!ha!ha! unafikaga ndotoni tena ila usijali utafika live yani itakuwa sio ndoto tena vipi yule binti wa siku ilee ulitusua au akazingua?"
“mimi tena nilitusua mpaka mtoto akazimika mwenyewe kila day anakuja ning'ate kitumbua, “ha!ha!ha! wee noma kwa hiyo siku ile sikupata dhambi?"
“dhambi za nini tena
Madebe?"
“si nilivyo enda kumkamata kinguvu yule demu nikamtishia kukikata kitumbua chake nikinyofoe chote iwapo tu atakataa kulala na wewe,
“duhuu kumbe ulimtisha hivyo ila usikonde kaka wewe mwenyewe utamuona akija hapa na kutupikia msosi, basi
Madebe akacheeka na kusema
“basi kama hivyo itabidi hili ghetto nikuachie wewe afu mimi nichukuwe chumba cha pale karibu na chooni,
“ehee ume nikumbusha kitu kaka!!!
“kitu gani hiko tena?"
“juzi kati kuna mzee flani kaja hapa akaanza kufoka mbaya akitaka pesa ya kodi bila shaka atakuwa baba mwenye nyumba tu!
Madebe akaniuliza “yukoje huyo mzee?"
nikamuelezea jinsi alivyo akasema
“ahaa yule boya sio nyoko zake yani kitendo cha kumwambia niko South tu kaja hapa kudai kodi ya nyumba sio
vipi wewe hajakusumbua?"

“wee asinisumbue tena mchezo kaniwakia mbaya kama sina pesa nihame kwakuwa ndani nilikuwa nina pesa kidogo nikamtoa ndio akasepa,
“duhuu ulimpa pesa shilling ngapi?"
“nilimpa elfu kumi na tano tu baada kusema vile
Madebe akacheka sana na kusema
“kudadeki yule mzee mwanga sana ila
Salumu kaka nisamehe mie kwa kutokwambia mapema hata ningetokea kufa ghafla sijui ingekuwaje
binafsi hii nyumba ni yangu na washkaji wote kitaa wana fahamu hilo ila some time sipendi kujionyesha tu
kuhusu nilipo zipata pesa mpaka nikanunua nyumba hii ni hizi hizi kazi zetu namiliki hadi daladala kama tatu hivi maduka ya nguo ninayo mawili huko k/koo.

Kusema kweli napiga pesa sana".....

“lakini kaka kwa nini usingeniajili niwe hata konda kwenye daladala hata moja kuliko kuwa mzoa takataka?"

“sikia nikwambie kitu Salumu sio kama nakuacha uwe mzoa takataka ukajuwa mi napenda uwe hivyo hapana ndugu nakuandalia mazingira kwanza yani siku ya

siku ukija kutoka basi utoke kweli,!
basi nikaweza kulizishwa na maelezo yake
Madebe huku akisema “yule mzee hiyo pesa atainya tu kumbe ni Ankor wake
nakumbuka zikapita siku kama nne hivi siku hiyo nikiwa natoka zangu dukani kwa Rahma kupiga story mbili tatu nakaribia nyumbani nikaweza kuona kama

chumba ninacho kaa mimi kuna watu wanabishana hivi. Basi sikuwa na wasiwasi nikajuwa labda washikaji tu wamekuja kama kawaida yao
kupiga story mbili tatu lakini nafsi ikaniambia Salumu
kuna hatari ipo karibu yako maana mapigo yangu ya moyo yakaanza kwenda mbio baada kusikia sauti nzito ya mwanadada ikitokea chumbani mule. Kwa kusema

“sikia
Madebe usijifanye mjanja hata kidogo mie jana tu nimepiga simu South kuulizia huo mzigo nikajibiwa ya kwamba mzigo wote umekabidhiwa wewe!!!
nikamsikia
Madebe akimjibu yule Dada “mzigo mimi sijauchukuwa ila Jacko anaongopa tu"....

“wewe Madebe acha mambo ya kifara hapa usitufanye sisi watoto wadogo ukazani ukitupa pipi tutalainika
ukweli wote ninao kwenye simu yangu wakati unakabidhiwa mzigo kuna video walishuti jamaa amenitumia. Sasa embu cheki hii huyu si wewe ukiwapa tano

jamaa,
sasa chaguwa moja tu kati ya mambo mawili je umlete yule kijana unayeishi nae tumbebeshe mzigo tumboni au ufe!!!
baada kusema vile nikasikia sauti za wale watu wakijiandaa kutoka mule ndani nikatoka mbio na kwenda kujificha nyuma ya choo ila nikaweza kuwaona ni

mipandikizi ya mibaba yani kama wale wacheza miereka kina John Cena au Batister hata yule mwana Dada nae zinga la jitu basi wakaingia kwenye magari waliyokuja nayo na kuondoka zao.
Nikabaki kujiuliza ni mzigo gani huo".... alio uchukuwa
Madebe mpaka anadaiwa vile na kijana yupi anaye itajika kubebeshwa huo mzigo tumboni. Bila shaka ni mimi tu je ni mzigo gani, nijuwavyo mimi mzigo unao

bebwa tumboni ni mimba tu tena kwa Wanawake basi sasa mimi nibebeshwe mzigo why?"
nilijiuliza maswali mengi pasipo kupata jibu. Basi nikajinyanyua na kwenda chumbani nilipo ingia
Madebe sikumkuta nikajiuliza labda katoka kwenda chooni au dukani tu nikawa nina hofu balaa hata hamu ya kula sikuwa nayo mawazo yakanisonga
usingizi nao ukanichukuwa nikaja kustuka usiku wa manane kucheki pembeni ya kitanda hakuna mtu “Hivi Madebe atakuwa kaenda wapi?"

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA SABA

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
10 Mzoa Taka Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni