Notifications
  • THE NIGHTMARE (9)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TISAILIPOISHIA...“mmenifananisha, mimi ndio kwanza naigia ofisini mida hii.” Aliongea yule afande na kuigia kituoni.“sasa aliyekuwa anatuhoji ni nani kama sio huyo?”Alijikuta anajiuliza mwenyewe swali lililompa utata mkubwa kichwani mwake.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Wakati wakiwa hawajui hili wala lile, walishangaa kuona maaskari wakijazana pale na ambulance ikafika…
  • THE NIGHTMARE (8)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA NANEILIPOISHIA...Walipofika feri, walipewa nahodha mwingine tofauti na yule aliyemuota na boti ilikuwa ndogo tu ya kawaida tofauti na ile aliyoiota.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Sharji alijikuta anapiga makelele baada ya kumuona Balqis akiwa amejaa damu mdomoni huku ametoa makucha yake akimfata kwa nia ya kumdhuru.“AAAAAAAAAAAGH”Sharji alipiga kelele na kukurupuka.…
  • THE NIGHTMARE (7)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA SABAILIPOISHIA...“kha!!!!”Ulikua mshangao mkubwa kwa watu karibu wote baada ya kumuona Sharji akiwa na taulo akitoka chumbani kwa Balqis.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Wengine walicheka na kaka yake alionekana kutoifurahia hali ile.“sasa wewe unatutia wasi wasi bure, si ungesema tu kama unaenda kulala kwa huyu dada?” aliongea kaka yake na kukirudia kile chumba alichompangia…
  • THE NIGHTMARE (6)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA SITAILIPOISHIA...“toa loud speaker bwana.”Aliongea Balqis baada ya Sharji kubonyeza kitufe cha kupaza sauti.“kwanini hutaki nisikie maongezi yenu?” aliongea Karimu kwa sauti ya ukali kidogo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“kwani kuna ubaya mimi nikiongea private na mdogo wako?” alijibu Balqis baada ya kuisikia sauti ya Karimu.“hakuna ubaya.” Alijibu Karim kwa sauti ya…
  • THE NIGHTMARE (5)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TANOILIPOISHIA...Alijikuta outomatic akijisemea kwa mshangao baada ya kumuona dada mmoja mrembo mwenye asili ya kiarabu akiingia mule ndani. Hakuvaa ushungi kama alivyowazoea kuwaona waarabu wengi ambao alikutana nao. Huyu alivaa suruali ya jeanz nyeusi na juu akiwa na kikoti chake cheusi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Kati kati kulikua na nguo Fulani nyeupe iliyonakshiwa…
  • THE NIGHTMARE (4)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA NNEILIPOISHIA...Aliongea Khalidi na kuufungua mkanda wa suruali yake na kuanza kumtandika Karim.“unanipiga mimi?...utaona!”IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Aliongea Karim na kuondoka huku analia.*****************************Zilipita wiki mbili bila ya Karim kuonekana nyumbani kwao. Sabra alisikitika kidogo kutokana na kuwapenda sana watoto wake japokuwa huyo mtoto mkubwa hakuwa…
  • THE NIGHTMARE (3)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TATUILIPOISHIA...Akiwa hewani akikata mawingu kurudi Tanzania, kichwa chake kilikua na mawazo mengi sana juu ya mume wake. Aliikumbuka siku waliyofunga ndoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Pia alijua kwanini mume wake alipendelea kufanya kazi uingereza na yeye kumfungulia ofisi huku huku Tanzania. Hakujua kuwa kazi anayoifanya mumewe ni ile ya kutembea na tajiri mkubwa…
  • THE NIGHTMARE (2)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA PILIILIPOISHIA...Khalidi alishangaa kuitwa na mtu asiyemfahamu. Alitoka na kwenda kumuangalia huyo mtu maana kiukweli hakua na ndugu aishie hapa Dar hata mmoja anayemfahamu..IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Alipigwa na butwaa baada ya kumuona Sabra pale.“ahsante mungu.” Aliongea Khalidi baada ya kumuona tu yule binti pale.“pole sasa kaka yangu, nisamahe mie.” Aliongea Sabra kwa…
  • THE NIGHTMARE (1)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA KWANZANi kipindi cha mvua za masika. Upepo mkali, na mvua kubwa iliendelea kunyesha kwa kasi kila kona ya nchi ya Tanzania.Ipo mikoa iliyofurahia mvua hizo kwa kuwa walikua wanaisubiria kwa hamu kwa ajili ya kilimo. Lakini ipo mikoa iliyokua inapata shida kwa uharabifu wa mazingira na mengineyo mengi.Moja ya miko hiyo ni Dar-es-salaam. Watu wanaoishi katika mkoa huo walichukia mvua mfululizo kutokana na sababu mbalimbali. Biashara nyingi…
  • MY DIARY (50)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA HAMSINITULIPOISHIA...Nilimnongo’oneza kuwa atumie kinga ili nisimwambukize ukimwi akanijibu kwa sauti ya mahaba nisiwe na hofu yeye yupo tayari kufa kwa ajili ya penzi langu hivyo hawezi kutumia kinga kwa mke wake aliyemoa tena siku muhimu kama hiyo.Sikutaka kumbishia yeye ndo muaamuzi wa mwisho kuhusu afya yake hivyo nilimuacha aendelee kufanya yake.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Kumbe na…

MZOA TAKA (5)


JINA: MZOA TAKA
Mwandishi: Hafidhi J Ikram

SEHEMU YA TANO
Kila aliye fika wakanisihi nimuache kumbe videmu vyake vishapiga cm police nikajikuta nakamatwa na kuvishwa pingu huku mchina akiwa hatamaniki usoni, basi nikapelekwa moja kwa moja ukonga.

SASA ENDELEA...
Ni kitu ambacho kilinishangaza sana maana nijuavyo mimi mtu akikamatwa unapelekwa kituoni baadae mahakamani mwisho una hukumiwa kwenda jela au

kuachiwa huru ama kutozwa faini cha ajabu mimi moja kwa moja naenda kuswekwa gereza la ukonga nikawa mmoja kati ya wafungwa binafsi niliteswa usiku

na mchana kwa kupigwa na kufungiwa kwenye shoti ya umeme huku nikimwagiwa maji ya baridi nikaichukia dunia na binaadamu kwa ujumla nili nusulika

kubakwa zaidi ya mara tatu kidume nika pambana nikaanza kujifunza kuvuta bange kama ujuavyo uwapo jela hutakiwi kuwa lele mama ikabidi nifanye mpango

wa kusa vaivu ni kujiunga na wababe nikasota jela takriban miaka minne pesa ya mchina iliongea tu sikuweza kumuona jamaa yangu Santos akija kuniangalia hata siku moja nikabaki kujiuliza maswali pasipo kupata majibu yeyote huku nikishuhudia baadhi ya wafungwa wenzangu wakija kuangaliwa na jamaa zao ila

nikapiga moyo konde mpaka siku niliyo achiwa miaka minne ni umri wa mtoto kusoma chekechea
basi nikarudi nyumbani kwa jamaa yangu,
cha ajabu nilipo fika maeneo yale nikamkuta binti mrembo hivi ana pika msosi basi nikamtolea salamu.

“za saa hizi dada yangu kabla ya kuitikia akanicheki juu chini alafu aka ninyari na kutema mate chini “pohoo ehee nikusaidie nini?" nikamjibu ya kwamba nina

shida na Santos,
“Santos huyu huyu mume wangu mimi au mwingine?"
“huyo huyo mumeo, basi akaita “wee!!! baba Michael kwanza nilitabasamu kusikia Santos anaitwa baba Michael kumbe jamaa yangu kashakuwa kidume cha

mbegu sio pazia ya mlango ika funuliwa na kutokeza pande la mtu nikaenda mbio kumkumbatia cha ajabu nilipo mfikia tu akanisukumiza na kujikuta nikienda

chini puhu na kuanza kumfokea yule binti

“yani wewe mwanamke ushaanza kuwa chizi sio yani kwa akili zako timamu kabisa unaniita nije kumuona huyu kichaa jizi muuwaji mkubwa huyu, kwanza

nikashindwa kuamini haya maneno yana toka kinywani mwa Santos au ghafla yule binti akapaza sauti kwa kupiga kelele za mwizi huku akiwa ana nishambulia

kwa mwiko nikamuwasha ngumi nahisi hata Santos ana nifahamu mimi ni mziki mnene japo kuwa yeye mbavu ila namkalisha tu ndani ya dakika kama tano

nikawa nipo chini huku nikipigwa na zana ya kila aina eti mimi mwizi dahaa nikavishwa pira ili nitiwe moto damu zikinivuja kila mahali nikaweza shuhudia

Santos ndio kaleta dumu la mafuta lakini kabla hawaja fanya hivyo police wakafika vinginevyo ningekuwa leo hii nipo kwa Mungu baba,
nikapelekwa tena jera ila sio ukonga hii ilikuwa segerea nikasota huko miezi sita nikaja kutoka nikawa sina pa kwenda zaidi ya kusaka nauli niweze kurudi

nyumbani kwetu kijijini ili niwaambie vijana wenzangu mjini si kuzuri kabisa nikasota sana kitaa huku nikihishia kushinda vijiweni na washikaji mpaka siku

jamaa mmoja alipo nipeleka kwa mama mmoja hivi maeneo ya masaki yule mama aliweza kuniambia maneno haya

“karibu kijana unavyo onekana tu macho yako unaichukia dunia ila tambua dunia sio mbaya ila walimwengu ndio wabaya hawana utu yani tunaishi kama

wanyama hakuna roho za huruma kabisa sasa basi natokea kukuamini sana shika hii!!!
nika stuka baada kukabiziwa bastora maana katika maisha yangu sikuwai kuwaza wala kufikilia kuja kuishika hii huku mikono iki nitetemeka nikaipokea kumbe nzito kidogo dahaa basi nikalishwa sumu yani chachu ya kutokuwa na huruma na yeyote yule huku nikipewa mafunzo ya kuitumia siraha ile na matumizi ya

jambia maana ndani ya mjengo ule kuna mayakuza siku ya siku nikawa fiti wa kwanza kumuuwa tena kwa mkono wangu ni yule mchina Salumu kuna mengi

yame tokea mengine yame kuwa siri tu".....

baada Madebe kunipa history yake yenye kusikitisha na kuhuzunisha huku machozi yakitutoka nikajikuta nakumbatiana na kumwambia “pole sana kaka kwa

yaliyokukuta siwezi kukulaumu kwa chochote kile binafsi mi nipo pamoja nawe".... mwisho
Madebe akainuka na kusema ni muda wa kwenda kumleta yule binti nikataka kumwambia hapana asifanye hivyo nikawa nishachelewa maana alishatoweka mule

ndani
nikapata jibu ya kwamba sio kila jambazi ana penda kufanya kazi hii wengine inawabidi utakuta mgambo anapiga piga masufulia ya mama ntilie au kunyang'anya

bidhaa za wamachinga unadhani nini kitatokea hapo kama sio kumfanya awe kibaka mwizi kuna siku kwa macho yangu nili shuhudia mgambo wakiziponda

ponda nyanya za kijana mmoja kisa tu kapanga sehemu sio wakampiga sana marungu ya ugoko leo hii kijana kawa omba omba tu pale ubungo why?"
mnakuwa na roho za kinyama namna hii fanyeni mfanyavyo ila mkumbuke wote tutakwenda kuhisabiwa siku ya siku nikiwa katika rindi la mawazo nikasikia

sauti ya binti akisema “niachee!!! bwana nitaenda mwenyewe mlango uka funguliwa akaingia Madebe akiwa kamshika mkono yule binti akaniuliza “vipi kaka

ndio huyu au nimekosea number?"

nikamjibu huku nikitikisa kichwa ndio huyo huyo,
“oky sasa sikia wee binti mpe mambo yawe mambo dogo langu vinginevyo tutaonana wabaya ujuwe"
baada kusema vile commando Madebe akatoka nikabaki mimi na Rahma tu
tukabaki kutizamana kwa mwendo wa kinyonga Rahma akawa anakuja pale nilipo kuwa nime kaa huku akiishusha sketi yake na brauzi yake jamanii

Tuliishia pale
Madebe alipo mleta binti yule wa kipemba ghetto kisha akamchimba biti
Madebe akasepa zake basi Rahma kwa mwendo wa kinyonga akanisogerea huku akiwa anaishusha sketi yake
nikabaki kuduwaa tu kwa kutoa macho kama mjusi aliye banwa na mlango maana toto ngozi nyeupee kama vile nimemuona kareena kapoor wakati huo ice

cream yangu isha tutumuka kwa hasira
Rahma baada kunifikia akanishika kichwa changu na kunipa
ishara ya kwamba nizinyonye chuchu zake akakisogeza kifua chake karibu na uso wangu kusema kweli
nilikuwa kama mtoto ninae fundishwa mapenzi
Rahma alikuwa mtundu haswa unajuwa mpaka time hiyo nikawa
sitaki nataka"... mmmmm,,,,oooooohg,,, nikagugumia kwa raha baada
Rahma kuitoa ice cream yangu mafichoni na kuanza kuinyonya kiustadi jamanii kumbe wenye pesa mnafaidi mzoa takataka mie
leo napewa vitu adimu. Nikajikuta
nipo sayari nyingine kabisa
ikawa sio penzi la
kulazimisha tena zaidi ya kuliziana ahaaaaaaa,,,,mmmmmm,,,,salumuu
uuuu,,,,babiiiiiiiii,,,,ni sauti aliyo itoa Rahma baada kuingiza ice cream yangu kwenye friji lake lenye joto joto la wastani hivi nikawa nagusisha kwa

kuizungusha kila maeneo huku
nikikwangua vitu flani hivi,
ohoooo,,,,assssssss,,,,ahaaaaa
a,,,,nikuneeeeeee,,,mamaaaaaaa
a,,,,uwiiiiiiiiiiii,,,, yani nikawa nasugua kwa kasi mpaka friji likamwaga uteute flani hivi huku ice cream ikiendelea kuchochea moto kasi. Nikazidi kumbadilisha

mikao ya kila aina mpaka ice cream yangu ikamwaga ute na kunywea basi
Rahma akaniambia.

"thank you baby"
nikatabasamu yani mapenzi bwana
si aliniita mwizi mie sasa hivi ananiita baby
basi akaendelea kusema
“Salumu binafsi naomba unisamehe kwa kile nilicho kufanyia leo mchana!"
nikamwambia haina shida,
siku hiyo ikapita pasipo kumuona
Madebe akirudi nyumbani nikajuwa labda atakuwa kwa washikaji zake tu
nikastuka zaidi baada kutimia siku tatu
Madebe haonekani hata maskani.
Nikajiuliza maswali
mengi sana hivi atakuwa wapi huyu?
kila ninaye muuliza kuhusu kumuona
Madebe jibu likawa sijamtia machoni siku ya tatu leo
washkaji wakaingiwa na hofu labda kitu kibaya kime mpata jamaa yetu,

“Salumu baby mbona unaonekana huna raha vipi unaumwa au?" lilikuwa swali kutoka kwa mpenzi wangu
Rahma baada kunikuta nipo kibarazani nimekaa huku nimeshika tama
sikuweza kumjibu kitu
akanishika kidevuni na kuinua sura yangu nimtizame yeye
“baby si nakuuliza mbona upo kimya sana?"
nikamjibu ya kwamba “kusema kweli mpenzi wangu mwenzako sina raha kabisa!
“kwa nini hukose raha baby wakati
mie nipo?"
“unajuwa nini baby unakumbuka mara ya mwisho uliletwa mule chumbani na
Madebe kwa nia ya nikubake sasa tokea siku ile
Madebe hajarudi nyumbani na haijulikani yuko wapi mpaka leo hii kwa kifupi nachanganyikiwa,
“najuwa kinacho kuchanganya baby ni
kuhusu swala la pesa ya matumizi
ila usijali baby kila kitu nitakupatia mpenzi wangu!!!
kwa kauli ile aliyo itoa
Rahma ikanifanya nimkumbatie kwa nguvu na kumnyonya denda
yani ni kweli nilikuwa na hofu ya kufa njaa maana
Madebe ndio tegemeo langu kuhusu kila kitu tokea mkokoteni wangu
ukatwe katwe na wale majambaika
mpaka sasa sina ishu ya kufanya
ukizingatia pesa ya akiba nishaimaliza yote
basi siku zikazidi kusonga hatimae
miezi miwili ikatimia pasipo
Madebe kujulikana yuko wapi?"
kama hospital zote tulizunguka hapa jijini vituo vya police tukaenda
pasipo kuuwona hata unyayo wake
nililia sana huku washikaji wakinifariji
“Salumu kaka huu si mda wa wewe kulia unaweza ukawa unamchulia tu
cha umuhimu tu kesho uingie mzigoni usake chapaa
na Benz lako, yalikuwa maneno kutoka kwa Sheby mmoja kati ya marafiki kipenzi wa
Madebe, nikamuuliza “benz gani unayo izungumzia wewe?"
“si ule mkokoteni wako ulio katwa katwa siku ilee ukiwa kama ndugu yetu tumeamua kujichanga na kununua vifaa na kumpa fundi autengeneze jana tu

umekamilika,
binafsi sikuamini ile kauli ya
Sheby nikamuuliza uko wapi?"
akatabasamu na kusema “twenzetu ukauone,
tukaongozana mpaka nyumbani kwao
dahaa nikatoka mbio kwendaa kuushika mkokoteni huku nisiamini kwa kile nikionacho basi
nikaukokota mpaka maskani na kuwapa shukrani zangu za dhati washikaji
ila cm ya Mudy ikawa inaita akaitoa na kunipa mie huku akisema “Salumu ongea na mtu wako huyu maana ananisumbua kishezi yani!!!
nikaiweka cm sikioni na kusema hallo!!!
sauti ya upande wa pili haikuwa ngeni masikioni mwangu japo alikuwa analia,
nikajikuta nauliza kwa jazba
“Mwanaidi nini kinakuliza?"
kabla ya kujibiwa chochote kile cm ikakatwa nikaishia kusema hallo!!!hallo!!!
Mudy akaniambia “labda kaishiwa salio kama vipi mpigie tu basi nikaipiga ile number majibu ninayo pata cm ya mteja unaye mpigia haipatikani sikuwa na jinsi

zaidi ya kutoka mbio kwenda nyumbani kwao
mmh! jamani nikamkuta kibibi sijui nani maana amekondeana vibaya sana
nikamuamkia huku nikimuulizia Mwanaidi kama nimemkuta
kiuvivu akanitizama huku mchozi ukimdondoka nikastuka baada kutambua kumbe yule ndio
Mwanaidi nikarudi nyuma
kutaka kukimbia maana sikuamini nikaenda kumshika huku nikianza kulia na kuita “Mwanaidi!!!
kwa sauti iliyo ambatana na kikohozi mpaka kutema damu akasema haya
“Salumu!!!...salumuuu,,,
“naamu kipenzi changu!
“binafsi mi nakufa naomba unisamehe kwa mabaya yote niliyo kutendea nakufa kifo cha mateso sana laiti kama ningesikiliza ushauli alio nipa Madebe wa kuwa nawe daima kwenye shida na raha leo hii nisinge teseka na gonjwa hili hatali nakufa mie juu ya ukaidi wangu wa kuitaji vitu vizuri maisha ya kifahali"

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA SITA

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
10 Mzoa Taka Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni